Bei ya Petroli yazidi kushuka
Na Maneno Selanyika, Dar es Salaam
MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza kushuka kwa bei ya mafuta ya Petroli, Dizeli na Mafuta ya Taa, ikilinganishwa na bei ya mwaka jana.
Taarifa iliyotolewa na EWURA jana na kusainiwa na Mkurugenzi Mkuu wake, Felix Ngamlagosi, ilieleza kuwa bei hiyo elekezi itaanza kutumika kuanzia leo Januari 6.
Ngamlagosi alitaja sababu mojawapo ya kupungua kwa bei za mafuta ni kushuka kwa bei za mafuta katika soko la dunia, pamoja na...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi06 May
Bei ya Petroli yazidi kupaa
10 years ago
Habarileo04 Feb
Mafuta yazidi kushuka bei
MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza kushuka zaidi kwa bei za bidhaa za mafuta hapa nchini kuanzia leo, kutokana na bei katika soko la dunia kuendelea kuporomoka.
10 years ago
Vijimambo07 Jan
Mafuta yazidi kushuka bei nchini
![](http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2581006/highRes/916048/-/maxw/600/-/285n5k/-/bei.jpg)
9 years ago
Mwananchi06 Jan
Bei ya petroli, dizeli yashuka
10 years ago
Mtanzania12 Jun
Mafuta ya petroli bei juu
SERIKALI imependekeza kuongeza tozo ya mafuta ya petrol na dizeli kutoka Sh 50 kwa lita hadi Sh 100 kwa lita, ikiwa ni ongezeko la Sh 50 kwa lita.
Akizungumzia kuhusu ongezeko hilo wakati akiwasilisha Bajeti ya Serikali ya mwaka 2015/16 bungeni mjini Dodoma jana, Waziri wa Fedha, Saada Mkuya, alisema mafuta ya taa yanapaa kutoka Sh 50 kwa lita hadi Sh 150 kwa lita, ikiwa ni ongezeko la shilingi 100 kwa lita ili kuondoa uwezekano wa kuchakachua.
“Hatua ya kuongeza tozo ya mafuta ya petroli...
10 years ago
Mwananchi04 Mar
Bei ya petroli yashuka tena
10 years ago
Mwananchi04 Feb
Bei ya petroli Dar Sh1,768
10 years ago
Mtanzania06 May
Mafuta ya petroli, dizeli bei juu
GRACE SHITUNDU NA TUNU NASSOR,
DAR ES SALAAM
MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza bei mpya itakayoanza kutumika leo ambapo mafuta ya petroli na dizeli yamepanda huku mafuta ya taa yakishuka.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Meneja Mawasiliano na Uhusiano EWURA, Titus Kaguo, alisema bei ya jumla na rejareja ya mafuta aina zote imebadilika ikilinganishwa na bei elekezi iliyotolewa Aprili, mwaka huu.
Alisema bei ya rejareja kwa mafuta ya petroli imeongezeka kwa Sh...
10 years ago
Mwananchi08 Jan
Bei ya petroli TZ kubwa kuliko Kenya