Mafuta yazidi kushuka bei nchini
Dar es Salaam. Bei ya mafuta ya petroli, dizeli na ya taa nchini inazidi kushuka kutokana na kuporomoka kwa bei ya mafuta ghafi katika soko la dunia tangu Juni mwaka jana.Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (Ewura), Felix Ngamlagosi alisema jana kuwa bei ya rejareja ya petroli kuanzia leo imeshuka kwa Sh74, dizeli kwa Sh62 na mafuta ya taa kwa Sh54.Bei hizo zinashuka wakati kukiwa na mjadala mkali kuwa bei zilizopo sasa hazisadifu hali halisi ya kuporomoka kwa mafuta...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo04 Feb
Mafuta yazidi kushuka bei
MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza kushuka zaidi kwa bei za bidhaa za mafuta hapa nchini kuanzia leo, kutokana na bei katika soko la dunia kuendelea kuporomoka.
9 years ago
Mtanzania06 Jan
Bei ya Petroli yazidi kushuka
Na Maneno Selanyika, Dar es Salaam
MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza kushuka kwa bei ya mafuta ya Petroli, Dizeli na Mafuta ya Taa, ikilinganishwa na bei ya mwaka jana.
Taarifa iliyotolewa na EWURA jana na kusainiwa na Mkurugenzi Mkuu wake, Felix Ngamlagosi, ilieleza kuwa bei hiyo elekezi itaanza kutumika kuanzia leo Januari 6.
Ngamlagosi alitaja sababu mojawapo ya kupungua kwa bei za mafuta ni kushuka kwa bei za mafuta katika soko la dunia, pamoja na...
11 years ago
Habarileo22 Jul
Bei ya mafuta kushuka
MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imeanza mchakato wa kutafuta namna ya kupunguza gharama za uingizaji wa mafuta nchini. Hatua hiyo itawezesha pia bei ya nishati hiyo nchini kushuka.
10 years ago
Mwananchi09 Jan
Maelezo ya kushuka bei ya mafuta hayajitoshelezi
10 years ago
StarTV07 Jan
EWURA yatangaza kushuka kwa bei ya Mafuta.
Na Josephine Mwaiswaga,
Dar es Salaam.
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji EWURA imetangaza kushuka kwa bei ya mafuta ya Petrol, Dizel na ya taa katika masoko yote ya jumla na rejareja.
comprar kamagra baratoKushuka kwa bei hizo kunatokana na kuporomoka kwa thamani ya dola katika soko la dunia hali iliyosababisha bei ya mafuta kuwa dola 60 kwa pipa moja badala ya dola 100 ya awali.
Akitangaza kushuka kwa bei hizo Mkurugenzi Mtendaji wa EWURA Felix Ngamlagosi amesema...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Nqqwi-P4Www/XusMi8PnJUI/AAAAAAALuX0/k0WRPcszNeMyM2-WobGzHwoiFBPN3aSyQCLcBGAsYHQ/s72-c/2.jpg)
BASHUNGWA AWAHAKIKISHIA WATANZANIA KUENDELEA KUNUFAIKA KUSHUKA KWA BEI YA MAFUTA"
Na Eliud Rwechungura – Wizara ya Viwanda na Biashara.
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Innocent Bashungwa amezielekeza FCC, EWURA, WMA kufanya ukaguzi na kuwachukulia hatua wafanyabiashara na waagizaji wa mafuta wanaoficha bidhaa hiyo kwa lengo la kuyauza kwa bei ya juu yatakapoadimika au kupanda bei.
Waziri Bashungwa aliyasema Juni 17, 2020 jijini Dar es salaam katika kikao kazi na Watendaji wa Mamlaka za Tume ya Ushindani (FCC), Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA), Wakala...
10 years ago
VijimamboMamlaka ya Udhibiti wa Nishati, Maji na Mafuta (Ewura), imepunguza bei za mafuta kote nchini
10 years ago
Michuzi14 Jan