Maelezo ya kushuka bei ya mafuta hayajitoshelezi
Pamoja na mamlaka husika kutoa maelezo kuhusu kushuka kwa bei ya mafuta, mjadala kuhusu bei hizo umezidi kupamba moto kila kona ya nchi kutokana na maelezo yaliyotolewa kutojitosheleza na badala yake kuacha maswali mengi yanayohitaji ufafanuzi wa kina.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo22 Jul
Bei ya mafuta kushuka
MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imeanza mchakato wa kutafuta namna ya kupunguza gharama za uingizaji wa mafuta nchini. Hatua hiyo itawezesha pia bei ya nishati hiyo nchini kushuka.
10 years ago
Habarileo04 Feb
Mafuta yazidi kushuka bei
MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza kushuka zaidi kwa bei za bidhaa za mafuta hapa nchini kuanzia leo, kutokana na bei katika soko la dunia kuendelea kuporomoka.
10 years ago
Vijimambo07 Jan
Mafuta yazidi kushuka bei nchini
10 years ago
StarTV07 Jan
EWURA yatangaza kushuka kwa bei ya Mafuta.
Na Josephine Mwaiswaga,
Dar es Salaam.
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji EWURA imetangaza kushuka kwa bei ya mafuta ya Petrol, Dizel na ya taa katika masoko yote ya jumla na rejareja.
comprar kamagra baratoKushuka kwa bei hizo kunatokana na kuporomoka kwa thamani ya dola katika soko la dunia hali iliyosababisha bei ya mafuta kuwa dola 60 kwa pipa moja badala ya dola 100 ya awali.
Akitangaza kushuka kwa bei hizo Mkurugenzi Mtendaji wa EWURA Felix Ngamlagosi amesema...
10 years ago
Mwananchi12 Nov
Maelezo ya Ikulu kuhusu fedha hizi hayajitoshelezi
5 years ago
MichuziBASHUNGWA AWAHAKIKISHIA WATANZANIA KUENDELEA KUNUFAIKA KUSHUKA KWA BEI YA MAFUTA"
Na Eliud Rwechungura – Wizara ya Viwanda na Biashara.
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Innocent Bashungwa amezielekeza FCC, EWURA, WMA kufanya ukaguzi na kuwachukulia hatua wafanyabiashara na waagizaji wa mafuta wanaoficha bidhaa hiyo kwa lengo la kuyauza kwa bei ya juu yatakapoadimika au kupanda bei.
Waziri Bashungwa aliyasema Juni 17, 2020 jijini Dar es salaam katika kikao kazi na Watendaji wa Mamlaka za Tume ya Ushindani (FCC), Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA), Wakala...
10 years ago
VijimamboMamlaka ya Udhibiti wa Nishati, Maji na Mafuta (Ewura), imepunguza bei za mafuta kote nchini
5 years ago
MichuziEWURA yapewa siku 10 kupitia bei za mafuta katika maghala ya kuhifadhi na kupokea mafuta.
Waziri wa Nishari, Dkt. Medard Kalemani (wa pili kulia)akipita kukagua mazingira ya ghala la kuhifadhi na kupokea mafuta la kampuni ya GBP, alipofanya ziara katika eneo hilo mkoani Tanga, Mei 10, 2020.
Shehena ya Mafuta ikiwa imepakiwa katika matangi tayari kwa kusafirishwa,hapa ni katika ghala la kuhifadhi na kupokea mafuta la kampuni ya GBP mkoani Tanga, Waziri wa Nishari, Dkt. Medard Kalemani, alifanya ziara katika eneo hilo, Mei 10,2020.
Baadhi ya mapipa makubwa ya kuhifadhia mafuta...