Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BASHUNGWA AWAHAKIKISHIA WATANZANIA KUENDELEA KUNUFAIKA KUSHUKA KWA BEI YA MAFUTA"


Na Eliud Rwechungura – Wizara ya Viwanda na Biashara.

Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Innocent Bashungwa amezielekeza FCC, EWURA, WMA kufanya ukaguzi na kuwachukulia hatua wafanyabiashara na waagizaji wa mafuta wanaoficha bidhaa hiyo kwa lengo la kuyauza kwa bei ya juu yatakapoadimika au kupanda bei.
Waziri Bashungwa aliyasema Juni 17, 2020 jijini Dar es salaam katika kikao kazi na Watendaji wa Mamlaka za Tume ya Ushindani (FCC), Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA), Wakala...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

StarTV

EWURA yatangaza kushuka kwa bei ya Mafuta.

Na Josephine Mwaiswaga,

Dar es Salaam.

 

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji EWURA imetangaza kushuka kwa bei ya mafuta ya Petrol, Dizel na ya taa katika masoko yote ya jumla na rejareja.

comprar kamagra barato

Kushuka kwa bei hizo kunatokana na kuporomoka kwa thamani ya dola katika soko la dunia hali iliyosababisha bei ya mafuta kuwa dola 60 kwa pipa moja badala ya dola 100 ya awali.

Akitangaza kushuka kwa bei hizo Mkurugenzi Mtendaji wa EWURA Felix Ngamlagosi amesema...

 

11 years ago

Habarileo

Bei ya mafuta kushuka

Mkurugenzi Mkuu wa Ewura, Felix NgamlagosiMAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imeanza mchakato wa kutafuta namna ya kupunguza gharama za uingizaji wa mafuta nchini. Hatua hiyo itawezesha pia bei ya nishati hiyo nchini kushuka.

 

10 years ago

Habarileo

Mafuta yazidi kushuka bei

Mkurugenzi Mkuu wa EWURA, Felix NgamlagosiMAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza kushuka zaidi kwa bei za bidhaa za mafuta hapa nchini kuanzia leo, kutokana na bei katika soko la dunia kuendelea kuporomoka.

 

10 years ago

Mwananchi

Maelezo ya kushuka bei ya mafuta hayajitoshelezi

Pamoja na mamlaka husika kutoa maelezo kuhusu kushuka kwa bei ya mafuta, mjadala kuhusu bei hizo umezidi kupamba moto kila kona ya nchi kutokana na maelezo yaliyotolewa kutojitosheleza na badala yake kuacha maswali mengi yanayohitaji ufafanuzi wa kina.

 

10 years ago

Vijimambo

Mafuta yazidi kushuka bei nchini

Dar es Salaam. Bei ya mafuta ya petroli, dizeli na ya taa nchini inazidi kushuka kutokana na kuporomoka kwa bei ya mafuta ghafi katika soko la dunia tangu Juni mwaka jana.Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (Ewura), Felix Ngamlagosi alisema jana kuwa bei ya rejareja ya petroli kuanzia leo imeshuka kwa Sh74, dizeli kwa Sh62 na mafuta ya taa kwa Sh54.Bei hizo zinashuka wakati kukiwa na mjadala mkali kuwa bei zilizopo sasa hazisadifu hali halisi ya kuporomoka kwa mafuta...

 

11 years ago

Habarileo

Watanzania wasubiri bei kupanda, kushuka

WATANZANIA leo wanaelekeza macho na masikio yao mjini Dodoma, kusikiliza Hotuba ya Bajeti ya Serikali, inayotarajiwa kusomwa saa 10 kamili bungeni na Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum. Tayari Waziri Saada alishaeleza kuwa makadirio ya Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha wa 2014/15, unaoanza Julai mwaka huu, yatakuwa Sh trilioni 19.6 kutoka makadirio ya Sh trilioni 18.2 ya Bajeti inayoisha muda wake.

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI BASHUNGWA AWATOA HOFU WATANZANIA KUHUSU UHABA WA SUKARI NCHINI,AWATAKA WAFANYA BIASHARA KUZINGATIA BEI ELEKEZI

Na. Eliud Rwechungura – Wizara ya Viwanda na Biashara.

Waziri wa viwanda na Biashara Mhe.Innocent Bashungwa (Mb) amewahakikishia watanzania kuwa hakutakuwa na uhaba wa sukari tena na kuwataka wananchi wasiwe na hofu juu ya sukari na kuwahasa wauzaji kuzingazia bei elekezi.

Mhe.Bashungwa ameyasema hayo jana Mei 14, 2020 alipofika katika bandari ya Mwanza kusini na kushuhudia Shehena ya Sukari tani 20,000 ikishushwa na meli kutoka Nchini Uganda iliyoagizwa na kiwanda cha kagera sugar kwa ni...

 

5 years ago

Michuzi

KUSHUKA KWA BEI YA MAZAO KUSIWAKATISHE TAMAA-MAJALIWA

*Awataka wakulima waendelee na kilimo katika kipindi hiki cha mpito                WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amewataka wakulima wa mazao mbalimbali ya biashara wakiwemo wakulima wa ufuta nchini waendelee na kilimo na kwamba suala la kushukuka kwa bei lililotokea kwenye msimu wa mwaka huu lisiwakatishe tamaa kwani jambo hilo litakwisha.
Amesema Serikali inaendelea kulifanyia kazi hilo na kwamba bei ya mazao nchini itaimarika baada ya kuongezeka kwa ujenzi wa viwanda vya kuchakata mazao...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani