Mafuta ya petroli bei juu
SERIKALI imependekeza kuongeza tozo ya mafuta ya petrol na dizeli kutoka Sh 50 kwa lita hadi Sh 100 kwa lita, ikiwa ni ongezeko la Sh 50 kwa lita.
Akizungumzia kuhusu ongezeko hilo wakati akiwasilisha Bajeti ya Serikali ya mwaka 2015/16 bungeni mjini Dodoma jana, Waziri wa Fedha, Saada Mkuya, alisema mafuta ya taa yanapaa kutoka Sh 50 kwa lita hadi Sh 150 kwa lita, ikiwa ni ongezeko la shilingi 100 kwa lita ili kuondoa uwezekano wa kuchakachua.
“Hatua ya kuongeza tozo ya mafuta ya petroli...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania06 May
Mafuta ya petroli, dizeli bei juu
GRACE SHITUNDU NA TUNU NASSOR,
DAR ES SALAAM
MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza bei mpya itakayoanza kutumika leo ambapo mafuta ya petroli na dizeli yamepanda huku mafuta ya taa yakishuka.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Meneja Mawasiliano na Uhusiano EWURA, Titus Kaguo, alisema bei ya jumla na rejareja ya mafuta aina zote imebadilika ikilinganishwa na bei elekezi iliyotolewa Aprili, mwaka huu.
Alisema bei ya rejareja kwa mafuta ya petroli imeongezeka kwa Sh...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-J8nPCmTttsU/XrpavNnuVVI/AAAAAAALp3A/Tkm_GdJVX8snL2--OHwlxbDJYszmi0DegCLcBGAsYHQ/s72-c/PICHA%2B3.jpg)
EWURA yapewa siku 10 kupitia bei za mafuta katika maghala ya kuhifadhi na kupokea mafuta.
![](https://1.bp.blogspot.com/-J8nPCmTttsU/XrpavNnuVVI/AAAAAAALp3A/Tkm_GdJVX8snL2--OHwlxbDJYszmi0DegCLcBGAsYHQ/s640/PICHA%2B3.jpg)
Waziri wa Nishari, Dkt. Medard Kalemani (wa pili kulia)akipita kukagua mazingira ya ghala la kuhifadhi na kupokea mafuta la kampuni ya GBP, alipofanya ziara katika eneo hilo mkoani Tanga, Mei 10, 2020.
![](https://1.bp.blogspot.com/-KizeE0XqwiY/XrpavnCZSHI/AAAAAAALp3E/OlsgDnTG8EMM_llMxefz8sbypBsgsCgIACLcBGAsYHQ/s640/PICHA%2B4.jpg)
Shehena ya Mafuta ikiwa imepakiwa katika matangi tayari kwa kusafirishwa,hapa ni katika ghala la kuhifadhi na kupokea mafuta la kampuni ya GBP mkoani Tanga, Waziri wa Nishari, Dkt. Medard Kalemani, alifanya ziara katika eneo hilo, Mei 10,2020.
![](https://1.bp.blogspot.com/-rZ963RWU-wc/Xrpav5vjNDI/AAAAAAALp3I/cn3LiMHp6nEX5Ttle59mKCBn02Mo6fiGQCLcBGAsYHQ/s640/PICHA%2B5.jpg)
Baadhi ya mapipa makubwa ya kuhifadhia mafuta...
10 years ago
VijimamboMamlaka ya Udhibiti wa Nishati, Maji na Mafuta (Ewura), imepunguza bei za mafuta kote nchini
11 years ago
Habarileo26 Mar
Alipukiwa na mafuta ya petroli na kufa
WATU watatu wamekufa wilayani Tarime katika mazingira tofauti akiwemo anayeuza mafuta ya petroli kwa vidumu.
10 years ago
Tanzania Daima09 Oct
Wauzaji mafuta ya petroli kukutana Dar
CHAMA cha vituo vya mafuta ya Petroli nchini, Tanzania Petrol Stations Operators (TAPSOA), kimepanga kukutana na wanachama wake kujadili mambo mbalimbali yanayokihusu na kubadilishana mawazo katika changamoto mbalimbali zinazowaandama wanachama...
9 years ago
Mtanzania06 Jan
Bei ya Petroli yazidi kushuka
Na Maneno Selanyika, Dar es Salaam
MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza kushuka kwa bei ya mafuta ya Petroli, Dizeli na Mafuta ya Taa, ikilinganishwa na bei ya mwaka jana.
Taarifa iliyotolewa na EWURA jana na kusainiwa na Mkurugenzi Mkuu wake, Felix Ngamlagosi, ilieleza kuwa bei hiyo elekezi itaanza kutumika kuanzia leo Januari 6.
Ngamlagosi alitaja sababu mojawapo ya kupungua kwa bei za mafuta ni kushuka kwa bei za mafuta katika soko la dunia, pamoja na...
10 years ago
Mwananchi06 May
Bei ya Petroli yazidi kupaa
9 years ago
Mwananchi06 Jan
Bei ya petroli, dizeli yashuka
10 years ago
Mwananchi04 Mar
Bei ya petroli yashuka tena