Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wauzaji mafuta ya petroli kukutana Dar

CHAMA cha vituo vya mafuta ya Petroli nchini, Tanzania Petrol Stations Operators (TAPSOA), kimepanga kukutana na wanachama wake kujadili mambo mbalimbali yanayokihusu na kubadilishana mawazo katika changamoto mbalimbali zinazowaandama wanachama...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Mafuta ya petroli bei juu

SERIKALI imependekeza kuongeza tozo ya mafuta ya petrol na dizeli kutoka Sh 50 kwa lita hadi Sh 100 kwa lita, ikiwa ni ongezeko la Sh 50 kwa lita.
Akizungumzia kuhusu ongezeko hilo wakati akiwasilisha Bajeti ya Serikali ya mwaka 2015/16 bungeni mjini Dodoma jana, Waziri wa Fedha, Saada Mkuya, alisema mafuta ya taa yanapaa kutoka Sh 50 kwa lita hadi Sh 150 kwa lita, ikiwa ni ongezeko la shilingi 100 kwa lita ili kuondoa uwezekano wa kuchakachua.
“Hatua ya kuongeza tozo ya mafuta ya petroli...

 

11 years ago

Habarileo

Alipukiwa na mafuta ya petroli na kufa

WATU watatu wamekufa wilayani Tarime katika mazingira tofauti akiwemo anayeuza mafuta ya petroli kwa vidumu.

 

10 years ago

Mtanzania

Mafuta ya petroli, dizeli bei juu

kaguo+titusGRACE SHITUNDU NA TUNU NASSOR,
DAR ES SALAAM
MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza bei mpya itakayoanza kutumika leo ambapo mafuta ya petroli na dizeli yamepanda huku mafuta ya taa yakishuka.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Meneja Mawasiliano na Uhusiano EWURA, Titus Kaguo, alisema bei ya jumla na rejareja ya mafuta aina zote imebadilika ikilinganishwa na bei elekezi iliyotolewa Aprili, mwaka huu.
Alisema bei ya rejareja kwa mafuta ya petroli imeongezeka kwa Sh...

 

10 years ago

Michuzi

Tanzania yashiriki maonesho ya 7 ya masuala ya Petroli na Mafuta nchini china

Wadau wa Mafuta na Gesi kutoka nchini Tanzania wakisikiliza kwa makini maelezo ya teknolojia mpya za utafiti wa mafuta na gesi Duniani huko nchini China. Wadau hawa walihudhuria maonesho ya 7 ya kimataifa ya mafuta, gesi na bidhaa zitokanazo na rasilimali hizo yaliyofanyika katika jiji la Dongying nchini China. Maonesho kama haya hufanyika kila mwaka yakilenga kujenga uhusiano baina ya nchi nan chi na pia kubadilishana uzoefu katika sekta ndogo ya mafuta na gesi duniani. Bw. Ibrahim Rutta,...

 

11 years ago

Michuzi

WADAU WA SHUGHULI ZA UZALISHAJI NA UTAFUTAJI GESI,MAFUTA WATOA MAONI RASIMU YA SERA YA PETROLI

 Mmoja wa wadau wa shughuli za utafutaji na uzalishaji gesi akitoa maoni yake kuhusu namna ya kuboresha rasimu ya Sera ya Petroli. Wanaofuatia ni baadhi ya wadau kutoka  Kampuni mbalimbali zinazofanya shughuli hizo nchini.

 Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini Mhandisi Ngosi Mwihava (katikati) akifuatilia kwa karibu wadau wakitoa  maoni wakati wa warsha ya  wadau wanaoshughulika na   shughuli za utafutaji na uzalishaji gesi na mafuta ili kupata maoni yao  yatakayosaidia...

 

9 years ago

GPL

GLOBAL YAGAWA NAILONI KWA WAUZAJI WA MAGAZETI DAR

Maofisa wa Global Publishers Kitengo cha Usambazaji, Jordan Ngowi na Jimy Haroub (walioko mbele) wakimwekea muuzaji wa magazeti jinsi ya kufunika magazeti kwa naironi ili yasilowe eneo la Kituo cha Daladala cha Mwenge, Dar. Muuzaji wa…

 

10 years ago

Mwananchi

Bei ya petroli Dar Sh1,768

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) imeshusha bei ya petroli kutoka Sh1,955 hadi Sh1,768 kwa lita ikiwa ni punguzo la Sh187, sawa na asilimia 9.56 kwa bei ya rejareja kuanzia leo.

 

11 years ago

GPL

GLOBAL YAENDELEA KUTOA MEZA KWA WAUZAJI MAGAZETI DAR

Ofisa Masoko Mwandamizi wa Global Publishers, Benjamin Mwanambuu (kushoto) akipeana mkono na mmoja wa wauza magazeti eneo la Kituo cha Makumbusho, Dar baada ya kumkabidhi meza. Muuza magazeti huyo wa Kituo cha Mabasi cha Makumbusho akipanga magazeti yake.…

 

11 years ago

GPL

WAUZAJI WA MAGAZETI JIJINI DAR WAPEWA MAKOTI YA MVUA NA GLOBAL PUBLISHERS

Wauzaji wa magazeti wa Magomeni wakiwa katika picha ya pamoja na maofisa wa Global Benjamin Mwanambuu (katikati) na John Mwaipaja (wa kwanza kulia).…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani