GLOBAL YAENDELEA KUTOA MEZA KWA WAUZAJI MAGAZETI DAR
Ofisa Masoko Mwandamizi wa Global Publishers, Benjamin Mwanambuu (kushoto) akipeana mkono na mmoja wa wauza magazeti eneo la Kituo cha Makumbusho, Dar baada ya kumkabidhi meza. Muuza magazeti huyo wa Kituo cha Mabasi cha Makumbusho akipanga magazeti yake.…
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLGLOBAL PUBLISHERS LTD YAMWAGA MEZA KWA WAUZAJI WA MAGAZETI YAKE JIJINI MWANZA
Meza za wauzaji wa Magazeti ya Kampuni ya Global Publishers Ltd jijini Mwanza. KAMPUNI ya Global Publishers & General Enterprises Ltd wachapishaji wa Magazeti ya Championi, Uwazi, Amani, Risasi, Ijumaa na Ijumaa Wikienda wametoa meza kibao kwa wauzaji wa magazeti yao mkoani Mwanza ikiwa ni njia mojawapo ya kuwaboreshea mazingira ya kufanyia… ...
9 years ago
GPL
GLOBAL YAGAWA NAILONI KWA WAUZAJI WA MAGAZETI DAR
Maofisa wa Global Publishers Kitengo cha Usambazaji, Jordan Ngowi na Jimy Haroub (walioko mbele) wakimwekea muuzaji wa magazeti jinsi ya kufunika magazeti kwa naironi ili yasilowe eneo la Kituo cha Daladala cha Mwenge, Dar. Muuzaji wa…
11 years ago
GPLGLOBAL PUBLISHERS YAKABIDHI MEZA MBILI KWA CHAMA CHA MAGAZETI MKOA WA DAR ES SALAAM
Afisa Tawala wa Global Publishers, Soud Kivea kulia akimkabidhi meza mbili za ofisini kwa makamu mwenyekiti wa wauza magazeti mkoa wa Dar es salaam zilizotolewa na kampuni yake ya Global Publishers. Afisa Tawala wa Global Publishers, Soud Kivea kulia akimwangalia makamu mwenyekiti wa wauza magazeti mkoa wa Dar es salaam jinsi anavyo andika taharifa… ...
11 years ago
GPLWAUZAJI WA MAGAZETI JIJINI DAR WAPEWA MAKOTI YA MVUA NA GLOBAL PUBLISHERS
Wauzaji wa magazeti wa Magomeni wakiwa katika picha ya pamoja na maofisa wa Global Benjamin Mwanambuu (katikati) na John Mwaipaja (wa kwanza kulia).…
11 years ago
GPLGLOBAL PUBLISHERS WAGAWA FEDHA NA FULANA KWA WAUZAJI WA MAGAZETI
Afisa Masoko wa Global Publishers, Benjamini Mwanambuu akimkabidhi pesa muuza magazeti mama Rashid maeneo ya Tazara. Muuza  magazeti akipokea zawadi toka kwa Benjamini ambaye ni Afisa Masoko wa Global Publishers (pembeni yake ni Yohana). Bw.Kasenga akikabidhiwa…
11 years ago
GPLGLOBAL YATOA MEZA KWA WAUZA MAGAZETI KANDA YA ZIWA
Kampuni ya Global Publishers Ltd ambao ni wachapishaji wa magazeti ya Uwazi, Ijumaa, Risasi, Amani, Championi na Ijumaa Wikienda hivi karibuni imegawa meza kwa mauza magazeti Kanda ya Ziwa zoezi ambalo ni endelevu. Pichani kulia ni Bi. Veronica Marwa, Bukuyu Joseph na wadau wa Global Kanda ya Ziwa wakati wa zoezi la kukabidhi meza.
11 years ago
GPLCHAMPIONI YAENDELEA KUTOA ZAWADI KWA WAUZA MAGAZETI
Mmoja wa wauza magazeti akipokea zawadi ya mwavuli kutoka kwa Ofisa Usambazaji wa Global, Yohana Nkanda (katikati). Kushoto ni mfanyakazi wa Global, Jimmy Haroub . Mfanyakazi wa Global Publishers,…
11 years ago
GPLMR CHAMPIONI, AGAWA MAKOTI YA MVUA KWA WAUZAJI WA MAGAZETI JIJINI DAR
Wauzaji wa magazeti(waliosimama) wakiwa wamevaa makoti ya mvua baada ya kupewa na Mr Championi(hayupo pichani), waliochuchumaa ni wafanyakazi wa Global Publishers. Mr Championi(kushoto) akiwakabidhi makoti ya mvua wauza magazeti katika kituo cha Ubungo jijini Dar, Shinda Mahela na Championi.…
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania