MR CHAMPIONI, AGAWA MAKOTI YA MVUA YA CHAMPIONI KWA WAUZAJI WA MAGAZETI JIJINI DAR
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLMR CHAMPIONI, AGAWA MAKOTI YA MVUA KWA WAUZAJI WA MAGAZETI JIJINI DAR
Wauzaji wa magazeti(waliosimama) wakiwa wamevaa makoti ya mvua baada ya kupewa na Mr Championi(hayupo pichani), waliochuchumaa ni wafanyakazi wa Global Publishers. Mr Championi(kushoto) akiwakabidhi makoti ya mvua wauza magazeti katika kituo cha Ubungo jijini Dar, Shinda Mahela na Championi.…
11 years ago
GPLWAUZAJI WA MAGAZETI JIJINI DAR WAPEWA MAKOTI YA MVUA NA GLOBAL PUBLISHERS
Wauzaji wa magazeti wa Magomeni wakiwa katika picha ya pamoja na maofisa wa Global Benjamin Mwanambuu (katikati) na John Mwaipaja (wa kwanza kulia).…
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/0fdnarFzkJ4z65Kcb83VBoV31fKdceeWwVu60rConCS2PJtsJr5lDgMQiqeTXsoFYEzVlFBc0ilZk0RqA8v7t7ZlKNhiDM9a/CHAMPIONIIKINGAAENEOLATABATAJIJINIDAR.jpg?width=650)
CHAMPIONI YANG'ARISHA MADUKA DAR, YAGAWA MABANGO KWA WAUZAJI WAKE
Bango la gazeti la Championi likiwa limebandikwa kwenye kibanda cha kushonea nguo cha 'Sylvia Taailoring' kilichopo Tabata jijini Dar. Duka la Changila lililoko Tandale Magharibi likiwa na bango la Championi…
10 years ago
GPLMR. CHAMPIONI ATOA ZAWADI KWA WASOMAJI WA GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI
Msomaji wa Championi Jumamosi akirudishiwa pesa baada ya kukutwa akisoma gazeti. Msomaji wa gazeti la Championi Jumamosi akirudishiwa pesa…
11 years ago
GPLMR. CHAMPIONI AENDELEA KUGAWA ZAWADI KWA WASOMAJI WA GAZETI JIPYA LA CHAMPIONI JUMAMOSI
Mr. Championi akimkabidhi zawadi msomaji wa Championi Jumamosi akiwa amevua shati, kwa raha zake. Msomaji akirudishiwa Sh 500 aliyonunulia gazeti baada ya kukutwa na Mr. Championi.…
11 years ago
GPLCHAMPIONI YAWAZAWADIA WAUZAJI WAKE
Wakala wa Ubungo, Magreth Mshana akipokea zawadi kutoka kwa Afisa Masoko wa Global Publishers ndugu Benjamin Mwanambuu. Wakala wa Buguruni  Shomari Rajab akijipatia zawadi yake pia.…
11 years ago
GPLMR CHAMPIONI AZIDI KUGAWA ZAWADI KWA WASOMAJI WAKE JIJINI DAR
Mr Championi (kushoto) akimpa zawadi mama baada ya kununua gazeti la Championi Shinda Mahera. Msomaji akijiandaa kujaza kuponi ya Championi Shinda Mahera maeneo ya Ubungo Stand.…
9 years ago
GPLKUELEKEA UCHAGUZI MKUU MR. CHAMPIONI AGAWA ZAWADI
Mr.Championi akizidi kumwaga zawadi ya sukari kwa wasomaji wa gazeti la Championi waliokutwa wakisoma gazeti hilo eneo la kituo cha daladala cha Tegeta. Ofisa Usambazaji wa Global Publishers, Yohana Mkanda (wapili kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na wasomaji wa gazeti la Championi.…
11 years ago
GPLCHAMPIONI YAENDELEA KUTOA ZAWADI KWA WAUZA MAGAZETI
Mmoja wa wauza magazeti akipokea zawadi ya mwavuli kutoka kwa Ofisa Usambazaji wa Global, Yohana Nkanda (katikati). Kushoto ni mfanyakazi wa Global, Jimmy Haroub . Mfanyakazi wa Global Publishers,…
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania