Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MR CHAMPIONI, AGAWA MAKOTI YA MVUA KWA WAUZAJI WA MAGAZETI JIJINI DAR

Wauzaji  wa magazeti(waliosimama) wakiwa wamevaa makoti ya mvua baada ya kupewa na Mr Championi(hayupo pichani), waliochuchumaa ni wafanyakazi wa Global Publishers. Mr Championi(kushoto) akiwakabidhi makoti ya mvua wauza magazeti katika  kituo cha Ubungo jijini Dar, Shinda Mahela na Championi.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

WAUZAJI WA MAGAZETI JIJINI DAR WAPEWA MAKOTI YA MVUA NA GLOBAL PUBLISHERS

Wauzaji wa magazeti wa Magomeni wakiwa katika picha ya pamoja na maofisa wa Global Benjamin Mwanambuu (katikati) na John Mwaipaja (wa kwanza kulia).…

 

10 years ago

GPL

CHAMPIONI YANG'ARISHA MADUKA DAR, YAGAWA MABANGO KWA WAUZAJI WAKE

Bango la gazeti la Championi likiwa limebandikwa kwenye kibanda cha kushonea nguo cha 'Sylvia Taailoring' kilichopo Tabata jijini Dar. Duka la Changila lililoko Tandale Magharibi likiwa na bango la Championi…

 

11 years ago

GPL

GLOBAL PUBLISHERS LTD YAMWAGA MEZA KWA WAUZAJI WA MAGAZETI YAKE JIJINI MWANZA

Meza za wauzaji wa Magazeti ya Kampuni ya Global Publishers Ltd jijini Mwanza. KAMPUNI ya Global Publishers & General Enterprises Ltd wachapishaji wa Magazeti ya Championi, Uwazi, Amani, Risasi, Ijumaa na Ijumaa Wikienda wametoa meza kibao kwa wauzaji wa magazeti yao mkoani Mwanza ikiwa ni njia mojawapo ya kuwaboreshea mazingira ya kufanyia… ...

 

9 years ago

GPL

GLOBAL YAGAWA NAILONI KWA WAUZAJI WA MAGAZETI DAR

Maofisa wa Global Publishers Kitengo cha Usambazaji, Jordan Ngowi na Jimy Haroub (walioko mbele) wakimwekea muuzaji wa magazeti jinsi ya kufunika magazeti kwa naironi ili yasilowe eneo la Kituo cha Daladala cha Mwenge, Dar. Muuzaji wa…

 

11 years ago

GPL

GLOBAL YAENDELEA KUTOA MEZA KWA WAUZAJI MAGAZETI DAR

Ofisa Masoko Mwandamizi wa Global Publishers, Benjamin Mwanambuu (kushoto) akipeana mkono na mmoja wa wauza magazeti eneo la Kituo cha Makumbusho, Dar baada ya kumkabidhi meza. Muuza magazeti huyo wa Kituo cha Mabasi cha Makumbusho akipanga magazeti yake.…

 

11 years ago

GPL

MR CHAMPIONI AZIDI KUGAWA ZAWADI KWA WASOMAJI WAKE JIJINI DAR

Mr Championi (kushoto) akimpa zawadi mama baada ya kununua gazeti la Championi Shinda Mahera. Msomaji akijiandaa kujaza kuponi ya Championi Shinda Mahera maeneo ya Ubungo Stand.…

 

11 years ago

GPL

CHAMPIONI YAWAZAWADIA WAUZAJI WAKE

Wakala wa Ubungo, Magreth Mshana akipokea zawadi kutoka kwa Afisa Masoko wa Global Publishers ndugu Benjamin Mwanambuu. Wakala wa Buguruni   Shomari Rajab akijipatia zawadi yake pia.…

 

11 years ago

GPL

GLOBAL PUBLISHERS WAGAWA FEDHA NA FULANA KWA WAUZAJI WA MAGAZETI

Afisa Masoko wa Global Publishers, Benjamini  Mwanambuu akimkabidhi pesa muuza magazeti mama Rashid maeneo ya Tazara. Muuza  magazeti akipokea zawadi toka kwa Benjamini ambaye ni Afisa Masoko wa Global Publishers (pembeni yake ni Yohana). Bw.Kasenga akikabidhiwa…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani