Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CHAMPIONI YAWAZAWADIA WAUZAJI WAKE

Wakala wa Ubungo, Magreth Mshana akipokea zawadi kutoka kwa Afisa Masoko wa Global Publishers ndugu Benjamin Mwanambuu. Wakala wa Buguruni   Shomari Rajab akijipatia zawadi yake pia.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

CHAMPIONI YANG'ARISHA MADUKA DAR, YAGAWA MABANGO KWA WAUZAJI WAKE

Bango la gazeti la Championi likiwa limebandikwa kwenye kibanda cha kushonea nguo cha 'Sylvia Taailoring' kilichopo Tabata jijini Dar. Duka la Changila lililoko Tandale Magharibi likiwa na bango la Championi…

 

11 years ago

GPL

MR CHAMPIONI, AGAWA MAKOTI YA MVUA KWA WAUZAJI WA MAGAZETI JIJINI DAR

Wauzaji  wa magazeti(waliosimama) wakiwa wamevaa makoti ya mvua baada ya kupewa na Mr Championi(hayupo pichani), waliochuchumaa ni wafanyakazi wa Global Publishers. Mr Championi(kushoto) akiwakabidhi makoti ya mvua wauza magazeti katika  kituo cha Ubungo jijini Dar, Shinda Mahela na Championi.…

 

9 years ago

GPL

AIRTEL YAWAZAWADIA WATEJA WAKE MAMILIONI KUPITIA PROMOSHENI YAKE YA “JIONGEZEE NA MSHIKO”‏

Maneja mauzo wa Airtel Kigoma Philip Nkupama (kushoto) akimzawadia shilingi million moja, Bwana Luwi Saulo Karunda kutoka Kigoma baada ya kuwa mshindi katika droo ya nane ya promosheni ya “Jiongeze na Mshiko”. Afisa huduma za ziada Airtel bwana Fabian Felician.(kulia)  akimzawadia shilingi million tatu Habibu Mwella Freuzi   (kushoto), shilingi million tatu, baada ya kuwa mshindi katika droo ya nane ya promosheni ya...

 

10 years ago

GPL

MR CHAMPIONI AWATEMBELEA WASOMAJI WAKE DAR

Mr Championi (kushoto) akiwa na msomaji wa Championi.
Msomaji akionyesha zawadi aliyopewa na Mr Champion.
Mdau maarufu wa gazeti la Championi akifurahia zawadi.…

 

9 years ago

Dewji Blog

Championi yatunuku tuzo kwa waandishi na wahariri wake

TUZO CHAMPIONI (15)MC wa hafla ya ugawaji tuzo, ambaye pia ni Mhariri wa Gazeti la Championi Jumamosi, Elius Kambili akitoa neno la utangulizi wakati wa shughuli hiyo.

TUZO CHAMPIONI (2)Mwenyekiti wa shughuli hiyo ambaye pia ni Mhariri Kiongozi wa Magazeti ya Championi, Saleh Ally akifungua rasmi hafla fupi ya utoaji tuzo kwa waandishi na wahariri wa Championi.TUZO CHAMPIONI (4)Mhariri wa Gazeti la Amani, Andrew Carlos (kushoto) akikabidhi tuzo ya Mwandishi Bora Chipukizi wa Championi kwa Omary Mdose.

TUZO-CHAMPIONI-7

Mhariri wa Gazeti la Uwazi Mizengwe, Hashim...

 

11 years ago

GPL

MSHINDI WA MILIONI 10 ZA CHAMPIONI SHINDA MAHELA AKABIDHIWA MPUNGA WAKE

Mkurugenzi wa Global Publishers & General Enterprises Ltd, Marsha Bukumbi akimkabidhi mfano wa  hundi ya shilingi milioni 10 mshindi wa shindano la Championi Mahela, Kizito George Chuma (kushoto). Kizito George Chuma akiwa ameshika mfano wa hundi yake ya milioni 10.…

 

11 years ago

GPL

MR CHAMPIONI AZIDI KUGAWA ZAWADI KWA WASOMAJI WAKE JIJINI DAR

Mr Championi (kushoto) akimpa zawadi mama baada ya kununua gazeti la Championi Shinda Mahera. Msomaji akijiandaa kujaza kuponi ya Championi Shinda Mahera maeneo ya Ubungo Stand.…

 

10 years ago

GPL

MR. CHAMPIONI ATOA ZAWADI KWA WASOMAJI WA GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI

Msomaji wa Championi Jumamosi akirudishiwa pesa baada ya kukutwa akisoma gazeti. Msomaji wa gazeti la Championi Jumamosi akirudishiwa pesa…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani