Championi yatunuku tuzo kwa waandishi na wahariri wake
MC wa hafla ya ugawaji tuzo, ambaye pia ni Mhariri wa Gazeti la Championi Jumamosi, Elius Kambili akitoa neno la utangulizi wakati wa shughuli hiyo.
Mwenyekiti wa shughuli hiyo ambaye pia ni Mhariri Kiongozi wa Magazeti ya Championi, Saleh Ally akifungua rasmi hafla fupi ya utoaji tuzo kwa waandishi na wahariri wa Championi.
Mhariri wa Gazeti la Amani, Andrew Carlos (kushoto) akikabidhi tuzo ya Mwandishi Bora Chipukizi wa Championi kwa Omary Mdose.
Mhariri wa Gazeti la Uwazi Mizengwe, Hashim...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima01 Jul
Moro Talent yatunuku waandishi
KITUO cha kuibua na kukuza vipaji vya wasanii mkoani hapa, Moro Talent, kimewatunuku tuzo maalumu za umahiri wa habari za kijamii 2014 waandishi mbalimbali akiwamo Joseph Malembeka wa gazeti hili....
11 years ago
GPLMR CHAMPIONI AZIDI KUGAWA ZAWADI KWA WASOMAJI WAKE JIJINI DAR
10 years ago
GPLMR. CHAMPIONI ATOA ZAWADI KWA WASOMAJI WA GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI
11 years ago
GPLMR. CHAMPIONI AENDELEA KUGAWA ZAWADI KWA WASOMAJI WA GAZETI JIPYA LA CHAMPIONI JUMAMOSI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/0fdnarFzkJ4z65Kcb83VBoV31fKdceeWwVu60rConCS2PJtsJr5lDgMQiqeTXsoFYEzVlFBc0ilZk0RqA8v7t7ZlKNhiDM9a/CHAMPIONIIKINGAAENEOLATABATAJIJINIDAR.jpg?width=650)
CHAMPIONI YANG'ARISHA MADUKA DAR, YAGAWA MABANGO KWA WAUZAJI WAKE
9 years ago
Mwananchi05 Nov
Wahariri walaani waandishi kuzomewa
10 years ago
Habarileo20 Sep
Wahariri walaani waandishi kupigwa
WATU mbalimbali wamelaani kitendo cha waandishi wa habari kupigwa na polisi wakati wakifuatilia tukio la Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kuhojiwa na polisi na miongoni mwao ni Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) ambalo limesema linapeleka malalamiko rasmi kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Ernest Mangu kuhusu waandishi hao kupigwa na askari wa jeshi hilo huku wakimtaka kufumua jeshi hilo na kulipanga upya.
11 years ago
Tanzania Daima12 Jul
Wahariri, Waandishi Mtwara dimbani leo
KLABU ya Waandishi wa Habari Mtwara (MTPC), juzi imekabidhiwa jezi na mpira kwa ajili ya mechi ya kirafiki kati ya Jukwaa la Wahariri na wanahabari wa Mtwara, mechi itakayochezwa leo...