Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MR. CHAMPIONI ATOA ZAWADI KWA WASOMAJI WA GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI

Msomaji wa Championi Jumamosi akirudishiwa pesa baada ya kukutwa akisoma gazeti. Msomaji wa gazeti la Championi Jumamosi akirudishiwa pesa…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MR. CHAMPIONI AENDELEA KUGAWA ZAWADI KWA WASOMAJI WA GAZETI JIPYA LA CHAMPIONI JUMAMOSI

Mr. Championi akimkabidhi zawadi msomaji wa Championi Jumamosi akiwa amevua shati, kwa raha zake. Msomaji akirudishiwa Sh 500 aliyonunulia gazeti baada ya kukutwa na Mr. Championi.…

 

10 years ago

GPL

Championi yaja na zawadi kwa wasomaji

Zawadi zitakazotolewa na Gazeti la Champion. Na Mwandishi Wetu
GAZETI bora la michezo Tanzania, Championi, limeanzisha Chemsha Bongo ambayo wasomaji wake watakuwa wakijipatia zawadi mbalimbali. Wasomaji wa Championi ambalo linatoka mara nne kwa wiki yaani Jumatatu, Jumatano, Ijumaa na Jumamosi, wanatakiwa kujibu swali litakalokuwepo kwenye ukurasa wa pili wa kila toleo na mshindi atajinyakulia zawadi kemkem. Zawadi hizo...

 

11 years ago

GPL

MR CHAMPIONI AZIDI KUGAWA ZAWADI KWA WASOMAJI WAKE JIJINI DAR

Mr Championi (kushoto) akimpa zawadi mama baada ya kununua gazeti la Championi Shinda Mahera. Msomaji akijiandaa kujaza kuponi ya Championi Shinda Mahera maeneo ya Ubungo Stand.…

 

11 years ago

GPL

JIPATIE NAKALA YAKO YA GAZETI MAHIRI LA MICHEZO 'CHAMPIONI JUMAMOSI'

Kwa habari za michezo, burudani, hadithi za kusisimua, makala za uchambuzi wa michezo na mengine mengi, Soma gazeti la Championi Jumamosi!

 

11 years ago

GPL

GAZETI LA CHAMPIONI LAENDELEA KUGAWA FULANA KWA WAUZA MAGAZETI.

Muuzaji wa magazeti (kushoto) akiwa katika meza yake ya magazeti huku akiwa ametokelezea sambamba na mfanyakazi wa Global,  Jimmy Haroub (kulia). Muuzaji wa magazeti (kushoto) akionesha uso wa furaha baada ya kuvalishwa fulana ya Championi  na Jimmy Haroub.…

 

11 years ago

GPL

GAZETI LA CHAMPIONI LAKABIDHI UBANI KWA FAMILIA YA MAREHEMU MZEE SMALL

Waandishi wa Gazeti la Championi (waliochuchumaa), kutoka kushoto ni Lucy Mgina, Saphyna Mlawa, Martha Mboma na Khadija Mngwai wakimkabidhi ubani Mke wa Marehemu, Said Ngamba 'Mzee Small, Mama Said. Mhariri wa Championi Jumatano, Philip Nkini akimpa pole moja ya mtoto wa Marehemu Mzee Small.…

 

11 years ago

GPL

WASOMAJI WA RISASI NA CHAMPIONI WAZAWADIWA

Mhariri wa Risasi Mchanganyiko, Mohammed Kuyunga (kulia) akiwa na Joshua Simon aliyenunua magazeti ya Risasi na Championi, Kimara Suka jijini Dar na kurudishiwa fedha zake. Msomaji aliyekutwa akisoma Gazeti la Uwazi, Rebecca Mlotwa, aliweza kununuliwa Gazeti la Risasi Mchanganyiko, Ubungo jijini Dar.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani