Wahariri walaani waandishi kuzomewa
Dar es Salaam. Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), limelaani tukio la wafuasi wa CCM kuwazomea waandishi wa habari wa ITV waliokwenda kufuatilia mapokezi ya Rais mteule, Dk John Magufuli katika ofisi ndogo za CCM, Lumumba, Oktoba 30.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo20 Sep
Wahariri walaani waandishi kupigwa
WATU mbalimbali wamelaani kitendo cha waandishi wa habari kupigwa na polisi wakati wakifuatilia tukio la Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kuhojiwa na polisi na miongoni mwao ni Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) ambalo limesema linapeleka malalamiko rasmi kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Ernest Mangu kuhusu waandishi hao kupigwa na askari wa jeshi hilo huku wakimtaka kufumua jeshi hilo na kulipanga upya.
9 years ago
StarTV21 Nov
Mtandao wa wanawake walaani kuzomewa kwa Dk Ackson
Mtandao wa wanawake wa Katiba na Uchaguzi wamelaani kitendo cha baadhi ya wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kumuuliza maswali ya kejeli na kumzomea Naibu Spika Wa Bunge, Dokta Tulia Ackson na kuudhalilisha utu wa mwanamke wakati akijieleza kabla ya kupigiwa kura na kuidhinishwa na Bunge.
Wamesema kitendo hicho ni cha udhalilishaji na aibu kufanywa ndani ya chombo kikubwa cha uamuzi na baadhi ya wabunge ambao ni wawakilishi wa wananchi.
Akizungumzia kitendo hicho ambacho...
11 years ago
Mwananchi12 Dec
ANC walaani Zuma kuzomewa, wananchi wadai alistahili hilo
10 years ago
Habarileo15 Sep
Wahariri walaani mwandishi kupigwa
JUKWAA la Wahariri Nchini (TEF), limewataka wanahabari kuwa makini na maisha yao wakati huu wa mchakato wa uchaguzi sambamba na kulaani kitendo cha vijana wa Chadema cha kumshambulia na kumpiga mwandishi wa magazeti ya Uhuru na Mzalendo, Christopher Lissa.
11 years ago
Tanzania Daima22 Sep
CUF, NCCR walaani Polisi kupiga waandishi
CHAMA cha Wananchi (CUF), na NCCR Magaeuzi, vimelaani vikali kitendo cha Jeshi la Polisi kuwapiga Waandishi wa Habari waliokuwa wakifuaitilia kuhojiwa kwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),...
11 years ago
Tanzania Daima12 Jul
Wahariri, Waandishi Mtwara dimbani leo
KLABU ya Waandishi wa Habari Mtwara (MTPC), juzi imekabidhiwa jezi na mpira kwa ajili ya mechi ya kirafiki kati ya Jukwaa la Wahariri na wanahabari wa Mtwara, mechi itakayochezwa leo...
10 years ago
Dewji Blog04 Dec
Wahariri na waandishi wa habari wapewa semina ya uhifadhi wa mazingira
Meneja Uhifadhi wa Shirika la Utunzaji wa Mazingira WWF Tanzania, Dr. Amani Ngusaru ,akizungumza na wahariri na waandishi wa habari kutoka vyombo vya habari mbalimbali katika semina ilioandaliwa na (WWF) iliofanyika Disemba 2-3, 2014 mkoani Morogoro juu ya utunzaji wa mazingira ili kuleta uwiano sawa wa rasilimali zinazopatikana maeneo mbalimbali nchini.(PICHA ZOTE NA PHILEMON SOLOMON).
Mkurugenzi wa Shirika la Utunzaji wa Mazingira WWF Tanzania Bw. Bell’Aube Houinato akielezea malengo...
11 years ago
GPLJUKWAA LA WAHARIRI LALAANI POLISI KUWAPIGA WAANDISHI DAR
9 years ago
Dewji Blog29 Nov
Championi yatunuku tuzo kwa waandishi na wahariri wake
MC wa hafla ya ugawaji tuzo, ambaye pia ni Mhariri wa Gazeti la Championi Jumamosi, Elius Kambili akitoa neno la utangulizi wakati wa shughuli hiyo.
Mwenyekiti wa shughuli hiyo ambaye pia ni Mhariri Kiongozi wa Magazeti ya Championi, Saleh Ally akifungua rasmi hafla fupi ya utoaji tuzo kwa waandishi na wahariri wa Championi.
Mhariri wa Gazeti la Amani, Andrew Carlos (kushoto) akikabidhi tuzo ya Mwandishi Bora Chipukizi wa Championi kwa Omary Mdose.
Mhariri wa Gazeti la Uwazi Mizengwe, Hashim...