Mtandao wa wanawake walaani kuzomewa kwa Dk Ackson
Mtandao wa wanawake wa Katiba na Uchaguzi wamelaani kitendo cha baadhi ya wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kumuuliza maswali ya kejeli na kumzomea Naibu Spika Wa Bunge, Dokta Tulia Ackson na kuudhalilisha utu wa mwanamke wakati akijieleza kabla ya kupigiwa kura na kuidhinishwa na Bunge.
Wamesema kitendo hicho ni cha udhalilishaji na aibu kufanywa ndani ya chombo kikubwa cha uamuzi na baadhi ya wabunge ambao ni wawakilishi wa wananchi.
Akizungumzia kitendo hicho ambacho...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi05 Nov
Wahariri walaani waandishi kuzomewa
11 years ago
Mwananchi12 Dec
ANC walaani Zuma kuzomewa, wananchi wadai alistahili hilo
9 years ago
Mwananchi01 Nov
Mtandao wa TACCEO walaani polisi kuvamia kituo chao
11 years ago
Tanzania Daima26 May
Wanaharakati walaani wanawake kuuawa
MTANDAO wa Kupambana na Ukatili wa Kijinsia (Mkuki), umelaani matukio ya wanawake kuuawa kikatili na watu wasiojulikana ambao wakati mwingine huwakata na kuchukua viungo kwenye miili yao, ili kuvitumia kwenye...
10 years ago
Tanzania Daima11 Nov
BAWACHA walaani mauaji ya wanawake Mara
BARAZA la Wanawake CHADEMA, (BAWACHA), limelaani mauaji ya wanawake yanayofanywa na watu wasiofahamika maeneo mbalimbali ya Wilaya za Butiama na Musoma mkoani Mara huku Jeshi la Polisi likishindwa kuyadhibiti. Akiwahutubia...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-wSIydg4qmBQ/XrjoMw7d-KI/AAAAAAALpuk/Dqmk6472CuU-ifIjwzXbPam6sumwz0jpwCLcBGAsYHQ/s72-c/54081c48-442b-437b-85c5-e4fb82d2d292.jpg)
MTANDAO WA WANAWAKE LAKIMOJA WATOA PONGEZI KWA WAMAMA WOTE
MTANDAO wa Wanawake Laki Moja (100,000 WOMEN) wenye lengo la kuunganisha na Wanawake, kupambana na Ukatili wa Kijinsia na Umasikini hapa nchini umetoa pongezi kwa akina Mama wote walio mstari wa mbele kwenye mapambano dhidi ya virusi vya Corona.
Pongezi hizo zimetolewa leo ambayo ni siku ya Kina Mama (Mother's Day ) ambapo wamekuwa mstari wa mbele katika mapambano.
"WanawakeLakiMoja tunawapongeza kina Mama wote wa Tanzania na duniani kwa ujumla.Kazi kubwa wanazozifanya za...
9 years ago
Mwananchi17 Nov
Siku 67 za bahati kwa Dk Tulia Ackson
9 years ago
Raia Mwema25 Nov
Dk. Tulia Ackson: Nimebebwa kwa kushindwa kipi?
Wiki iliyopita, waandishi wetu DEUS BUGAYWA NA JOHN DANIEL, walifanya mahojiano maalumu na Naibu
Waandishi Wetu
9 years ago
Dewji Blog21 Nov
Mtandao wa Wanawake na Katiba waiomba Serikali ya Dk. Magufuli
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake na Katiba na Uchaguzi, Profesa Ruth Meena (kushoto) akizungumza na wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari jana jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania, Edah Sanga.
Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Wanawake Tanzania, Mary Rusimbi (kushoto) ambaye ni mjumbe wa Mtandao wa Wanawake na Katiba na Uchaguzi akizungumza na wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mwenyekiti...