Dk. Tulia Ackson: Nimebebwa kwa kushindwa kipi?
Wiki iliyopita, waandishi wetu DEUS BUGAYWA NA JOHN DANIEL, walifanya mahojiano maalumu na Naibu
Waandishi Wetu
Raia Mwema
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi17 Nov
Siku 67 za bahati kwa Dk Tulia Ackson
Dar es Salaam. Dk Tulia Ackson huenda akawa mmoja wa Watanzania wachache wenye bahati ya kupata vyeo tofauti vya juu nchini ndani ya siku 67.
9 years ago
Mwananchi19 Nov
Dk Tulia Ackson achaguliwa Naibu Spika wa Bunge
Wabunge 250 wamepiga kura za ndiyo kwa mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Mbunge wa Viti Maalumu, vya kuteuliwa na rais, Dk Tulia Ackson Mwansasu na kumchagua kuwa Naibu Spika wa Bunge la kumi na moja.
9 years ago
CCM Blog![](http://3.bp.blogspot.com/-j5vgT2mJ6is/Vkt7TPyB7lI/AAAAAAAArhU/V4T57IqANuo/s72-c/8.jpg)
DK. TULIA ACKSON APITA UNAIBU SPIKA CCM
![](http://3.bp.blogspot.com/-j5vgT2mJ6is/Vkt7TPyB7lI/AAAAAAAArhU/V4T57IqANuo/s640/8.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-n3swUSwB8P0/Vkt7YwCR5tI/AAAAAAAArhc/ZInvMnNajls/s640/11.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-6Dnla2W0rjc/Vkt7fLovi9I/AAAAAAAArhk/9quSU9UpU_A/s640/13.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-ddGB53TecPU/Vkt7hK8lUxI/AAAAAAAArhs/urO6OPlY0Lg/s640/10.jpg)
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/11/tulia.jpg?width=650)
RAIS MAGUFULI AMTEUA DK TULIA ACKSON KUWA MBUNGE
Aliyekuwa Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dk Tulia Ackson Mwansasu. RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli, leo asubuhi ametengua uteuzi wa Naibu Mwanasheria Mkuu, Dk Tulia Ackson Mwansasu na kumteua kuwa Mbunge. Kwa mujibu wa Msemaji wa Serikali ya Tanzania, Assah Mwambene, ameithibitisha kutenguliwa na kuteuliwa kwa Dk Tulia. Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Thomas Kashilila...
9 years ago
Mwananchi22 Nov
Dk Tulia Ackson: Sikubebwa bali nina uwezo na uzoefu wa kutosha
Kwa zaidi ya wiki sasa jina la Dk Tulia Akson si geni masikioni mwa Watanzania kutokana na kutawala katika vyombo vya habari, Bungeni, mitandao ya kijamii na hata katika vijiwe mbalimbali nchini.
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-PS1wXB0v9e4/VkmdmUqMs-I/AAAAAAAIGLI/z-dMLXuQd1o/s72-c/34873ebf69776e90b065e0e0a1f67148.jpg)
9 years ago
CCM Blog![](http://4.bp.blogspot.com/-BQPnm_uaSUk/Vk2k5IOHVzI/AAAAAAAArj8/lp66BPbPHvE/s72-c/8.jpg)
DK TULIA ACKSON NDIE NAIBU SPIKA WA BUNGE LA 11 LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
![](http://4.bp.blogspot.com/-BQPnm_uaSUk/Vk2k5IOHVzI/AAAAAAAArj8/lp66BPbPHvE/s640/8.jpg)
Idadi ya Wabunge inayotakiwa ni 394, waliosajiliwa 369, akidi ni 184 na waliohudhuria ni 351 na hakukuwa na kura iliyoharibika.
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-7gtzAuxckRw/Xt9PzD7_cII/AAAAAAAC7IQ/h2PLsZcHVqcEzYhRrwxaVUDkd8Wq67_SACLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
NAIBU SPIKA DKT. TULIA ACKSON AKIWASILI HOSPITALI KUMJULIA HALI MBOWE
![](https://1.bp.blogspot.com/-7gtzAuxckRw/Xt9PzD7_cII/AAAAAAAC7IQ/h2PLsZcHVqcEzYhRrwxaVUDkd8Wq67_SACLcBGAsYHQ/s400/1.jpg)
*****
Naibu Spika, Dk.Tulia Ackson amemjulia hali Mwenyekiti Chadema, Freeman Mbowe katika Hospitali ya Ntyuka, Dodoma anakopatiwa matibabu baada ya kuvamiwa na watu wasiojulikana na kisha kujeruhiwa na kuvunjwa mguu mmoja na kusema kuwa...
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-p2NiTvnRhFA/Vk2ktxJAETI/AAAAAAAIGyU/b7oB5Yk_fJ8/s72-c/tulia.jpg)
BREAKING NYUZZZZ.....: DKT. TULIA ACKSON MWANSASU APITISHWA KUWA NAIBU SPIKA WA BUNGE
![](http://4.bp.blogspot.com/-p2NiTvnRhFA/Vk2ktxJAETI/AAAAAAAIGyU/b7oB5Yk_fJ8/s640/tulia.jpg)
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, limempitisha Dkt. Tulia Ackson Mwansasu kuwa Naibu Spika wa Bunge, kwa kuta 250 sawa na 71.2% dhidi ya mpinzani wake, Mh. Magdalena Sakaya aliepata kura 101 sawa na 28.8%.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania