Mtandao wa TACCEO walaani polisi kuvamia kituo chao
Mtandao wa Asasi za Kiraia za Uangalizi wa Chaguzi (TACCEO), umelaani kitendo cha Polisi kuvamia kituo chao na kuwakamata waangalizi na vifaa walivyokuwa wakitumia kupokea taarifa zilizokuwa zikihusiana na mchakato wa uchaguzi uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziAskari wa kituo cha polisi Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara wafanya usafi kwenye mazingira yanayozunguka kituo chao.
10 years ago
Dewji Blog31 Oct
Polisi yavamia kituo cha ukusanyaji taarifa cha TACCEO na kukamata maafisa 36 pamoja na vifaa
Wakili Imelda – Lulu Urio Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa LHRC.
Na Mwandishi wetu
Mtandao wa Asasi za Kiraia za Kuangalia chaguzi nchini jana ulipata pigo katika mwendelezo wake wa kukusanya taarifa juu ya mchakato wa uchaguzi mkuu wa 2015 kama unavyoendelea nchi nzima baada ya Jeshi la Polisi kuvamia kituo cha kukusanya taarifa kilichopo katika ofisi za Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu ofisi ya Mbezi Beach.
Tukio hilo lisilo la kawaida lilitokea Majira ya saa nane mchana baada ya polisi...
10 years ago
Michuzi13 Jul
NEWS ALERT: WATU KADHAA WAUWAWA, SILAHA ZAPORWA BAADA YA MAJAMBAZI KUVAMIA KITUO KIDOGO CHA POLISI CHA SITAKISHARI, UKONGA, JIJINI DAR ES SALAAM USIKU HUU
Habari ambazo hazijathibitishwa zinasema kwamba askari polisi kadhaa kituoni hapo pamoja na raia mmoja wameuwawa. Silaha kadhaa pia inasemekana zimeporwa na askari wako eneo la tukio hivi sasa.
Tunaendelea kufuatilia taarifa hii na tutawajuza maendeleo yake kadri tutapopata fununu...
9 years ago
StarTV21 Nov
Mtandao wa wanawake walaani kuzomewa kwa Dk Ackson
Mtandao wa wanawake wa Katiba na Uchaguzi wamelaani kitendo cha baadhi ya wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kumuuliza maswali ya kejeli na kumzomea Naibu Spika Wa Bunge, Dokta Tulia Ackson na kuudhalilisha utu wa mwanamke wakati akijieleza kabla ya kupigiwa kura na kuidhinishwa na Bunge.
Wamesema kitendo hicho ni cha udhalilishaji na aibu kufanywa ndani ya chombo kikubwa cha uamuzi na baadhi ya wabunge ambao ni wawakilishi wa wananchi.
Akizungumzia kitendo hicho ambacho...
11 years ago
Michuzi24 Sep
KESI WAFUASI WA CHADEMA KUVAMIA POLISI YASOMWA LEO MAHAKAMANI
Kadhalika, washtakiwa hao Ngaiza Kamugisha (28) dereva, mkazi wa Vingunguti, Benito Mwapinga (30) Fundi nguo mkazi wa Mtoni kwa Azizi Ally na Eliasante Bugeji (51) Mhasibu wa CCBRT mkazi wa Komakoma Kinondoni, Dar es Salaam, wanadaiwa...
11 years ago
Tanzania Daima22 Sep
CUF, NCCR walaani Polisi kupiga waandishi
CHAMA cha Wananchi (CUF), na NCCR Magaeuzi, vimelaani vikali kitendo cha Jeshi la Polisi kuwapiga Waandishi wa Habari waliokuwa wakifuaitilia kuhojiwa kwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),...
10 years ago
GPL
KITUO CHA POLISI STAKISHARI-UKONGA CHAVAMIWA, POLISI WAUAWA NA KUPORWA SILAHA
5 years ago
Michuzi
JESHI LA POLISI ARUSHA LAANZA UJENZI KITUO KIDOGO CHA POLISI KATA YA KISONGO,ARUMERU KUONDOA KERO KWA WANANCHI
Akikabidhi eneo hilo kwa kuanza kupanda miti, Mkuu wa wilaya hiyo Muro, alisema kituo hicho kitasaidia kuimarisha ulinzi kwa jamii katika eneo hilo baada ya muda mrefu kuwepo matukio ya uhalifu.
Alisema eneo hilo ambalo linakuwa kwa kasi kumekuwepo na...