CUF, NCCR walaani Polisi kupiga waandishi
CHAMA cha Wananchi (CUF), na NCCR Magaeuzi, vimelaani vikali kitendo cha Jeshi la Polisi kuwapiga Waandishi wa Habari waliokuwa wakifuaitilia kuhojiwa kwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo20 Sep
Wahariri walaani waandishi kupigwa
WATU mbalimbali wamelaani kitendo cha waandishi wa habari kupigwa na polisi wakati wakifuatilia tukio la Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kuhojiwa na polisi na miongoni mwao ni Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) ambalo limesema linapeleka malalamiko rasmi kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Ernest Mangu kuhusu waandishi hao kupigwa na askari wa jeshi hilo huku wakimtaka kufumua jeshi hilo na kulipanga upya.
9 years ago
Mwananchi05 Nov
Wahariri walaani waandishi kuzomewa
10 years ago
Mtanzania25 Mar
CUF walaani kipigo cha jeshi
Na Aziza Masoud, Dar es Salaam
CHAMA cha Wananchi (CUF) kimelaani kitendo cha Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Kikosi cha Itende, mkoani Mbeya kuingia mtaani kupiga wananchi huku wakiwalazimisha kufanya usafi katika utaratibu usiofaa.
Taarifa iliyotolewa jana na chama hicho kupitia Mkurugenzi wa Haki za Binadamu wa chama hicho, Kuruthumu Mchuchuri, ilieleza kuwa chama hicho kinaunga mkono juhudi za kufanya usafi, lakini kwa kutumia utaratibu sahihi na si uliotumika.
“Kwa hali isiyokuwa ya...
9 years ago
Habarileo16 Sep
Mbunge avitabiria CUF, NCCR anguko
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kuungana kwa vyama vinne ya siasa vya upinzani na kuunda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) hasa katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu, ni sawa na kujiua kisiasa na kukijenga zaidi Chadema.
11 years ago
Mwananchi19 Apr
Mbowe kuwateua Cuf, NCCR Baraza Kivuli
11 years ago
Habarileo25 Apr
Viongozi Chadema, CUF, NCCR watakiwa kujiuzulu
WANACHAMA wa vyama vya siasa vya upinzani kikiwemo Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), NCCR-Mageuzi na Chama cha Wananchi-CUF, wametakiwa kuwashurutisha viongozi wao wa kitaifa wajiuzulu mara moja kwa kususia vikao vya Bunge Maalumu la Katiba.
11 years ago
Habarileo12 May
Nape asema ni ndoa ya Chadema, CUF, NCCR ya ubabaishaji
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye amesema ‘ndoa’ upinzani bungeni iliyozaa Baraza Kivuli la Mawaziri la vyama vya Chedema, CUF na NCCR-Mageuzi, ni mwendelezo wa ubabaishaji na matusi makubwa kwa vyama vingine vilivyokubali ndoa hiyo hasa CUF.
10 years ago
Mwananchi13 May
Ukawa safi, lakini huu ni mwisho wa CUF, NCCR
10 years ago
Mwananchi21 Dec
Makilagi: Chadema ‘imeiua’ CUF, NCCR Uchaguzi Mitaa