Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MTANDAO WA WANAWAKE LAKIMOJA WATOA PONGEZI KWA WAMAMA WOTE

NA MWANDISHI WETU.

MTANDAO wa Wanawake Laki Moja  (100,000  WOMEN) wenye lengo la kuunganisha na Wanawake, kupambana na Ukatili wa Kijinsia na Umasikini hapa nchini umetoa pongezi kwa akina Mama wote walio mstari wa mbele kwenye mapambano dhidi ya virusi vya Corona.

Pongezi hizo zimetolewa leo ambayo ni siku ya Kina Mama (Mother's Day )  ambapo wamekuwa mstari wa mbele katika mapambano.

"WanawakeLakiMoja tunawapongeza kina Mama wote wa Tanzania na duniani kwa ujumla.Kazi kubwa wanazozifanya za...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

HOTUBA YA PONGEZI KWA MH.RAISI WA TANZANIA, RAISI WA ZANZIBAR NA VIONGOZI WOTE WALIOFANIKISHA KUPATIKANA KWA KATIBA INAYOPENDEKEZWA.


Ndugu viongozi wote wa serikali ya Chama Cha Mapinduzi diaspora, wawakilishi wa serikali ya Tanzania ndani na nje ya nchi, taasisi za kitaifa na kimataifa, mashirika ya kijamii, mashirika binafsi, viongozi mbalimbali; itifaki imezingatiwa.
Awali ya yote napenda kumshukuru M/Mungu kwa kutupa uzima na afya njema kuweza kutekeleza majukumu yetu ya kila siku ikiwemo kusimamia sera na utendaji wa serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi huku diaspora. Pia napenda...

 

9 years ago

MillardAyo

Cover ya ‘Hello’ iliyoimbwa kwa Kiswahili yapokea pongezi kubwa… imewagusa mtandao huu wa Marekani!

Ujio wa Adele kwenye headlines za muziki umekuwa moja ya matukio makubwa kwenye kurasa za burudani kwa mwaka huu wa 2015. Baada ya ukimya wa miaka minne, Adele alirudi kuchukua nafasi yake kwenye chati za muziki na ujio wa single yake ya kwanza ‘Hello’, single inayopatikana kwenye album yake mpya, 25. Toka kipindi hicho, wimbo […]

The post Cover ya ‘Hello’ iliyoimbwa kwa Kiswahili yapokea pongezi kubwa… imewagusa mtandao huu wa Marekani! appeared first on...

 

10 years ago

Michuzi

Mtandao wa waandishi kupitia mitandao nchini watoa tamko didi ya muswada wa Sheria ya Makosa ya Mtandao,2015

 Mtandao wa waandishi kupitia mitandao nchini, Tanzania Bloggers Network (TBN) tunamuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete kutumia mamlaka yake vyema kwa kutokupitisha muswada wa Sheria ya Makosa ya Mtandao, 2015 unaokandamiza uhuru wa mawasiliano mitandaoni.  Muswada wa sheria ya makosa ya Mtandaoni unaainisha makosa yanayohusiana na matumizi ya mfumo wa kompyuta na Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, na kuweka utaratibu wa upelelezi, ukusanyaji na matumizi...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mtandao wa Haki za Binadamu watoa tamko juu ya kutekwa na kuteswa kwa kiongozi wa wahitimu JKT

9

Mwenyekiti wa JKT Tanzania, Bw. George Mgoba akiwa wodini.

TAMKO KWA VYOMBO VYA HABARI.docx by moblog

 

11 years ago

Michuzi

Airtel Divas watoa msaada kwa wanawake wasiojiweza

Umoja wa wafanyakazi wanawake wa Airtel ujulikanao kama Airtel Divas umejitoa kuwasaidia na Kikundi cha Sauti ya Wanawake wenye Ulemavu Tanzania (SWAUTA )  kilichopo Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi hao wa Airtel walifanya uzinduzi rasmi wa Airtel Divas  na kualika kikundi cha SWAUTA kuonyesha na kuuza bidhaa zao kwa wafanyakazi wa Airtel na kuwawezesha kupata fedha kwaajili ya kuwa na banda lao katika maonyesho ya 38 ya kimataifa  ya SABASABA.
Akiongea wakati wa uzinduzi huo...

 

9 years ago

StarTV

Mtandao wa wanawake walaani kuzomewa kwa Dk Ackson

Mtandao wa wanawake wa Katiba na Uchaguzi  wamelaani kitendo cha baadhi ya wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  kumuuliza maswali ya kejeli  na kumzomea Naibu Spika Wa Bunge,  Dokta Tulia Ackson na kuudhalilisha utu wa mwanamke wakati akijieleza kabla ya kupigiwa kura na kuidhinishwa na Bunge.

Wamesema kitendo hicho ni cha udhalilishaji na aibu kufanywa ndani ya chombo kikubwa cha uamuzi na baadhi ya wabunge ambao ni wawakilishi wa wananchi.

Akizungumzia kitendo hicho ambacho...

 

5 years ago

BBCSwahili

Siku ya wanawake duniani 2020: Wanawake watoa wito wa usawa

Maandamano ya kuhamasisha suala la ubaguzi dhidi ya wanawake yamefanyika katika miji tofauti duniani kuadhimisha siku ya wanawake duniani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani