Mtandao wa waandishi kupitia mitandao nchini watoa tamko didi ya muswada wa Sheria ya Makosa ya Mtandao,2015
![](http://3.bp.blogspot.com/-SwLvdmcGtzU/VR6mW0nXhwI/AAAAAAAHPHM/I20UdBUNpZU/s72-c/unnamed%2B(2).jpg)
Mtandao wa waandishi kupitia mitandao nchini, Tanzania Bloggers Network (TBN) tunamuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete kutumia mamlaka yake vyema kwa kutokupitisha muswada wa Sheria ya Makosa ya Mtandao, 2015 unaokandamiza uhuru wa mawasiliano mitandaoni. Muswada wa sheria ya makosa ya Mtandaoni unaainisha makosa yanayohusiana na matumizi ya mfumo wa kompyuta na Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, na kuweka utaratibu wa upelelezi, ukusanyaji na matumizi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Ykileo26 Apr
BUNGE LINATEGEMEA KUWASILISHA BUNGENI MUSWADA SHERIA ZA MAKOSA MTANDAO.
Kupitishwa kwa miswada hiyo kuwa sheria kutapunguza hali ya kukithiri kwa matukio ya uhalifu wa kutumia mtandao, uvujaji wa taarifa za siri pamoja na upotevu wa haki miliki kutokana na kukosekana kwa sheria ya kudhibiti vitendo hivyo.
Miongoni mwa Miswada ya sheria itakayoandaliwa na Wizara hiyo ni pamoja na muswada...
10 years ago
Ykileo![](http://3.bp.blogspot.com/-Kz1A6yJtmvw/VRwlc3ZwFgI/AAAAAAAABYI/gCMT6A-S6uo/s72-c/cyber_law.jpg)
UCHAMBUZI WA SHERIA ZA MAKOSA MTANDAO, 2015
![](http://3.bp.blogspot.com/-Kz1A6yJtmvw/VRwlc3ZwFgI/AAAAAAAABYI/gCMT6A-S6uo/s1600/cyber_law.jpg)
Nitaanza na...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NpAlVAvTs3OvP*GExdpiQ7D*XCQ7s71KdLPfwqJts*J0ze7QNe2SsVyi5ME5BiBBNF0j*MbolAiFlyB50PIdpZD0wJTyBm2C/10984983_897634173633911_3040955696030526845_n.jpg?width=650)
UCHAMBUZI WA SHERIA YA MAKOSA YA MTANDAO, 2015
10 years ago
Dewji Blog03 Apr
Tamko la TBN kumuomba Mh. Rais Jakaya Mrisho Kikwete asipitishe Muswada wa Sheria ya Makosa ya Mtandaoni, 2015
Tamko la Bloggers Tanzania.pdf by moblog
10 years ago
Dewji Blog08 May
Soma tamko la Wanachama wa Policy Forum juu ya Miswada ya Takwimu na Makosa ya Mtandao,2015
TAMKO LA WANACHAMA WA POLICY FORUM: Miswada ya Takwimu pamoja na Makosa ya Mtandao, 2015
Sisi, wanachama wa Policy Forum, Mtandao wa mashirika yasiyo ya kiserikali, tuliokutana tarehe 29 na 30 Aprili, 2015 katika mkutano wetu wa mwaka (AGM) Dar es salaam, tumesoma na kuchambua kwa kina Miswada ya Sheria ya Takwimu pamoja na Sheria ya Makosa ya Mtandao ya mwaka 2015 kwa lengo la kujieleimisha na masuala ya katiba na uchaguzi mkuu 2015.
1. SHERIA YA TAKWIMU NA SHERIA YA MAKOSA YA...
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-lRXOY8TlRVY/VeTNKwVJ5LI/AAAAAAAH1a4/ZxoSpmwSA3M/s72-c/unnamed%2B%252821%2529.jpg)
HOTUBA YA MHESHIMIWA PROF. MAKAME M. MBARAWA (MB), WAZIRI WA MAWASILIANO, SAYANSI NA TEKNOLOJIA KWA WAANDISHI WA HABARI YA KUTANGAZA RASMI KUANZA KUTUMIKA KWA SHERIA YA MAKOSA YA MTANDAO NA YA MIAMALA YA KIELEKTRONIKI ZA MWAKA 2015 KWENYE UKUMBI WA MIKUTA
Mabibi na Mabwana,Napenda nichukue fursa hii kuwashukuru nyote hasa waandishi wa habari kwa kutenga muda wenu na kujumuika nasi kwa lengo la kutangaza rasmi kuanza kutumika kwa Sheria ya Makosa ya Mtandao, 2015 ambayo ilitangazwa kwenye gazeti la Serikali la tarehe 14/08/2015 na kupewa Na. 328. Pia Sheria ya Miamala ya Kielektroniki, 2015 ambayo ilitangazwa kwenye Gazeti la Serikali la tarehe hiyo hiyo na kupewa Na.329.
Ndugu Wananchi,Teknolojia ya Habari na...
10 years ago
Dewji Blog05 Apr
Sikika yakanusha taarifa ya upotoshaji wa mswada wa Sheria ya Makosa ya Mtandao 2015
Naomba nifafanue kuhusu propaganda inayoenezwa na maafisa wa TCRA kupitia CloundsFM kuhusu Sikika na Mswada wa #CyberCrimeBill.
Sikika haikuhudhuria mkutano wa wadau unaodaiwa kufanyika Dodoma kama ilivyodaiwa na Mh Peter Serukamba na leo maafisa wa TCRA.
Sikika haikutoa maoni kuhusu Mswada wa miamala ya kielektoniki kama ilivyodaiwa na Mh Peter Serukamba na pia leo maafisa wa TCRA.
Mkurugenzi wa Sikika, Irenei Kiria (kulia) picha ya Maktaba ya mtandao.
Sikika ilituma maoni ya pamoja ya...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-MAPAUKQXw-0/VR-5aJfpFsI/AAAAAAAHPSg/oGWRYU12Bxs/s72-c/Sikika.jpg)
Taarifa kutoka Sikika kuhusu upotoshaji wa mswada wa Sheria ya Makosa ya Mtandao 2015
![](http://2.bp.blogspot.com/-MAPAUKQXw-0/VR-5aJfpFsI/AAAAAAAHPSg/oGWRYU12Bxs/s1600/Sikika.jpg)
Sikika haikuhudhuria mkutano wa wadau unaodaiwa kufanyika Dodoma kama ilivyodaiwa na Mh Peter Serukamba na leo maafisa wa TCRA.
Sikika haikutoa maoni kuhusu Mswada wa miamala ya kielektoniki kama ilivyodaiwa na Mh Peter Serukamba na pia leo maafisa wa TCRA.
Sikika ilituma maoni ya pamoja ya wadau kwa niaba ya wadau kuhusu #CyberCrimeBill kwa njia ya email...