Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


USIKU MWEMA KWA WOTE WASOMAJI WA MTANDAO WETU,NA KAZI NJEMA KWA WOTE MLIOPO MAKAZINI


Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

MTANDAO WA WANAWAKE LAKIMOJA WATOA PONGEZI KWA WAMAMA WOTE

NA MWANDISHI WETU.

MTANDAO wa Wanawake Laki Moja  (100,000  WOMEN) wenye lengo la kuunganisha na Wanawake, kupambana na Ukatili wa Kijinsia na Umasikini hapa nchini umetoa pongezi kwa akina Mama wote walio mstari wa mbele kwenye mapambano dhidi ya virusi vya Corona.

Pongezi hizo zimetolewa leo ambayo ni siku ya Kina Mama (Mother's Day )  ambapo wamekuwa mstari wa mbele katika mapambano.

"WanawakeLakiMoja tunawapongeza kina Mama wote wa Tanzania na duniani kwa ujumla.Kazi kubwa wanazozifanya za...

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI YARIDHISHWA NA UTENDAJI KAZI MFUKO WA MAWASILIANO KWA WOTE

Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye akikata utepe kuzindua mnara wa mawasiliano uliojengwa na TTCL kwenye kijiji cha Maleza kilichopo kata ya Mbangala mkoani Songwe. Wa kwanza kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Songwe, Samwel Jeremia
Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye (katikati) akisisitiza jambo kwa Meneja Mtandao wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) wa Mkoa wa Songwe, Castuly Puka (wa pili kushoto) baada ya kuzindua mnara wa...

 

9 years ago

Michuzi

Askofu Dk. Charles Gadi atawazwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Habari Njema kwa Wote Tanzania, atunukiwa shahada mbili za udaktari Bagamoyo

 Maaskofu kutoka nchi mbalimbali wakiwasili katika viwanja vya Kanisa la Habari Njema kwa Wote, lililopo mpakani mwa Dar es Salaam na Bagamoyo, ambako kulifanyika sherehe za kumtawaza na kumtunuku shahada mbili za udaktari Askofu Dk. Charles Gadi Jumapili

Moja ya kikundi cha kwaya ambazo zilitumbuiza katika hafla hiyo.


 Askofu Gadi akisimikwa na Maaskofu mbalimbali kutoka nje na nchini Jumapili

 Askofu Gadi akivikwa kofia kuashiria kutawazwa kuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Habari Njema kwa Wote...

 

10 years ago

Vijimambo

MARRY X-MAS EVE - JUMATANO- SAFARI RESTAURANT INAPENDA KUWAKARIBISHA WOTE KUSHEHEREKEA USIKU WA XMAS KWA PUNGUNGUZO LA 20 %

SAFARI RESTAURANT WASHINGTON DC
Tunapenda Kuwatakia Xmas Njema Wateja wetu wote,Jumatano Usiku wa kuhamkia Xmas tunatoa punguzo la asilimia 25% kwa kila ENTREE ili kuwezesha watu wote kuikaribisha Xmas ndani ya Safari Restaurant Washington DC,
  TUNAFUNGUA KUANZIA 5PM-11PM,NA SIKU YA ALHAMISI TUTAFUNGA ili Kuwawezesha wafanyakazi wetu Kusheherekea XMas pamoja na Familia Zao.
 ADDRESS ni 4306 Georgia Avenue,NW,Washington,DC,20011,KARIBUNI.

 

10 years ago

Vijimambo

5 years ago

CCM Blog

MUFTI WA TANZANIA AWATAKIAKIA WAISLAMU WOTE DUNIANI SIKU KUU NJEMA

  Mufti wa Tanzania Abubabakary Zubery

Napenda kuchukua fursa hii kusema kuwa mwezi umeonekana maeneo mbalimbali ikiwemo Lam, Mombasa,  Nawapa mkono wa Eid el fitri Waislamu kote Duniani ambao wamehitimisha Ibada ya mwezi mzima wa mfungo mtukufu wa Ramadhan. Pia napenda kuchukua fulsa hii kuwakumbusha kuchukua tahadhari wote tukumbuke maagizo tunayo pewa na Serikali kupitia Wataalamu wake wa Afya kuendelea kuchukua maelekezo juu ya ugonjwa hatari wa CORONA. Na 
Kupitia maombi yenu Mwenyezi...

 

9 years ago

Dewji Blog

Modewjiblog: Tunawatakia upigaji kura mwema Watanzania wote, Amani yetu, Taifa letu !

Tanzania_flag_map

Na Andrew Chale, Modewjiblog

[HARARE-ZIMBABWE]

Jumapili ya leo Oktoba 25, 2015, Taifa la Tanzania linafanya Uchaguzi Mkuu wa madiwani, wabunge pamoja na kumpata Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika hatua ambayo wananchi watapiga kura ya NDIO kwa mgombea wanayemtaka wao. Kwa kuzingatia amani na utulivu wetu, Mtandao wa Modewjiblog inaungana na Watanzania wote popote walipo kutakia kila lakheri katika siku hii muhimu na ya kihistoria ambayo utokea mara moja kila...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani