Modewjiblog: Tunawatakia upigaji kura mwema Watanzania wote, Amani yetu, Taifa letu !
Na Andrew Chale, Modewjiblog
[HARARE-ZIMBABWE]
Jumapili ya leo Oktoba 25, 2015, Taifa la Tanzania linafanya Uchaguzi Mkuu wa madiwani, wabunge pamoja na kumpata Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika hatua ambayo wananchi watapiga kura ya NDIO kwa mgombea wanayemtaka wao. Kwa kuzingatia amani na utulivu wetu, Mtandao wa Modewjiblog inaungana na Watanzania wote popote walipo kutakia kila lakheri katika siku hii muhimu na ya kihistoria ambayo utokea mara moja kila...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog26 Oct
Modewjiblog: Hongera watanzania kupiga kura kwa amani na utulivu, sasa tujiandae kupokea matokeo!
Na Andrew Chale, Modewjiblog
Jumapili ya Oktoba 25, 2015, Taifa la Tanzania tumeshuhudia wananchi wake wakipiga kura kuwachagua viongozi katika Uchaguzi Mkuu wa madiwani, wabunge pamoja na kumpata Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Uchaguzi huu wa amani na huru umeweza kufanyika katika maeneo mbalimbali nchini Tanzania, sasa hatua inayofuata ni ya Mamlaka husika ambao ni Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC na ZEC) kwa upande wa Zanzibar ambao ndio wenye majukumu ya kutoa...
9 years ago
Dewji Blog16 Nov
Amani yetu ni tunu adhimu baraka na fanaka, tuilinde Watanzania wote!
10 years ago
Mtanzania09 Oct
Taifa letu, fahari yetu
Na Waandishi wetu
RAIS Jakaya Kikwete na Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein jana wamepokea Katiba inayopendekezwa mjini Dodoma.
Akizungumza katika sherehe zilizofanyika Uwanja wa Jamhuri,Rais Kikwete aliwataka watu ambao hawakuridhika na mchakato wavute subira.
Sherehe hizo zimefanyika huku wajumbe wa kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), wakiwa wamesusia vikao vya Bunge hilo tangu Aprili 16, mwaka huu.
Rais Kikwete aliyeanza kuhutubia saa moja jioni, alisema licha ya uzuri wa...
9 years ago
MichuziWATANZANIA TUTAMBUE AMANI YETU NI FAHARI YETU.
10 years ago
Dewji Blog06 Jan
10 years ago
Vijimambo24 Mar
WATANZANIA LAZIMA TUWE MAKINI NA MATAJIRI WA NCHI HII KWA MUSTAKABALI WA TAIFA LETU NA USTAWI WA WATANZANIA MASKINI
9 years ago
Habarileo25 Oct
Upigaji kura waendelea kwa amani na utulivu
WATANZANIA leo waliamka mapema na kuwahi katika vituo vya kupigia kura kwa ajili ya kuchagua viongozi wao watakaoliongoza taifa lao katika kipindi cha miaka mitano ijayo.
Misururu mirefu imeonekana katika maeneo mengi ya nchi hususani katika jiji la Dar es Salaam, hali inayoonesha kuwa watu wajejawa na hamasa kubwa ya kuchagua kiongozi wao kama walivyokuwa wakijitokeza katika mikutano ya kampeni.
Watu wengi wamejitokeza katika vituo mapema kabisa leo alfajiri ambapo vituo vilifunguliwa...
9 years ago
MichuziZOEZI LA UPIGAJI KURA LAENDELEA KWA UTULIVU NA AMANI VISIWANI ZANZIBAR
9 years ago
MichuziZOEZI ZA UPIGAJI KURA LAANZA NA KUENDELEA KWA UTULIVU NA AMANI JIJINI DAR ES SALAAM
Kituo cha Dispensary ya Kata ya Olorieni, Arusha.
Picha kwa hisani ya blogger Seria
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10