MUFTI WA TANZANIA AWATAKIAKIA WAISLAMU WOTE DUNIANI SIKU KUU NJEMA
Mufti wa Tanzania Abubabakary Zubery
Napenda kuchukua fursa hii kusema kuwa mwezi umeonekana maeneo mbalimbali ikiwemo Lam, Mombasa, Nawapa mkono wa Eid el fitri Waislamu kote Duniani ambao wamehitimisha Ibada ya mwezi mzima wa mfungo mtukufu wa Ramadhan. Pia napenda kuchukua fulsa hii kuwakumbusha kuchukua tahadhari wote tukumbuke maagizo tunayo pewa na Serikali kupitia Wataalamu wake wa Afya kuendelea kuchukua maelekezo juu ya ugonjwa hatari wa CORONA. Na
Kupitia maombi yenu Mwenyezi...
CCM Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog03 Apr
Modewji blog inakutakia furaha njema ya siku ya Ijumaa kuu leo na Pasaka njema
Msomaji wa Modewji blog leo ni siku ya Ijumaa kuu mtandao huu unaungana na wakristo wote Duniani katika kuadhimisha siku hii pamoja na sikukuu ya Pasaka.
Mtandao huu unawatakia Sikukuu njema, sherehe njema na tuiadhimishe kwa amani.
Modewji blog pia inapenda kuwakumbusha wazazi kuwa waangalifu na watoto wadogo...
10 years ago
MichuziRAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE AMETUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KWA WAISLAMU WOTE NA BAKWATA KUFUATIA KIFO CHA SHEIKH MKUU WA TANZANIA MUFTI SHEIKH ISSA BIN SHAABAN SIMBA
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIADIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: ikulucommpress@googlemail.comWebsite : www.ikulu.go.tz Fax: 255-22-2113425
PRESIDENT’S OFFICE, STATE HOUSE, 1 BARACK OBAMA ROAD, 11400 DAR ES SALAAM.Tanzania. TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais Jakaya Mrisho Kikwete ametuma salamu za rambirambi kwa Waislamu wote nchini na Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA)) kufuatia kifo...
10 years ago
Vijimambo10 years ago
Vijimambo10 years ago
GPLRAIS KIKWETE ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KWA WAISLAMU WOTE NA BAKWATA KUFUATIA KIFO CHA SHEIKH MKUU WA TANZANIA
10 years ago
VijimamboWAISLAMU TANZANIA WAUNGANA NA WENZAO DUNIANI KUSHEREHEKEA MAULID YA MTUME MUHAMMAD (SAW)
11 years ago
Tanzania Daima16 Jan
Mufti Simba aonya Waislamu
SHEIKH Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa bin Shaaban Simba, amewataka waumini wa dini ya Kiislamu kufuata amri na mafundisho sahihi ya dini hiyo ili kujiepusha na maovu. Mufti Simba alisema...
9 years ago
MichuziAskofu Dk. Charles Gadi atawazwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Habari Njema kwa Wote Tanzania, atunukiwa shahada mbili za udaktari Bagamoyo
Askofu Gadi akisimikwa na Maaskofu mbalimbali kutoka nje na nchini Jumapili
Askofu Gadi akivikwa kofia kuashiria kutawazwa kuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Habari Njema kwa Wote...
11 years ago
BBCSwahili09 Feb
Waislamu wote wataihama CAR