Wanaharakati walaani wanawake kuuawa
MTANDAO wa Kupambana na Ukatili wa Kijinsia (Mkuki), umelaani matukio ya wanawake kuuawa kikatili na watu wasiojulikana ambao wakati mwingine huwakata na kuchukua viungo kwenye miili yao, ili kuvitumia kwenye...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima24 May
Wanaharakati walaani mtoto kufanyiwa ukatili
TAASISI zinazojihusisha na utetezi wa haki za binadamu, wanawake na watoto, zimelaani kitendo cha walezi wa mtoto Nasra Rashid (4) kumficha katika boksi tangu akiwa na miezi tisa hadi sasa...
11 years ago
Tanzania Daima15 May
Wanaharakati walaani utekaji wasichana Nigeria
CHAMA cha Wanahabari Wanawake Tanzania (Tamwa) kwa kushirikiana na mashirika yanayotetea haki za wanawake na watoto, wamelaani vitendo vya utekaji nyara kwa wasichana zaidi ya 200 vilivyofanywa na maharamia (Boko...
11 years ago
BBCSwahili07 Apr
UN: Walaani kuuawa maafisa wake Somalia
10 years ago
Tanzania Daima11 Nov
BAWACHA walaani mauaji ya wanawake Mara
BARAZA la Wanawake CHADEMA, (BAWACHA), limelaani mauaji ya wanawake yanayofanywa na watu wasiofahamika maeneo mbalimbali ya Wilaya za Butiama na Musoma mkoani Mara huku Jeshi la Polisi likishindwa kuyadhibiti. Akiwahutubia...
9 years ago
StarTV21 Nov
Mtandao wa wanawake walaani kuzomewa kwa Dk Ackson
Mtandao wa wanawake wa Katiba na Uchaguzi wamelaani kitendo cha baadhi ya wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kumuuliza maswali ya kejeli na kumzomea Naibu Spika Wa Bunge, Dokta Tulia Ackson na kuudhalilisha utu wa mwanamke wakati akijieleza kabla ya kupigiwa kura na kuidhinishwa na Bunge.
Wamesema kitendo hicho ni cha udhalilishaji na aibu kufanywa ndani ya chombo kikubwa cha uamuzi na baadhi ya wabunge ambao ni wawakilishi wa wananchi.
Akizungumzia kitendo hicho ambacho...
11 years ago
Tanzania Daima13 Jan
Albino walaani unyanyapaa
CHAMA cha Watu Wenye Ulemavu wa Ngozi nchini (Albino-TAS), Mkoa wa Mwanza, kimelaani unyanyapaa wanaofanyiwa na kuiomba serikali kuwapatia huduma bora za kiafya na elimu. Wameomba pia kusaidiwa vyumba kwa...
11 years ago
Tanzania Daima07 Mar
Wajumbe walaani vurugu
MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba amelaani vikali vitendo vya vurugu, kejeli na matusi vinavyofanywa na baadhi ya wajumbe wa bunge hilo. Akizungumza na waandishi wa habari muda mfupi baada...
9 years ago
Habarileo15 Sep
Wahariri walaani mwandishi kupigwa
JUKWAA la Wahariri Nchini (TEF), limewataka wanahabari kuwa makini na maisha yao wakati huu wa mchakato wa uchaguzi sambamba na kulaani kitendo cha vijana wa Chadema cha kumshambulia na kumpiga mwandishi wa magazeti ya Uhuru na Mzalendo, Christopher Lissa.
10 years ago
Habarileo20 Sep
Wahariri walaani waandishi kupigwa
WATU mbalimbali wamelaani kitendo cha waandishi wa habari kupigwa na polisi wakati wakifuatilia tukio la Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kuhojiwa na polisi na miongoni mwao ni Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) ambalo limesema linapeleka malalamiko rasmi kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Ernest Mangu kuhusu waandishi hao kupigwa na askari wa jeshi hilo huku wakimtaka kufumua jeshi hilo na kulipanga upya.