Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ANC walaani Zuma kuzomewa, wananchi wadai alistahili hilo

Chama Tawala cha Afrika Kusini, Africa National Congress (ANC) kimekasirishwa na kuzomewa kwa Rais wa nchi hiyo, Jacob Zuma wakati wa Ibada ya kitaifa ya heshima za mwisho kwa rais wake wa kwanza mzalendo, Mzee Nelson Mandela.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Wahariri walaani waandishi kuzomewa

Dar es Salaam. Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), limelaani tukio la wafuasi wa CCM kuwazomea waandishi wa habari wa ITV waliokwenda kufuatilia mapokezi ya Rais mteule, Dk John Magufuli katika ofisi ndogo za CCM, Lumumba, Oktoba 30.

 

9 years ago

StarTV

Mtandao wa wanawake walaani kuzomewa kwa Dk Ackson

Mtandao wa wanawake wa Katiba na Uchaguzi  wamelaani kitendo cha baadhi ya wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  kumuuliza maswali ya kejeli  na kumzomea Naibu Spika Wa Bunge,  Dokta Tulia Ackson na kuudhalilisha utu wa mwanamke wakati akijieleza kabla ya kupigiwa kura na kuidhinishwa na Bunge.

Wamesema kitendo hicho ni cha udhalilishaji na aibu kufanywa ndani ya chombo kikubwa cha uamuzi na baadhi ya wabunge ambao ni wawakilishi wa wananchi.

Akizungumzia kitendo hicho ambacho...

 

11 years ago

TheCitizen

ANALYSIS: Why the poor still vote for Zuma’s ANC

>For middle class South Africans, it is a perplexing contradiction that the ANC continues to stay in power despite all the evidence of corruption displayed at the highest level of leadership and the party’s collusion with big corporations that are directly involved in the killing of poor workers.

 

11 years ago

BBCSwahili

Je ANC ni maarufu kuliko Rais Zuma?

Uchaguzi unaponukia Afrika Kusini, kuna dalili kuwa waafrika weusi wangali wanakienzi chama cha ANC

 

11 years ago

BBCSwahili

ANC:Rais Jacob Zuma hatajiuzulu ng'o

Katibu mkuu wa ANC amepuuzilia mbali wito wa Rais Zuma kuondolewa mamlakani kwa kura ya wabunge au hata kujizulu baada ya kuhusishwa na ufisadi.

 

11 years ago

Mwananchi

Mtihani mkubwa kwa ANC, Rais Zuma bila ya Nelson Mandela

>Licha ya kuacha simanzi na majozi kwa wananchi wa Afrika Kusini na dunia nzima, kifo cha Rais wa kwanza wa kizalendo wa Afrika Kusini, Nelson Mandela ni kama kimempa nafasi ya kupumua Rais Jacob Zuma.

 

11 years ago

Mwananchi

Wananchi wadai kudhulumiwa ardhi

Wakazi wa Mtaa wa Nyamiongo, Kata ya Makoko mjini Musoma, mkoani Mara, wameilalamikia Serikali kuwanyang’anya maeneo yao na kuyakabidhi jeshini.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wananchi wadai kuchoshwa na Lusinde

WANANCHI wa Mtera wameeleza kuchoshwa na mbunge wao Livingstone Lusinde (CCM), kwa madai kuwa ni mzigo kutokana na kutumia muda mwingi kutukana wapinzani badala ya kujenga hoja za maendeleo. Wakizungumza...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Wadai posho watajwe, waondolewe bungeni’ -Wananchi

Baadhi ya wananchi kutoka mikoa mbalimbali nchini wametaka wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wanaodai nyongeza ya posho, wajiorodheshe ili waweze kufahamika kwa majina na wanakotoka.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani