Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wananchi wadai kuchoshwa na Lusinde

WANANCHI wa Mtera wameeleza kuchoshwa na mbunge wao Livingstone Lusinde (CCM), kwa madai kuwa ni mzigo kutokana na kutumia muda mwingi kutukana wapinzani badala ya kujenga hoja za maendeleo. Wakizungumza...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Kauli ya Mbunge Lusinde: Wananchi watoana ngeu.


Mbunge wa Mtera, Livingston Lusinde.Mbunge wa Mtera, Livingston Lusinde, juzi alisababisha mapigano yaliyojeruhi wapigakura wake kadhaa.
Baadhi ya wapigakura wake kumzomea wakipinga hoja zake alizokuwa akitumia kujinadi katika mkutano wa hadhara katika kijiji cha Nkwenda wilayani Chamwino, mkoani Dodoma.Mkutano uliondaliwa na serikali ya kijiji ili kumpa nafasi mbunge huyo kuzungumza na wananchi wake juu ya mambo mbalimbali ya maendeleo aliyoyafanya kwa taktibani miaka minne na nusu.
Alianza...

 

11 years ago

Mwananchi

Wananchi wadai kudhulumiwa ardhi

Wakazi wa Mtaa wa Nyamiongo, Kata ya Makoko mjini Musoma, mkoani Mara, wameilalamikia Serikali kuwanyang’anya maeneo yao na kuyakabidhi jeshini.

 

11 years ago

Mwananchi

‘Wadai posho watajwe, waondolewe bungeni’ -Wananchi

Baadhi ya wananchi kutoka mikoa mbalimbali nchini wametaka wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wanaodai nyongeza ya posho, wajiorodheshe ili waweze kufahamika kwa majina na wanakotoka.

 

11 years ago

Mwananchi

ANC walaani Zuma kuzomewa, wananchi wadai alistahili hilo

Chama Tawala cha Afrika Kusini, Africa National Congress (ANC) kimekasirishwa na kuzomewa kwa Rais wa nchi hiyo, Jacob Zuma wakati wa Ibada ya kitaifa ya heshima za mwisho kwa rais wake wa kwanza mzalendo, Mzee Nelson Mandela.

 

11 years ago

Mwananchi

Wapora maiti baada ya kuchoshwa na ibada

 Kundi la vijana 60, juzi walipora mwili wa marehemu Gabriel Ngalele ukiwa unaombewa kwenye Kanisa la Tanzania Assemblies Of God (TAG) eneo la Uyole jijini baada ya kuchoshwa na ibada ndefu ya mchungaji.

 

10 years ago

Vijimambo

DENTI AJICHOMA KISU! KWA KUCHOSHWA NA USALITI WA MPENZI WAKE

Moza Kasim Mohemed akiwa hoi baada ya kujichoma kisu cha tumbo.
Stori: Musa Mateja wa GPL
LOO! Mwanafunzi wa Chuo cha T.I.A tawi la mkoani Singida, Moza Kasim Mohemed (20) ambaye ni mkazi wa jijini Dar es Salaam, amejichoma kisu tumboni kwa madai ya kuchoshwa na usaliti wa mpenzi wake aitwaye Joel ambaye pia ni mwanafunzi wa chuo hicho.

Tukio hilo la kushangaza lilitokea usiku wa kuamkia Oktoba 10, mwaka huu maeneo ya Jovena katika Hosteli za Miami ambapo Moza alikuwa akiishi na mpenzi wake...

 

9 years ago

Mwananchi

Lusinde ampiga kijembe Mbatia

Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde amempiga kijembe mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia kuwa bila CCM asingekuwapo kwenye ramani ya siasa na chama chake kingekuwa kimekufa.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Balozi Lusinde achokonoa UKAWA

MWANASIASA mkongwe nchini, Balozi Job Lusinde amewataka vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCC), kupambana na kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) ili kuhakikisha katiba mpya inayopendekezwa inapita kwenye...

 

10 years ago

Dewji Blog

Ziara ya Kinana jimbo la LUSINDE

 Mbunge wa Jimbo la Mtera Ndugu Livingstone Lusinde akielezea maendeleo ya ujenzi wa Shule ya msingi Lowasa kwa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana katika kijiji cha Muungano wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma.

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana(kushoto) akimuonyesha Mbunge wa Jimbo la Mtera Ndugu Livingstone Lusinde namna ya kufyatua matofali wakati wa kushiriki ujenzi wa shule ya msingi Lowasa.

3

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kupampu maji ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani