Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lusinde ampiga kijembe Mbatia

Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde amempiga kijembe mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia kuwa bila CCM asingekuwapo kwenye ramani ya siasa na chama chake kingekuwa kimekufa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Raia Tanzania

Kikwete ‘ampiga’ kijembe Lowassa

KATIKA hali ambayo ni nadra kujitokea, Rais Jakaya Kikwete, amewataka viongozi wa dini nchini ‘kulima mraba’ wao vizuri ili kulisaidia taifa, ikiwa ni pamoja na kutowapa nafasi viongozi wa siasa kutumia majukwaa ya dini kuendeleza maslahi yao ya kisiasa, na  hasa kupandikiza chuki katika jamii.

Kikwete ambaye katika hotuba yake hiyo hakutaja jina la mtu yeyote, lakini kauli yake hiyo inaweza kuhusishwa na Waziri Mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya kampuni tata ya kufua umeme ya Richmond,...

 

10 years ago

Mtanzania

Nyalandu ampiga kijembe Kinana

Na Veronica Romwald, Dar es Salaam
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu jana alionekana kumpiga kijembe Katibu MKuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana aliposema kuwa sasa atakuwa anazurura angani.
Nyalandu alitoa kauli hiyo Dar es Salaam alipozindua ndege nyepesi (Micro-Light, 5H – Hel), ambayo itatumika kupambana na ujangili katika Hifadhi ya Taifa ya Selous.
“Karibuni wote, leo tunazururia hapa uwanja wa ndege na ninazindua ndege hii nyepesi ambayo imetengenezwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Rais Kikwete ampiga kijembe Tundu Lissu

Rais Jakaya Kikwete amempiga kijembe Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tundu Lissu akisema amekuwa akiwachanganya wenzake katika masuala ya kisheria.

 

10 years ago

Mwananchi

Kinana abanwa, Nape ampiga kijembe Dk Slaa

Wananchi wa Kijiji cha Msisi katika Tarafa ya Mundemu, juzi walizuia kwa mabango msafara wa Katibu Mkuu wa Chama cha Mapiduzi (CCM), Abdulrahman Kinana wakilalamikia shule yao kutelekezwa tangu 2011.

 

9 years ago

Michuzi

MBATIA AKABIDHI ZAWADI KWA BINGWA WA MASHINDANO YA JIMBO LA VUNJO (MBATIA CUP 2015).

Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi,James Mbatia akiwasili katika uwanja wa Himo Polisi kwa ajili ya kushuhudia fainali ya Mashindano ya Kombe la Jimbo ,maarufu kama Mbatia Cup 2015.
Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi taifa,James Mbatia akisamiana na wachezaji wa timu ya Wazalendo fc kabla ya kuanza kwa mchezo.
Mh Mbatia akikabidhi zawadi ya kikombe kwa mabingwa wa mashindano hayo timu ya Himo fc,iliyochomoza na ushindi dhidi ya Wazalendo fc wa bao 2 kwa 0.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

9 years ago

Vijimambo

JAMES MBATIA AKABIDHI ZAWADI KWA BINGWA WA MASHINDANO YA JIMBO LA VUNJO (MBATIA CUP 2015).

Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi,James Mbatia akiwasili katika uwanja wa Himo Polisi kwa ajili ya kushuhudia fainali ya Mashindano ya Kombe la Jimbo ,maarufu kama Mbatia Cup 2015.Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi taifa,James Mbatia akisamiana na wachezaji wa timu ya Wazalendo fc kabla ya kuanza kwa mchezo.
Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi,James Mbatia akikagua kikosi cha wachezaji wa timu ya Himo fc.
Kikosi cha timu ya Himo fc.Kikosi cha timu ya Wazalendo fc.Heka heka zikiendelea...

 

10 years ago

GPL

BOND AMRUSHIA KIJEMBE MTITU

Na Hamida Hassan/Amani
Mtangazaji na msanii wa filamu Bongo, Bond Bin Salim  ‘Bond’ hivi karibuni amemtupia kijembe msanii na Mkurugenzi wa Kampuni ya ‘Five Efects,’ William Mtitu kwa kumwambia kuwa msemo wake wa kuwazika watu yeye ndiye anawaua? Mtangazaji na msanii wa filamu Bongo, Bond Bin Salim ‘Bond’ akipozi. “Namshangaa Mtitu, naomba ahojiwe, je, yeye ndiye anawaua wasanii?...

 

9 years ago

Mwananchi

JK, Magufuli warusha kijembe ‘kwa Ukawa’

Rais Jakaya Kikwete amesema anaamini mgombea wa urais kupitia CCM, Dk John Magufuli ndiye atakayeshinda katika Uchaguzi Mkuu Oktoba mwaka huu, na kwamba vuguvuru la kisiasa linaloendelea hivi sasa ni moto wa mabua.

 

9 years ago

Bongo Movies

Ray Atupa 'Kijembe' kwa Wanamabadiliko

Leo nimekutana na vitu vya ajabu sana kwa hawa wana mabadiliko, kuna mmoja nilimuuliza why unataka mabadilko , akanijibu hivi eti nimekatwa mshahara kwa hiyo naichukia CCM nataka mabadiliko tena kakatwa mshahara kwa uzembe wake tu anailaumu serikali wa pili nikamuuliza naye why unataka mabadiliko,  akanjibu ahaaa mimi sipati milo mitatu naichukia CCM wakati huo nimeenda kwake ilikuwa ni saa saba mchana bado yuko kitandani nilicheka sana na wengi wao ndio wako hivi wafuata mkumbo ndio maaana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani