Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais Kikwete ampiga kijembe Tundu Lissu

Rais Jakaya Kikwete amempiga kijembe Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tundu Lissu akisema amekuwa akiwachanganya wenzake katika masuala ya kisheria.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Raia Tanzania

Kikwete ‘ampiga’ kijembe Lowassa

KATIKA hali ambayo ni nadra kujitokea, Rais Jakaya Kikwete, amewataka viongozi wa dini nchini ‘kulima mraba’ wao vizuri ili kulisaidia taifa, ikiwa ni pamoja na kutowapa nafasi viongozi wa siasa kutumia majukwaa ya dini kuendeleza maslahi yao ya kisiasa, na  hasa kupandikiza chuki katika jamii.

Kikwete ambaye katika hotuba yake hiyo hakutaja jina la mtu yeyote, lakini kauli yake hiyo inaweza kuhusishwa na Waziri Mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya kampuni tata ya kufua umeme ya Richmond,...

 

10 years ago

Vijimambo

TUNDU LISSU AMJIBU KIKWETE KUHUSU RICHMOND

Morogoro/Dar. Siku moja baada ya Rais Jakaya Kikwete kumtaka Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tundu Lissu amtaje mhusika wa Richmond anayezunguka naye kwenye kampeni, Mbunge huyo wa Singida Mashariki ameibuka na kudai kuwa Rais huyo ndiye mhusika kwa kuwa ndiye mwenye mamlaka ya kuteua na kuwawajibisha mawaziri.

Juzi, akiwa Kigoma, Rais Kikwete alieleza kumshangaa Lissu kumtaka amtaje mhusika wa Richmond wakati mtu huyo anazunguka naye kwenye mikutano ya kampeni na kumtaka amtaje la sivyo yeye...

 

10 years ago

Mtanzania

Nyalandu ampiga kijembe Kinana

Na Veronica Romwald, Dar es Salaam
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu jana alionekana kumpiga kijembe Katibu MKuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana aliposema kuwa sasa atakuwa anazurura angani.
Nyalandu alitoa kauli hiyo Dar es Salaam alipozindua ndege nyepesi (Micro-Light, 5H – Hel), ambayo itatumika kupambana na ujangili katika Hifadhi ya Taifa ya Selous.
“Karibuni wote, leo tunazururia hapa uwanja wa ndege na ninazindua ndege hii nyepesi ambayo imetengenezwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Lusinde ampiga kijembe Mbatia

Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde amempiga kijembe mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia kuwa bila CCM asingekuwapo kwenye ramani ya siasa na chama chake kingekuwa kimekufa.

 

10 years ago

Mwananchi

Kinana abanwa, Nape ampiga kijembe Dk Slaa

Wananchi wa Kijiji cha Msisi katika Tarafa ya Mundemu, juzi walizuia kwa mabango msafara wa Katibu Mkuu wa Chama cha Mapiduzi (CCM), Abdulrahman Kinana wakilalamikia shule yao kutelekezwa tangu 2011.

 

11 years ago

GPL

Tundu Lissu…

Tundu Lissu. Na Saleh Ally
Yanga damu aliyevuliwa viatu na mashabiki wa Simba SC
MMOJA wa wanasiasa machachari nchini ni Tundu Lissu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Lissu ambaye ni Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), amekuwa akitajwa karibu kila sehemu yanapozungumziwa masuala mbalimbali yanayohusiana na siasa hapa nchini kutokana na umaarufu alionao.… ...

 

11 years ago

Mwananchi

Tundu Lissu atikisa Bunge

 Mjumbe wa Bunge la Katiba, Tundu Lissu amesema Tanganyika ilikufa kwa amri iliyotolewa na Mwalimu Julius Nyerere na siyo kwa makubaliano katika hati ya Muungano.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tundu Lissu awalipua mgambo

MWANASHERIA wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amesema anachukizwa na mgambo kuchangisha fedha za michango mbalimbali bila ya kujali kuwa wanazidisha umaskini kwa wananchi. Aidha, alisema kuwa serikali imekuwa...

 

11 years ago

Habarileo

Kinana- Wananchi mpuuzeni Tundu Lissu

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimekemea vitendo vya baadhi ya wabunge kuwakataza wananchi kuchangia miradi mbalimbali ya maendeleo katika maeneo yao kwani tabia hiyo inadhoofisha juhudi za Serikali kupambana na umasikini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani