Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MBATIA AKABIDHI ZAWADI KWA BINGWA WA MASHINDANO YA JIMBO LA VUNJO (MBATIA CUP 2015).

Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi,James Mbatia akiwasili katika uwanja wa Himo Polisi kwa ajili ya kushuhudia fainali ya Mashindano ya Kombe la Jimbo ,maarufu kama Mbatia Cup 2015.
Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi taifa,James Mbatia akisamiana na wachezaji wa timu ya Wazalendo fc kabla ya kuanza kwa mchezo.
Mh Mbatia akikabidhi zawadi ya kikombe kwa mabingwa wa mashindano hayo timu ya Himo fc,iliyochomoza na ushindi dhidi ya Wazalendo fc wa bao 2 kwa 0.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

JAMES MBATIA AKABIDHI ZAWADI KWA BINGWA WA MASHINDANO YA JIMBO LA VUNJO (MBATIA CUP 2015).

Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi,James Mbatia akiwasili katika uwanja wa Himo Polisi kwa ajili ya kushuhudia fainali ya Mashindano ya Kombe la Jimbo ,maarufu kama Mbatia Cup 2015.Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi taifa,James Mbatia akisamiana na wachezaji wa timu ya Wazalendo fc kabla ya kuanza kwa mchezo.
Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi,James Mbatia akikagua kikosi cha wachezaji wa timu ya Himo fc.
Kikosi cha timu ya Himo fc.Kikosi cha timu ya Wazalendo fc.Heka heka zikiendelea...

 

10 years ago

Dewji Blog

Zawadi mashindano ya jimbo la Vunjo (Mbatia Cup 2015) hadharani

Baadhi ya viongozi wa Chama cha NCCR-Mageuzi jimbo la Vunjo akiwa katika hafla fupi ya kutangaza zawadi kwa washindi wa mashindano ya Mbatia Cup 2015. Mmoja wa Waratibu wa Mashindano ya Mbatia Cup 2015 yanayofanyika katika jimbo la Vunjo,Danielson Shayo akizungumza wakati wa kutangaza zawadi kwa washindi. Baadhi ya viongozi wa timu zinazoshiriki mashindano hayo. Msaidizi wa Mbunge James Mbatia, Hamis Hamis akizungumza katika hafa fupi ya utambulisho wa zawadi kwa washindi wa mashindano...

 

9 years ago

Michuzi

MREMA ACHUKIZWA NA RAFU ZA MBATIA KATIKA JIMBO LA VUNJO

Na Chalila Kibuda,Globu ya JamiiMWENYEKITI wa Taifa wa Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Agustino Lyatonga Mrema amesema kuwa kushindwa kwake ubunge kulitokana na michezo mchafu uliochezwa na mshindi wa ubunge wa jimbo hilo, Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha NCCR-MAGEUZI, James Mbatia
Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, Mrema amesema kuwa  mshindi wa jimbo hilo amekuwa akionywa na msimamizi  wa uchaguzi kutokana na matumizi ya vipeperushi ambavyo yeye alijipigia...

 

10 years ago

Mwananchi

Mbatia: Mrema hana hati miliki Jimbo la Vunjo

Jina la James Mbatia siyo geni miongoni mwa Watanzania hususani Jimbo la Vunjo kwani ndiye alikuwa Mbunge wa kwanza chini ya mfumo wa vyama vingi mwaka 1995.

 

10 years ago

Michuzi

MBUNGE JAMES MBATIA ACHANGISHA FEDHA KUNUSURU ELIMU JIMBO LA VUNJO

Mbunge wa kuteuliwa akizungumza wakati wa harambee ya kuchangia ujenzi wa Bweni ;a wavulana katika shule ya sekondari Bishop Moshi.

Mkuu wa shule ya sekondari Boshop Moshi,Sophia Mushi akisoma risala mbele ya mgeni ,Mbunge wa kuteuliwa James Mbatia.
Wanafunzi wa kidato cha nne katika shule hiyo walichangia mifuko mitatu ya Sementi ambayo walikabidhi kwa mgeni rasmi Mbunge Mbatia.
Mbunge Mbatia akichangisha fedha kwa ajili ya ujenzi wa Bweni.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

Michuzi

MBATIA AWANADI WAGOMBEA WA CHAMA NCCR-MAGEUZI KATIKA JIMBO LA VUNJO

Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi,James Mbatia akimtambulisha mwenyekiti wa kitongoji cha Pangara ,Humphrey Machange aliyepita bila kupingwa katika kitongoji hicho kwa tiketi ya chama cha NCCR-Mageuzi.Mh Mbatia akimnadi mgombea wa nafasi ya uenyekiti katika kijiji cha Maring'a.Wagombea wa nafasi ya Wajumbe wa Halmashauri wakiwa na Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi wakati wa mkutano wa kuwanadi wagombea wa chama hicho uliofanyika katika kijiji cha Maring'a.Wananchi katika Jimbo la Vunjo wakiwa...

 

10 years ago

Michuzi

MWENYEKITI WA NCCR-MAGEUZI,JAMES MBATIA AKARIBISHWA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA VUNJO

Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi taifa ,James Mbatia akipungungia wananchi wakati msafara wa pikipiki na magari ukipita katika maeneo mbalimbali ya jimbo la Vunjo.Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi taifa ,James Mbatia akifurahia jambo akiwa na mjumbe wa mkutano mkuu wa NCCR,Hemed Msabaha,(kulia)Umati wa wakazi wa mji wa Himo wakisiliza kwa makini hotuba zilizokuwa zikitolewa katika mkutano wa hadhara wa Mh James Mbatia aliofanya katika uwanja wa Ghalani.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

GPL

MWENYEKITI WA NCCR-MAGEUZI, JAMES MBATIA AKARIBISHWA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA VUNJO

Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi taifa ,James Mbatia akipungia wananchi wakati msafara wa pikipiki na magari ukipita katika maeneo mbalimbali ya jimbo la Vunjo. Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi taifa ,James Mbatia akifurahia jambo akiwa na mjumbe wa mkutano mkuu wa NCCR,Hemed Msabaha,(kulia)…

 

10 years ago

Michuzi

MBATIA ACHANGIA MILIONI 20 UJENZI WA BWENI SHULE YA SEKONDARI PAKULA ILIYOPO JIMBO LA VUNJO.

Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi taifa Mh James Mbatia akiongozana na makamu mwenyekiti wa shule ya sekondari Pakula Julius Furaha(Suti ya Blue) baada ya kupokelewa kwa ajili ya mahafali na harambee ya ujenzi wa Bweni.Baada a mchango huo kina mama walimbeba Mbatia huku wakishangilia .
Makamu mwenyekiti wa Bodi ya shule ya sekondari Pakula,Paroko Julius Furaha akizungumza wakati wa mahafali hayo.Mkuu wa shule ya sekondari Pakula Lolenzo John akimkabidhi Mh,Mbatia zawadi ya Mbuzi dume...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani