BOND AMRUSHIA KIJEMBE MTITU
Na Hamida Hassan/Amani Mtangazaji na msanii wa filamu Bongo, Bond Bin Salim ‘Bond’ hivi karibuni amemtupia kijembe msanii na Mkurugenzi wa Kampuni ya ‘Five Efects,’ William Mtitu kwa kumwambia kuwa msemo wake wa kuwazika watu yeye ndiye anawaua? Mtangazaji na msanii wa filamu Bongo, Bond Bin Salim ‘Bond’ akipozi. “Namshangaa Mtitu, naomba ahojiwe, je, yeye ndiye anawaua wasanii?...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo Movies01 Jan
Wema Sepetu Amrushia kijembe Diamond!
SIMBA! Kufuatia lile sakata la jina la mnyama Simba ambapo Diamond amekuwa akijiita jina hilo siku za hivi karibuni na msanii Mr Blue kudai kuwa alilianzisha yeye kujiita simba huku mkongwe Afande Sele akisisitiza yeye ndiyo samba dume, mastaa wengi wa hapa bongo wamekuwa wakijiita majina ya wanyama ikiwa ni namna moja ya kuchombeza sakata hilo wakati msanii Alikiba akijiita kuwa yeye ndiyo balozi wa wanyama wote.
Naye staa wa Bongo Movies Wema sepetu hakuwa nyuma kwenye kuchombeza sakata...
10 years ago
VijimamboWastara: Nimeamua Kumpa Bond Nafasi ya Kunioa, Mimi Bado Damu Changa Nikisema Siwezi Kuolewa Tena Najidanganya..Nimempa Bond Sharti Hili...
Wastara na Bond MapenziniBrighton Masalu
WASTARA Juma Issa Abeid amekiri kuzidiwa na hisia za kuwa na mwenza kutokana na ukweli kwamba damu yake bado changa, hivyo suala la kuolewa halikwepeki huku akimpa nafasi kubwa msanii mwenzake, Bond Bin Sinan endapo atakidhi vigezo na masharti.Akifungulia ‘koki’ ya maneno mbele ya paparazi wetu kwa njia ya simu mwanzoni mwa wiki hii, Wastara ambaye kwa sasa yuko bize kusaka ubunge nyumbani kwao Morogoro Vijijini, alisema hawezi kudanganya kwamba...
9 years ago
GPLLULU AMRUSHIA VIJEMBE HUSNA
10 years ago
Mtanzania18 Mar
Nyalandu ampiga kijembe Kinana
Na Veronica Romwald, Dar es Salaam
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu jana alionekana kumpiga kijembe Katibu MKuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana aliposema kuwa sasa atakuwa anazurura angani.
Nyalandu alitoa kauli hiyo Dar es Salaam alipozindua ndege nyepesi (Micro-Light, 5H – Hel), ambayo itatumika kupambana na ujangili katika Hifadhi ya Taifa ya Selous.
“Karibuni wote, leo tunazururia hapa uwanja wa ndege na ninazindua ndege hii nyepesi ambayo imetengenezwa...
10 years ago
Raia Tanzania06 Jul
Kikwete ‘ampiga’ kijembe Lowassa
KATIKA hali ambayo ni nadra kujitokea, Rais Jakaya Kikwete, amewataka viongozi wa dini nchini ‘kulima mraba’ wao vizuri ili kulisaidia taifa, ikiwa ni pamoja na kutowapa nafasi viongozi wa siasa kutumia majukwaa ya dini kuendeleza maslahi yao ya kisiasa, na hasa kupandikiza chuki katika jamii.
Kikwete ambaye katika hotuba yake hiyo hakutaja jina la mtu yeyote, lakini kauli yake hiyo inaweza kuhusishwa na Waziri Mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya kampuni tata ya kufua umeme ya Richmond,...
9 years ago
Mwananchi06 Sep
Lusinde ampiga kijembe Mbatia
9 years ago
Bongo Movies19 Sep
Ray Atupa 'Kijembe' kwa Wanamabadiliko
Leo nimekutana na vitu vya ajabu sana kwa hawa wana mabadiliko, kuna mmoja nilimuuliza why unataka mabadilko , akanijibu hivi eti nimekatwa mshahara kwa hiyo naichukia CCM nataka mabadiliko tena kakatwa mshahara kwa uzembe wake tu anailaumu serikali wa pili nikamuuliza naye why unataka mabadiliko, akanjibu ahaaa mimi sipati milo mitatu naichukia CCM wakati huo nimeenda kwake ilikuwa ni saa saba mchana bado yuko kitandani nilicheka sana na wengi wao ndio wako hivi wafuata mkumbo ndio maaana...
9 years ago
Mwananchi16 Aug
JK, Magufuli warusha kijembe ‘kwa Ukawa’
10 years ago
Mwananchi12 Mar
Kinana abanwa, Nape ampiga kijembe Dk Slaa