Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wastara: Nimeamua Kumpa Bond Nafasi ya Kunioa, Mimi Bado Damu Changa Nikisema Siwezi Kuolewa Tena Najidanganya..Nimempa Bond Sharti Hili...


Wastara na Bond MapenziniBrighton Masalu
WASTARA Juma Issa Abeid amekiri kuzidiwa na hisia za kuwa na mwenza kutokana na ukweli kwamba damu yake bado changa, hivyo suala la kuolewa halikwepeki huku akimpa nafasi kubwa msanii mwenzake, Bond Bin Sinan endapo atakidhi vigezo na masharti.Akifungulia ‘koki’ ya maneno mbele ya paparazi wetu kwa njia ya simu mwanzoni mwa wiki hii, Wastara ambaye kwa sasa yuko bize kusaka ubunge nyumbani kwao Morogoro Vijijini, alisema hawezi kudanganya kwamba...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WASTARA: NAMPA BOND NAFASI YA KUNIOA

Brighton Masalu WASTARA Juma Issa Abeid amekiri kuzidiwa na hisia za kuwa na mwenza kutokana na ukweli kwamba damu yake bado changa, hivyo suala la kuolewa halikwepeki huku akimpa nafasi kubwa msanii mwenzake, Bond Bin Sinan endapo atakidhi vigezo na masharti. Soma zaidi hapa ====>bit.ly/1JyQIBc

 

10 years ago

GPL

BOND: NIBEMBELEZEENI WASTARA NIMUOE!

Brighton Masalu KUTOKANA na ugumu wa masharti aliyopewa na mwigizaji Wastara Juma juu ya kumuoa, msanii Bond Suleiman ‘Bond’ ameomba msaada kwa watu wa karibu hususan upande wa Wastara kumsaidia kumuweka sawa ili atimize lengo lake la kumuoa. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1H9c2J6

 

10 years ago

Bongo Movies

Lisemwalo..:Mahusiano ya Wastara na Bond

Tukiwa tunaelekea kuumaliza mwaka huu wa 2014 niameona sio mbaya nikawapa ubuyu huu, wa kile kinachodaiwa kuwa mwigizaji wa filamu za hapa bongo, Wastara Juma sasa hivi anatoka na mtangazaji na mwigizaji Bond Bin Sinnan.

Mbali na wawili hawa kuwa na mahusiano ya kizazi, kwani walishaigiza pamoja filamu kama “Uamini Fudhaifu” iliyotoka mwaka huu ambayo ina dhima ya mapenzi na vichekesho, inasemekana  kwamba wawili hawa wameshavuka mstari na kutengeneza mausianao ya mtu na mpenzi...

 

9 years ago

Bongo Movies

Ndoa ya Wastara, Bond Baada ya Uchaguzi

SASA imethibitika kuwa ndoa kati ya muigizaji nyota wa filamu Wastara Juma na Mtangazaji Bond Suleiman itafanyika mara baada ya uchaguzi mkuu ujao.

Bond ambaye pia ni muigizaji, aliliambia gazeti hili kuwa wawili hao wameshafikia muafaka wa kuoana lakini Wastara yupo bize na kampeni, kwani baada ya kuanguka katika ubunge wa viti maalum kwa tiketi ya CCM, sasa anazunguka mikoani na Samia Suluhu ambaye ni mgombea mwenza wa John Magufuli jambo ambalo limesababisha washindwe kufanya...

 

11 years ago

GPL

UKWELI KUHUSU UHUSIANO WA WASTARA NA BOND

ANATOKA KIMAPENZI NA WASTARA?
Nakukubali sana kaka Bond lakini napenda kukuuliza kwamba kuna madai kuwa unatoka kimapenzi na Wastara Juma (mwigizaji). Je, ni kweli? Husna, 0689341478. BOND: Siyo kweli. Mimi ni meneja wa Wastara. Pia ni mwongozaji wake wa filamu kwa hiyo tuna mikataba mingi ya kufanya kazi muda mrefu sana. UHUSIANO NA AUNTY LULU
Kiukweli kama una uhusiano na Aunty Lulu (Semagongo) mwache tu kwa sababu...

 

9 years ago

GPL

NDOA WASTARA, BOND BAADA YA UCHAGUZI

SASA imethibitika kuwa ndoa kati ya muigizaji nyota wa filamu Wastara Juma na Mtangazaji Bond Suleiman itafanyika mara baada ya uchaguzi mkuu ujao. Muigizaji nyota wa filamu Wastara Juma na Mtangazaji Bond Suleiman . Bond ambaye pia ni muigizaji, aliliambia gazeti hili kuwa wawili hao wameshafikia muafaka wa kuoana lakini Wastara yupo bize na kampeni, kwani baada ya kuanguka katika ubunge wa viti maalum kwa tiketi ya CCM, sasa...

 

10 years ago

Bongo5

China: Kujiunga chuo, kujifunza udereva, ukitaka kuoa au kuolewa sharti uchangie damu

Ajali za barabarani duniani hutokea kila uchao, na wahitaji wa damu wanazidi kuongezeka huku idadi ya wachangia damu nayo ikizidi kushuka siku hadi siku na kuleta hatari kwa maisha ya wahitaji. Kutokana na hali hiyo mji wa Baoji nchini China uko kwenye harakati za uhamasishaji uchangiaji wa damu kwa mtindo wa kipekee , kampeni ambayo […]

 

10 years ago

Bongo Movies

Wastara: Bond we ni Zaidi ya Maneger, My Director, My Friend, My Boy and My Lov....

Wastara aliyatoa maneno haya siku ya leo ambapo Bon Bin Sinnan anasherekea siku yake ya kuzaliwa.

Mbali na wawili hawa kuwa karibu zaidi na kuhisiwa kuwa wapo kwenye mahusiano ya kimapenzi hizi jumbe mbili alizobandika leo zinakitu ndani yake kama ukizisoma “between the lines”, alianza na huu

Happy birthday Bond Bin Sinnan Mungu akupe umri mrefu, sina jipya la kukwambia maneno yoote umeshayasikia midomoni kwa watu ila touti ni vitendo tu ambavyo si vyote uliwahi kuviona na kufanyia...

 

10 years ago

Bongo Movies

Ubuyu: Wastara Amchunguza na Kumpiga Msasa Bond Kabla ya Kumuweka "Ofisho"!!

Baada ya tetesi kuzagaa mitaani kwamba wasanii wa filamu Bongo, Wastara Juma na Bondi Bin Salim wanatoka kimapenzi, bidada huyo ameibuka na kufunguka kuwa bado hajamkubalia jumla Bondi kwani bado anamchunguza.

Akipiga stori na paparazi wa GPL, Wastara alisema anamrekebisha baadhi ya vitu ili aweze kuwa wake na kama hatabadilika, atampiga chini.

“Bondi ninamchunguza kwanza na kumpiga msasa awe wa tofauti na alivyokuwa zamani sijamtangaza rasmi kwa sababu kuna vitu bado sijajiridhisha kwake...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani