Wahariri, Waandishi Mtwara dimbani leo
KLABU ya Waandishi wa Habari Mtwara (MTPC), juzi imekabidhiwa jezi na mpira kwa ajili ya mechi ya kirafiki kati ya Jukwaa la Wahariri na wanahabari wa Mtwara, mechi itakayochezwa leo...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
WAHARIRI WAANDAMIZI WAHAMASIKA NA KUJIUNGA RASMI KATIKA MPANGO MAALUM WA KUJIWEKEA AKIBA (VSRS) KATIKA MFUKO WA GEPF WAKATI WA SEMINA MAALUM YA JUKWAA LA WAHARIRI ILIYOFANYIKA MJINI MTWARA
9 years ago
Mwananchi05 Nov
Wahariri walaani waandishi kuzomewa
11 years ago
Habarileo20 Sep
Wahariri walaani waandishi kupigwa
WATU mbalimbali wamelaani kitendo cha waandishi wa habari kupigwa na polisi wakati wakifuatilia tukio la Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kuhojiwa na polisi na miongoni mwao ni Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) ambalo limesema linapeleka malalamiko rasmi kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Ernest Mangu kuhusu waandishi hao kupigwa na askari wa jeshi hilo huku wakimtaka kufumua jeshi hilo na kulipanga upya.
11 years ago
Tanzania Daima14 Jul
Wahariri wapigishwa kwata ya soka Mtwara
TIMU ya Jukwaa la Wahariri Nchini (TEF ) kutoka jijini Dar es Salaam, juzi walitandikwa mabao 5-1 na Waandishi wa habari mkoani hapa katika mechi ya kirafiki iliyochezwa uwanjwa wa...
10 years ago
Dewji Blog04 Dec
Wahariri na waandishi wa habari wapewa semina ya uhifadhi wa mazingira
Meneja Uhifadhi wa Shirika la Utunzaji wa Mazingira WWF Tanzania, Dr. Amani Ngusaru ,akizungumza na wahariri na waandishi wa habari kutoka vyombo vya habari mbalimbali katika semina ilioandaliwa na (WWF) iliofanyika Disemba 2-3, 2014 mkoani Morogoro juu ya utunzaji wa mazingira ili kuleta uwiano sawa wa rasilimali zinazopatikana maeneo mbalimbali nchini.(PICHA ZOTE NA PHILEMON SOLOMON).
Mkurugenzi wa Shirika la Utunzaji wa Mazingira WWF Tanzania Bw. Bell’Aube Houinato akielezea malengo...
9 years ago
Dewji Blog29 Nov
Championi yatunuku tuzo kwa waandishi na wahariri wake
MC wa hafla ya ugawaji tuzo, ambaye pia ni Mhariri wa Gazeti la Championi Jumamosi, Elius Kambili akitoa neno la utangulizi wakati wa shughuli hiyo.
Mwenyekiti wa shughuli hiyo ambaye pia ni Mhariri Kiongozi wa Magazeti ya Championi, Saleh Ally akifungua rasmi hafla fupi ya utoaji tuzo kwa waandishi na wahariri wa Championi.
Mhariri wa Gazeti la Amani, Andrew Carlos (kushoto) akikabidhi tuzo ya Mwandishi Bora Chipukizi wa Championi kwa Omary Mdose.
Mhariri wa Gazeti la Uwazi Mizengwe, Hashim...
11 years ago
GPLJUKWAA LA WAHARIRI LALAANI POLISI KUWAPIGA WAANDISHI DAR
11 years ago
MichuziTANAPA YAWATUNUKU VYETI WAHARIRI NA WAANDISHI WA HABARI WAANDAMIZI WALIOSHIRIKI KONGAMANO JIJINI MWANZA
11 years ago
Michuzi12 Jul
JOPO LA WAHARIRI LATEMBELEA MIRADI YA NYUMBA ZA GHARAMA NAFUU WA NHC MTANDA, LINDI NA SHANGANI MTWARA