JOPO LA WAHARIRI LATEMBELEA MIRADI YA NYUMBA ZA GHARAMA NAFUU WA NHC MTANDA, LINDI NA SHANGANI MTWARA
Juzi, Alhamisi (Julai 10, 2014) na jana Ijumaa (Julai 11, 2014) jopo la Jukwaa la wahariri takriban 85 walitembelea kwenye miradi yetu miwili, mmoja wa ujenzi wa nyumba za gharama nafuu Mtanda mkoani Lindi na mwingine wa nyumba za makazi za kati na juu zilizopo eneo la Shangani Mtwara.Jopo hilo likiongozwa na Mwenyekiti wa Jukwaa hilo, Absalom Kibanda na Katibu wa Jukwaa hilo, Neville Meena. Walisomewa taarifa fupi ya maendeleo ya ujenzi wa miradi ya Nyumba hizo zipatazo 30 Lindi ambazo sasa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/07/214.jpg?width=650)
JOPO LA WAHARIRI LATEMBELEA MIRADI YA NYUMBA ZA GHARAMA NAFUU WA NHC MTANDA, LINDI NA SHANGANI MTWARA
9 years ago
MichuziUUZWAJI WA NYUMBA ZA NHC SHANGANI, MTWARA
![](http://4.bp.blogspot.com/-mW_JM8qwlag/VfpYSl6zfwI/AAAAAAAH5dM/o8FKfveY3fc/s640/building2%2B%25282%2529.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-YbKiITm78H0/VfpYTVbn4tI/AAAAAAAH5dY/eCR_dc49PnA/s640/Building%2BPlan.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-leAXlj_0zFQ/Vfl08Khso1I/AAAAAAADYj8/32_ldjp8o08/s1600/7867.jpg)
10 years ago
Michuzi01 Jun
WAZIRI WA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI AWEKA JIWE LA MSINGI NYUMBA 50 ZA GHARAMA NAFUU ZA NHC MJINI KAHAMA
![New Picture (7)](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/06/New-Picture-7.png)
![New Picture (2)](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/06/New-Picture-2.png)
![1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/06/1.png)
10 years ago
GPL![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/06/New-Picture-7.png)
WAZIRI WA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI AWEKA JIWE LA MSINGI NYUMBA 50 ZA GHARAMA NAFUU ZA NHC MJINI KAHAMA
10 years ago
GPL![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/06/New-Picture-33.png)
LUKUVI AZINDUA NYUMBA ZA GHARAMA NAFUU ZINAZOJENGWA NA NHC WILAYANI MASASI
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-ldUQYraAFOg/U8fDQmWacVI/AAAAAAAF3Bc/OvROaRoazZk/s72-c/unnamed+(22).jpg)
Rais Kikwete azindua Nyumba za gharama nafuu za NHC Mjini Songea
![](http://1.bp.blogspot.com/-ldUQYraAFOg/U8fDQmWacVI/AAAAAAAF3Bc/OvROaRoazZk/s1600/unnamed+(22).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-prPbI4ELAT0/U8fDQqq6hBI/AAAAAAAF3Bg/x3PnQqoCT74/s1600/unnamed+(23).jpg)
10 years ago
Dewji Blog21 Jun
Waziri Lukuvi azindua nyumba za gharama nafuu zinazojengwa na NHC wilayani Masasi
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo Mh. William Vangimembe Lukuvi akisalimia viongozi wa NHC mara baada ya kuwasili eneo la Napupa Masasi kuzindua nyumba za gharama nafuu zinazojengwa na NHC. Anayemuongoza Mh. Waziri ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Felix Maagi.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo Mh. William Vangimembe Lukuvi akiongea na hadhira iliyofurika katika sherehe za uzinduzi wa nyumba za gharama nafuu zinazojengwa na NHC Wilayani Masasi.Alizitaka taasisi zinazotoa huduma ya...
10 years ago
Michuzi19 Mar
WAZIRI LUKUVI ATEMBELEA MRADI WA NYUMBA ZA GHARAMA NAFUU ZA NHC WILAYANI LONGIDO
![9](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/03/92.png)
![20](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/03/20.png)
![19](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/03/19.png)
10 years ago
Dewji Blog02 Jun
Mh. Lukuvi aweka jiwe la msingi nyumba 50 za gharama nafuu za NHC mjini Kahama
Hizi ni miongoni mwa nyumba 50 za gharama nafuu zilizojengwa na NHC katika mtaa wa Bukondamoyo kata ya Mhungula katika halmashauri ya Mji Kahama mkoani Shinyanga. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi nchini Mh.William Vangimembe Lukuvi ameweka jiwe la msingi katika nyumba hizo.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi nchini Mh.William Vangimembe Lukuvi akiwasili kuweka jiwe la msingi zilizojengwa na NHC eneo la Bukondamoyo Mjini Kahama.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na...