Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


GLOBAL PUBLISHERS YAKABIDHI MEZA MBILI KWA CHAMA CHA MAGAZETI MKOA WA DAR ES SALAAM‏

Afisa Tawala wa Global Publishers, Soud Kivea kulia akimkabidhi meza mbili za ofisini kwa makamu mwenyekiti wa wauza magazeti mkoa wa Dar es salaam  zilizotolewa na kampuni yake ya Global Publishers. Afisa Tawala wa Global Publishers, Soud Kivea kulia akimwangalia makamu mwenyekiti wa wauza magazeti mkoa wa Dar es salaam jinsi anavyo andika taharifa… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

GLOBAL PUBLISHERS YATOA ZAWADI KWA CHAMA CHA WAUZA MAGAZETI

Mkuu wa Idara ya Usambazaji na Masoko Global Publishers Bw.Lawrence Kabende (wa pili kulia) akimkabidhi zawadi ya kitita cha shilingi laki tano Mwenyekiti wa Chama cha wauza magazeti cha jijini Dar es…

 

11 years ago

GPL

GLOBAL PUBLISHERS LTD YAMWAGA MEZA KWA WAUZAJI WA MAGAZETI YAKE JIJINI MWANZA

Meza za wauzaji wa Magazeti ya Kampuni ya Global Publishers Ltd jijini Mwanza. KAMPUNI ya Global Publishers & General Enterprises Ltd wachapishaji wa Magazeti ya Championi, Uwazi, Amani, Risasi, Ijumaa na Ijumaa Wikienda wametoa meza kibao kwa wauzaji wa magazeti yao mkoani Mwanza ikiwa ni njia mojawapo ya kuwaboreshea mazingira ya kufanyia… ...

 

11 years ago

GPL

GLOBAL YATOA MEZA KWA WAUZA MAGAZETI KANDA YA ZIWA‏

Kampuni ya Global Publishers Ltd ambao ni wachapishaji wa magazeti ya Uwazi, Ijumaa, Risasi, Amani, Championi na Ijumaa Wikienda hivi karibuni imegawa meza kwa mauza magazeti Kanda ya Ziwa zoezi ambalo ni endelevu. Pichani kulia ni Bi. Veronica Marwa, Bukuyu Joseph na wadau wa Global Kanda ya Ziwa wakati wa zoezi la kukabidhi meza.

 

11 years ago

GPL

GLOBAL YAENDELEA KUTOA MEZA KWA WAUZAJI MAGAZETI DAR

Ofisa Masoko Mwandamizi wa Global Publishers, Benjamin Mwanambuu (kushoto) akipeana mkono na mmoja wa wauza magazeti eneo la Kituo cha Makumbusho, Dar baada ya kumkabidhi meza. Muuza magazeti huyo wa Kituo cha Mabasi cha Makumbusho akipanga magazeti yake.…

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AZINDUA MELI VITA MBILI ZA KIKOSI CHA WANAMAJI CHA JWTZ JIJINI DAR ES SALAAM LEO‏

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa amri kuzindua rasmi meli vita mbili za doria bahari kuu TNS Msoga na TNS Mwitongo kwenye sherehe zilizofanyika Kamandi ya Jeshi la Maji Kigamboni jijini Dar es salaam leo April 28, 2015 Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua mara baada ya kuzindua rasmi meli vita mbili za doria bahari kuu TNS Msoga na TNS Mwitongo kwenye sherehe zilizofanyika Kamandi… ...

 

11 years ago

GPL

WAUZAJI WA MAGAZETI JIJINI DAR WAPEWA MAKOTI YA MVUA NA GLOBAL PUBLISHERS

Wauzaji wa magazeti wa Magomeni wakiwa katika picha ya pamoja na maofisa wa Global Benjamin Mwanambuu (katikati) na John Mwaipaja (wa kwanza kulia).…

 

9 years ago

Dewji Blog

Chama cha Walimu (CWT), Mkoa wa Dar es Salaam kinaidai Serikali Tsh.Bilioni 1.1

Amina Kisenge   Na Dotto Mwaibale   WALIMU wa Mkoa wa Dar es Salaam wanaidai Serikali jumla ya sh. Bilioni 1.1 za madai yao mbalimbali kwa kipindi cha kuanzia mwaka 2013 hadi 2015.   Hayo yalielezwa na Mwenyekiti wa Chama cha Walimu (CWT) Mkoa wa Dar es Salaam, Mwalimu Amina Kisenge (pichani kushoto), katika kikao cha baraza la dharura la chama hicho lililoketi hivi karibuni.   Awali CWT ilikua ikidai jumla ya Sh.Bilioni 3.9 kabla ya kupunguza kiasi cha...

 

11 years ago

GPL

GLOBAL PUBLISHERS WAGAWA FEDHA NA FULANA KWA WAUZAJI WA MAGAZETI

Afisa Masoko wa Global Publishers, Benjamini  Mwanambuu akimkabidhi pesa muuza magazeti mama Rashid maeneo ya Tazara. Muuza  magazeti akipokea zawadi toka kwa Benjamini ambaye ni Afisa Masoko wa Global Publishers (pembeni yake ni Yohana). Bw.Kasenga akikabidhiwa…

 

10 years ago

Michuzi

JUMUIYA YA WAZAZI YA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) MKOA WA DAR ES SALAAM YAZINDUA DAFTARI LA WANACHAMA WAKE

  Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Seif Shaban Mohamed (kushoto) na Katibu wa Jumuia hiyo mkoa wa Dar es Salaam, Ali Cholaje wakionesha daftari hilo baada ya kuzinduliwa. Viongozi wa meza kuu wakipiga makofi wakati wakiimba wimbo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kabla ya kuzindua daftari hilo. Kutoka kulia ni Katibu Msaidizi wa Jumuia ya Wazazi mkoa wa Dar es Salaam, Mohamed Mavela, Mwenyekiti wa Jumuia hiyo, Wilaya ya Ilala,Meritius Mangugu,Katibu wa Jumuia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani