Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tanzania yashiriki maonesho ya 7 ya masuala ya Petroli na Mafuta nchini china

Wadau wa Mafuta na Gesi kutoka nchini Tanzania wakisikiliza kwa makini maelezo ya teknolojia mpya za utafiti wa mafuta na gesi Duniani huko nchini China. Wadau hawa walihudhuria maonesho ya 7 ya kimataifa ya mafuta, gesi na bidhaa zitokanazo na rasilimali hizo yaliyofanyika katika jiji la Dongying nchini China. Maonesho kama haya hufanyika kila mwaka yakilenga kujenga uhusiano baina ya nchi nan chi na pia kubadilishana uzoefu katika sekta ndogo ya mafuta na gesi duniani. Bw. Ibrahim Rutta,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TANZANIA YASHIRIKI MAONESHO YA KIMATAIFA YA SANAA,UBUNIFU NA UTAMADUNI NCHINI OMAN

Shamra shamra za ufunguzi wa Maonesho ya Kimataifa ya Sanaa, Ubunifu na Utamaduni yanayofanyika Mascut nchini Oman.Waziri wa Kilimo na Mifugo wa Oman Dkt. Fuad bin Jaafar al Sajwan akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Maonesho ya Mwezi mmoja ya Kimataifa ya Sanaa, Ubunifu na Utamaduni yanayofanyika Mascut nchini Oman. Naibu Balozi wa Tanzania nchini Oman Juma Othman kulia akibadilishana mawazo na mmmoja ya Wajasiriamali kutoka Tanzania anayeshiriki Maonesho ya Kimataifa ya Sanaa, Ubunifu na...

 

10 years ago

Michuzi

TANZANIA YASHIRIKI MKUTANO WA MWAKA WA MAFUTA NA GESI

Pamoja na kuwepo kwa changamoto za kushuka kwa bei ya mafuta duniani, Tanzania bado imeendelea kuvutia wawekezaji kutoka pande zote za Dunia kuja kuwekeza katika shughuli za utafutaji wa mafuta na gesi nchini.
Akiongea katika mkutano wa mwaka wa GE Oil & Gas, Waziri wa Nishati na Madini Mhe. George Simbachawene (MB) aliwaalika wawekezaji wakubwa kutoka pande zote za dunia kutembelea Tanzania na kuona nafasi za uwekezaji zilizopo.
Mkutano huo uliofanyika Florence, Italy uliwakutanisha wadau...

 

10 years ago

Michuzi

MAHAKAMA YA TANZANIA YASHIRIKI KATIKA MAONESHO YA 39 YA BIASHARA YA KIMATAIFA ‘SABASABA’ 2015

 Muonekano wa Banda la Mahakama ya Tanzania likiwa katika Viwanja vya Julius Nyerere maarufu kama Viwanja vya Sabasaba, Mahakama ya Tanzania inashiriki katika Maonesho haya lengo likiwa ni kutoa fursa kwa wananchi kupata elimu juu ya taratibu mbalimbali za Mahakama ikiwa ni pamoja na kutoa Malalamiko pamoja na kupokea maoni ya jinsi ya kuboresha huduma ya utoaji haki nchini. Banda la Mahakama lipo mkabala na Banda la Zanzibar ndani ya viwanja vya Sabasaba. Katika Maonesho ya mwaka huu,...

 

5 years ago

Michuzi

TANZANIA YASHIRIKI KWA MARA KWANZA MAONESHO YA KIMATAIFA YA BIDHAA ZA KILIMO YA PARIS 2020, UFARANSA


Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa, Mhe. Samwel Shelukindo (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na Ujumbe wa Tanzania unaoshiriki kwa mara ya kwanza katika Maonesho ya Kimataifa ya Bidhaa za Kilimo ya Paris yanayofanyika mjini humo kuanzia tarehe 22 Februari 2020 hadi tarehe 1 Machi 2020.
Wageni mbalimbali wakipata maelezo kuhusu fursa za bidhaa za kilimo zinazopatikana Tanzania walipotembelea Banda la la Tanzania wakati wa Maonesho ya Kimataifa ya Bidhaa za Kilimo yanayofanyika jijini...

 

9 years ago

Michuzi

UHUSIANO WA MASUALA YA UTAMADUNI KATI YA TANZANIA NA CHINA WAENDELEA KUBORESHWA

 Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Sihaba Nkinga (katikati) akimsikiliza Afisa Balozi wa China anayehusika na masuala ya Utamaduni nchini Tanzania Bw. GAO WEI (wapili kushoto) walipofika katika ofisi za Wizara kutambulisha uongozi mpya na kutoa nafasi kwa uongozi wa zamani kuaga Wizara yenye dhamana na masuala ya Utamaduni leo Jijini Dar es Salaam. Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Sihaba Nkinga (kulia) akimkabidhi Afisa Balozi wa...

 

11 years ago

Habarileo

Alipukiwa na mafuta ya petroli na kufa

WATU watatu wamekufa wilayani Tarime katika mazingira tofauti akiwemo anayeuza mafuta ya petroli kwa vidumu.

 

10 years ago

Mtanzania

Mafuta ya petroli bei juu

SERIKALI imependekeza kuongeza tozo ya mafuta ya petrol na dizeli kutoka Sh 50 kwa lita hadi Sh 100 kwa lita, ikiwa ni ongezeko la Sh 50 kwa lita.
Akizungumzia kuhusu ongezeko hilo wakati akiwasilisha Bajeti ya Serikali ya mwaka 2015/16 bungeni mjini Dodoma jana, Waziri wa Fedha, Saada Mkuya, alisema mafuta ya taa yanapaa kutoka Sh 50 kwa lita hadi Sh 150 kwa lita, ikiwa ni ongezeko la shilingi 100 kwa lita ili kuondoa uwezekano wa kuchakachua.
“Hatua ya kuongeza tozo ya mafuta ya petroli...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani