Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAMBO MADOGO YENYE THAMANI KUBWA KWENYE MAPENZI!-2

KUJUA na kutambua thamani ya mapenzi kutakufanya ufurahie katika sayari hiyo. Baadhi ya watu hawapati muda wa kufikiri japo kidogo tu kuhusu kuboresha ndoa au uhusiano wao. Hapa katika All About Love ndiyo mahali sahihi ambapo utapata kujifunza na kutambua mambo muhimu kuhusu maisha ya mapenzi. Wiki iliyopita nilianza kwa kueleza mambo machache ambayo yanaweza kuonekana madogo lakini yenye thamani kubwa sana katika mapenzi. Leo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MAMBO YENYE THAMANI KWENYE MAPENZI!-2

NI siku nyingine tunakutana tena kwenye safu yetu nzuri ya Love & Life. Lengo ni lilelile, kupeana mawili matatu kuhusu maisha yetu ya kimapenzi.Kila siku tunapaswa kujifunza zaidi kuhusu uhusiano na mapenzi maana maisha yetu hatuwezi kuwakwepa wenzi wetu hivyo ni vyema kujua mbinu mpya kila wakati za kuwafanya wenzetu wafurahie uwepo wetu. Nimekuwa nikisisitiza mara kwa mara, usimwonyeshe mpenzi wako kuwa hana thamani. Mpe...

 

11 years ago

GPL

MAMBO YENYE THAMANI KWENYE MAPENZI!

KUNA watu ambao huwa wanaumiza kichwa kuhusu mambo ya kuwafanyia wenzi wao ambayo yana thamani kubwa. Kwa bahati mbaya sana ni kwamba wengi huwaza kuhusu fedha na mali. Rafiki zangu, yapo mambo ambayo yanaweza kuonekana ya kawaida tu au si ya lazima sana lakini kumbe yana uzito na thamani kubwa sana kwenye uhusiano. Wengi wakitaka kufanya jambo la kumfurahisha mpenzi wake, huwaza katika ukubwa. Hufikiri kuhusu outing, mavazi ya...

 

11 years ago

GPL

LISTI YENYE KLABU ZENYE THAMANI KUBWA ULAYA, BAYERN KINARA, MADRID WANAFUATIA

MABADILIKO KATIKA LISTI HII NI KWAMBA MAN UNITED IMEPOROMOKA HADI NAFASI YA TATU IKITOKEA KILELENI, BAYERN IMEPANDA NA MADRID IMEBAKI ILIPO. LAKINI MAN CITY IMEONGEZA THAMANI NA KUINGIA TANO BORA WAKATI ENGLAND IMEENDELEA KUNG'ARA KWA KUWA NA TIMU 2 KWENYE TOP 5 NA TIMU TANO KWENYE TOP 10, INAFUATIWA NA HISPANIA NA UJERUMANI, KILA MOJA INA TIMU 2 NA UFARANSA YA MWISHO KWA KUWA NA TIMU MOJA. ITALIA AMBAO WALING'ARAZA ZAIDI MIAKA...

 

10 years ago

GPL

NI VYA KIPUUZI KWELI LAKINI VINA MAANA KUBWA KWENYE MAPENZI-2

NI wiki nyingine tena mpenzi msomaji tunakutana katika safu hii ambapo tunaendelea na mada hii ambayo tuliianza wiki iliyopita, songa nayo ujifunze mengi. MSIFIE PALE ANAPOPENDEZA
Hakuna kitu kizuri kama kumwambia mpenzi wako ‘umependeza’ pale anapokuwa amependeza. Kauli hiyo itamfanya ajione thamani yake. Itamfanya ajue kwamba ili uweze kumwambia amependeza, anatakiwa avae mavazi ya aina gani. Asikwambie mtu,...

 

10 years ago

GPL

NI VYA KIPUUZI KWELI LAKINI VINA MAANA KUBWA KWENYE MAPENZI

NI Jumamosi nyingine mpenzi msomaji wa Love Story tunakutana katika uwanja wetu wa kuzungumza masuala mbalimbali yahusuyo maisha ya uhusiano.Niwashukuru wote ambao mnaendelea kutuma ujumbe mfupi wa maandishi kuonesha mnanufaika na kile ambacho tunakijadili hapa kila Jumamosi. Mada ya leo hapo juu inajieleza. Kwenye maisha ya uhusiano wengi wetu tunafanya makosa kwa wapenzi wetu pasipo kujua kama tunawakosea.Binadamu tulivyoumbwa...

 

9 years ago

Mwananchi

Mbowe asema migogoro ya Ukawa ni mambo madogo

Wakati mzozo ndani ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) ukishika kasi katika maeneo mbalimbali nchini, Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema hayo ni mambo madogo na umoja bado uko imara.

 

11 years ago

Mwananchi

Msuya amtaka JK apuuze mambo madogo bungeni

Waziri Mkuu mstaafu, Cleopa Msuya amemshauri Rais Jakaya Kikwete kupuuza matatizo madogomadogo yanayojitokeza katika Bunge Maalumu la Katiba badala yake asimamie uamuzi ya Bunge hilo ili kupata Katiba ambayo itaongoza nchi kwa amani.

 

11 years ago

CloudsFM

TALAKA YENYE THAMANI ZAIDI DUNIANI

Mmiliki wa club ya timu ya AS Monaco inayocheza ligi daraja la kwanza nchini Ufaransa Dmitry Rybolovlev ambaye pia anashika nafasi ya 148 katika list ya ma billionea wanaotajwa na Forbes Magazine. Yeye pamoja na aliyekua mke wake Elena wamevunja rekodi ktk historia ya fidia za ndoa zilizowahi kuvunjika duniani.
Hiyo ni baada ya mahakama ya Geneva Switzerland hivi karibuni kumuamuru jamaa amlipe mtalaka wake zaidi ya dola bilioni 4.5
Ndoa hiyo ilidumu kwa miaka 23 na waliingia kwenye mchakato...

 

10 years ago

Michuzi

MWENGE KUZINDUA MIRADI YENYE THAMANI YA SH. MILIONI 1.2 MUFINDI

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI - RELEASE NO. 15 JUMLA ya miradi 13 yenye thamani ya Zaidi ya shilingi milioni 1.2 inatarajiwa kuzinduliwa pamoja na kuwekwa mawe ya msingi na Mwenge wa uhuru utakapokimbizwa katika Halmashauri ya wilaya ya Mufindi mapema alhamisi ya tarehe 25 mwezi huu.
Taarifa ya Ofisi ya habari na mawasiliano ya halmashauri ya Mufindi kwa vyombo vya habari imefafanua kuwa, vyanzo vya fedha zilizotumika kukamilisha miradi hiyo  vimegawanyika katika sehemu kuu nne, ambapo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani