Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbowe asema migogoro ya Ukawa ni mambo madogo

Wakati mzozo ndani ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) ukishika kasi katika maeneo mbalimbali nchini, Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema hayo ni mambo madogo na umoja bado uko imara.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Msuya amtaka JK apuuze mambo madogo bungeni

Waziri Mkuu mstaafu, Cleopa Msuya amemshauri Rais Jakaya Kikwete kupuuza matatizo madogomadogo yanayojitokeza katika Bunge Maalumu la Katiba badala yake asimamie uamuzi ya Bunge hilo ili kupata Katiba ambayo itaongoza nchi kwa amani.

 

11 years ago

GPL

MAMBO MADOGO YENYE THAMANI KUBWA KWENYE MAPENZI!-2

KUJUA na kutambua thamani ya mapenzi kutakufanya ufurahie katika sayari hiyo. Baadhi ya watu hawapati muda wa kufikiri japo kidogo tu kuhusu kuboresha ndoa au uhusiano wao. Hapa katika All About Love ndiyo mahali sahihi ambapo utapata kujifunza na kutambua mambo muhimu kuhusu maisha ya mapenzi. Wiki iliyopita nilianza kwa kueleza mambo machache ambayo yanaweza kuonekana madogo lakini yenye thamani kubwa sana katika mapenzi. Leo...

 

10 years ago

GPL

MAMBO MUHIMU KABLA YA KUNUNUA NYUMBA, KIWANJA KUKWEPA MIGOGORO

Na   Bashir   Yakub MAKALA zilizopita  nilieleza   mambo au taarifa muhimu  zinazopaswa kuwa kwenye  mkataba wako  unapokuwa unanunua  nyumba/kiwanja. Nikasema  mkataba  lazima uoneshe  iwapo ukitokea mgogoro  utatatuliwa vipi,  ueleze   utakapotokea mgogoro  muuzaji  lazima  awajibike kuhakikisha anakupa ushirikiano  mnunuzi  ili kumaliza  mgogoro huo na kuwa...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Nape: CHADEMA wanatumia UKAWA kuficha migogoro


Na Bashir Nkoromo
KATIBU wa NEC ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, amefichua siri ya viongozi wa juu wa CHADEMA kujificha nyuma ya kivuli cha Kundi la Katiba ya Wananchi (UKAWA).
Amesema CHADEMA kinakabiliwa na migogoro mizito inayotokana na uchu wa madaraka na kwamba hatua ya kukumbatia UKAWA ni kuwapumbaza wanachama wake.
Alisema sio kweli kuwa Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Wilbrod Slaa na Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe, wana nia na dhamira ya dhati ya muungano huo ili kusaidia...

 

10 years ago

KwanzaJamii

MBOWE ASEMA MOTO WA KUDAI KATIBA MPYA HAUZIMIKI

Mwenyekiti wa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Freeman Mbowe, amesema moto wa kudai Katiba mpya hautazimwa, kwani kitakachotokana na vikao vya Bunge hilo vinavyoendelea mjini DODOMA BATILI Mbowe aliyasema hayo jana katika mazungumzo maalumu na NIPASHE kuhusu mwitikio wa wito wa Ukawa kwa Rais Jakaya Kikwete, kusitisha Bunge hilo mpaka utakapopatikana mwafaka kati ya makundi mawili yaliyotokana nalo kugawanyika. “Hoja ya msingi ni kwamba, vikao...

 

10 years ago

TheCitizen

Ukawa is solid, says Mbowe

>Chadema national chairman Freeman Mbowe yesterday declared that the opposition coalition will not crumble even in the wake of fears that a bruising nomination process could end their current cooperation.

 

10 years ago

Mwananchi

Mbowe: Serikali iache siasa kwenye mambo ya uchumi

>Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe ameitaka Serikali kuacha siasa kwenye masuala ya kiuchumi, ukiwamo mgogoro kati ya Tanzania na Kenya kuhusu sekta ta utalii.

 

11 years ago

Habarileo

Mbowe ataka Ukawa wajiimarishe

VYAMA vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) vikiwa na matumaini ya kuunganisha nguvu katika uchaguzi mkuu ujao, vimeambiwa kila kimoja kijiimarishe kivyake katika mapambano ya kisiasa. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Freeman Mbowe, amesema vyama hivyo, visitegemee nguvu ya umoja huo badala yake, vijiimarishe kuleta ushindani katika harakati zao za kisiasa wanazoendelea kuzifanya.

 

10 years ago

Mtanzania

Mbowe: Hatumtaki Zitto Ukawa

freeman-mbowe-chademaNA SITTA TUMMA, KYERWA
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amesema hawatamruhusu Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, kujiunga na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).
Kauli ya Mbowe imetolewa siku chache baada ya Zitto kutangaza kuwa ACT ipo tayari kujiunga na Ukawa kama wanavyotaka Watanzania wakiwamo baadhi ya viongozi wa umoja huo.
Alitoa kauli hiyo jana wilayani Kyerwa alipozungumza na MTANZANIA.
Mbowe alisema kuwa hawamwamini tena Zitto...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani