Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbowe: Hatumtaki Zitto Ukawa

freeman-mbowe-chademaNA SITTA TUMMA, KYERWA
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amesema hawatamruhusu Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, kujiunga na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).
Kauli ya Mbowe imetolewa siku chache baada ya Zitto kutangaza kuwa ACT ipo tayari kujiunga na Ukawa kama wanavyotaka Watanzania wakiwamo baadhi ya viongozi wa umoja huo.
Alitoa kauli hiyo jana wilayani Kyerwa alipozungumza na MTANZANIA.
Mbowe alisema kuwa hawamwamini tena Zitto...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Zitto ‘awalipua’ Dk Slaa, Mbowe

Mbunge wa Kigoma Kaskazini,Zitto Kabwe, amejibu mashambulizi kwa viongozi wa Chadema, kutokana na kile alichosema wanazunguka na kusema maneno yasiyo ya ukweli.

 

11 years ago

Habarileo

Akina Zitto wamwandama Mbowe

MGOGORO wa uongozi ndani ya Chadema, sasa umehamishiwa rasmi Baraza Kuu kwenye mpasuko, baada ya watuhumiwa waliovuliwa madaraka na Kamati Kuu (CC) ya chama hicho, kukata rufaa huko wakijua kuna wapinzani waliojitokeza hadharani dhidi ya CC na Mwenyekiti Freeman Mbowe.

 

10 years ago

Mwananchi

Zitto: Wapambe wametufitini na Mbowe

Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe ameeleza tofauti yake na mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, akisema imesababishwa na watu aliowaita wapambe.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mbowe kumburuza Zitto mahakamani

MWENYEKITI wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), anakusudia kumburuza mahakamani, Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, kwa madai ya kumkashifu na kumchafulia jina. Kwa mujibu wa taarifa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mbowe: Siwezi kumzibia Zitto

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amewataka wananchi wa Mkoa wa Kigoma kuijua historia ya mageuzi ya Mkoa huo ili kuepuka kuwalaumu viongozi wanaosimamia vyama hivyo...

 

10 years ago

Vijimambo

Zitto: Nitamuunga mkono Mbowe

HAKI SAWA: Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba (kulia) na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali, Zitto Kabwe wakiwasili kwenye Uwanja wa Mashujaa mjini Mtwara jana, ambako walihutubia mkutano wa hadhara. Picha na Ibrahimu Yamola
Mtwara. Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Zitto Kabwe amesema atamuunga mkono Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani, Freeman Mbowe pale atakapowasilisha hoja yake bungeni kuhusu ufisadi wa zaidi ya Sh1 trilioni katika mradi...

 

11 years ago

Habarileo

Zitto Kabwe aendelea kuwagaragaza akina Mbowe

Askari maalum wa kutuliza ghasia kutoka kikosi cha pikipiki wakifanya doria nje ya Mahakama Kuu jana wakati kesi ya Chadema na Zitto Kabwe ikiendelea.(Picha na Mroki Mroki).WAFUASI wanaounga mkono uongozi wa Chadema chini ya Mwenyekiti Freeman Mbowe, jana waliondoka mahakamani kwa huzuni, baada ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, kuamuru Kamati Kuu ya Chadema kutojadili uanachama wa aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho, Zitto Kabwe.

 

11 years ago

Habarileo

Zitto kuanza ziara kama akina Slaa, Mbowe

Kabwe ZittoMBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto (Chadema), anatarajia kuanza ziara ya siku tano mkoani Kigoma, itakayomfikisha katika majimbo mbalimbali ya uchaguzi mkoani Kigoma.

 

10 years ago

TheCitizen

Ukawa is solid, says Mbowe

>Chadema national chairman Freeman Mbowe yesterday declared that the opposition coalition will not crumble even in the wake of fears that a bruising nomination process could end their current cooperation.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani