Zitto kuanza ziara kama akina Slaa, Mbowe
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto (Chadema), anatarajia kuanza ziara ya siku tano mkoani Kigoma, itakayomfikisha katika majimbo mbalimbali ya uchaguzi mkoani Kigoma.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo12 Dec
Akina Zitto wamwandama Mbowe
MGOGORO wa uongozi ndani ya Chadema, sasa umehamishiwa rasmi Baraza Kuu kwenye mpasuko, baada ya watuhumiwa waliovuliwa madaraka na Kamati Kuu (CC) ya chama hicho, kukata rufaa huko wakijua kuna wapinzani waliojitokeza hadharani dhidi ya CC na Mwenyekiti Freeman Mbowe.
11 years ago
Habarileo08 Jan
Zitto Kabwe aendelea kuwagaragaza akina Mbowe
WAFUASI wanaounga mkono uongozi wa Chadema chini ya Mwenyekiti Freeman Mbowe, jana waliondoka mahakamani kwa huzuni, baada ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, kuamuru Kamati Kuu ya Chadema kutojadili uanachama wa aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho, Zitto Kabwe.
11 years ago
Mwananchi25 Dec
Zitto ‘awalipua’ Dk Slaa, Mbowe
10 years ago
Habarileo30 May
Dk Slaa kuanza ziara Nyanda za Juu Kusini
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk Willibrod Slaa, anatarajiwa kuanza ziara ya kikazi katika maeneo mbalimbali ya mikoa ya Mbeya, Rukwa na Katavi, ambako atakagua mwenendo wa uandikishaji wa wapiga kura unaofanyika kwa mfumo wa Biometric Voters Registration (BVR).
10 years ago
Vijimambo27 May
Lowassa aongoza.Wafuatia Slaa, Magufuli, Membe, Makamba, Lipumba, Mbowe, Zitto, Ni matokeo ya utafiti mikoa 18.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Lowasa-27May2015.jpg)
Nyota ya Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli (CCM), Edward Lowassa, imeendelea kung’aa baada ya Taasisi ya Samunge Social Sciences Research Center (SSSRC), kufanya utafiti na kubaini kuwa kiongozi huyo ni chaguo la kwanza kwa wananchi.
Utafiti huo uliofanywa miaka miwili kuanzia 2013 hadi 2015, unaonyesha Lowassa anaongoza kwa asilimia 20.7 dhidi ya wagombea 31.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam...
9 years ago
MillardAyo05 Jan
Kama mpango wako ni kuanza 2016 na simu mpya kwenye ubora wake, unaweza kuanza na TECNO Phantom 5
Kila mtu anaanza mwaka na mipango yake, 2016 ndio hii kwenye countdown ya tarehe za January… kama ishu ya kubadili simu iko kwenye mipango yako ya mwanzo mwanzo wa mwaka basi naomba nikufahamishe machache kuhusu hii Phantom 5. Kwa sababu Tecno wamethibitisha kuwasogezea Watanzania matoleo kadhaa ya simu za smartphones zenye viwango vyake sokoni, basi kuna […]
The post Kama mpango wako ni kuanza 2016 na simu mpya kwenye ubora wake, unaweza kuanza na TECNO Phantom 5 appeared first on...
11 years ago
Tanzania Daima03 Jul
‘Tatizo ni Mbowe, Dk. Slaa’
ILI kudhibiti nguvu ya upinzani na kujihakikishia ushindi katika uchaguzi ujao, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeamua kuwekeza katika mikakati michafu dhidi ya viongozi wakuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
10 years ago
IPPmedia04 Aug
Mbowe: Dr Slaa was against Lowassa move
IPPmedia
Chadema National Chairman Freeman Mbowe yesterday admitted having differed with Secretary General Wilbrod Slaa in accepting former Premier Edward Lowassa to join Chadema. Mbowe also allayed concerns that Slaa has seceded in protest of ...
9 years ago
Raia Tanzania03 Sep
Slaa kachomokea dirishani — Mbowe
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amesema kilichofanywa na aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk. Wilbrod Slaa, ni sawa na msafiri kutokea dirishani wakati treni ikiendelea na safari.
Akimnadi mgombea urais wa chama hicho anayeungwa mkono na vyama vingine vitatu vya upinzani, maarufu kwa jina la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa, kwenye viwanja vya Shule ya Msingi Ndua, Kata ya Kizwite mjini Sumbawanga, Mbowe alisema katika...