Lowassa aongoza.Wafuatia Slaa, Magufuli, Membe, Makamba, Lipumba, Mbowe, Zitto, Ni matokeo ya utafiti mikoa 18.
Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli (CCM), Edward Lowassa.
Nyota ya Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli (CCM), Edward Lowassa, imeendelea kung’aa baada ya Taasisi ya Samunge Social Sciences Research Center (SSSRC), kufanya utafiti na kubaini kuwa kiongozi huyo ni chaguo la kwanza kwa wananchi.
Utafiti huo uliofanywa miaka miwili kuanzia 2013 hadi 2015, unaonyesha Lowassa anaongoza kwa asilimia 20.7 dhidi ya wagombea 31.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Vijimambo27 Oct
11 years ago
Mwananchi25 Dec
Zitto ‘awalipua’ Dk Slaa, Mbowe
10 years ago
Mwananchi17 Jun
Prof Lipumba, Zitto DK Slaa, kuvaana kwenye mdahalo
11 years ago
Habarileo20 Dec
Zitto kuanza ziara kama akina Slaa, Mbowe
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto (Chadema), anatarajia kuanza ziara ya siku tano mkoani Kigoma, itakayomfikisha katika majimbo mbalimbali ya uchaguzi mkoani Kigoma.
10 years ago
IPPmedia04 Aug
Mbowe: Dr Slaa was against Lowassa move
IPPmedia
Chadema National Chairman Freeman Mbowe yesterday admitted having differed with Secretary General Wilbrod Slaa in accepting former Premier Edward Lowassa to join Chadema. Mbowe also allayed concerns that Slaa has seceded in protest of ...
10 years ago
Habarileo04 Aug
Mbowe akiri Slaa ‘alimkataa’ Lowassa
MWENYEKITI wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amekiri kuwa Katibu Mkuu wao, Dk Willibrod Slaa alitofautiana nao katika kumkubali aliyekuwa kada wa CCM, Edward Lowassa kujiunga nao, na sasa amepewa mapumziko.
9 years ago
Mwananchi10 Oct
Mbowe: Kwa nini Lowassa, si Dk Slaa
9 years ago
Mtanzania06 Oct
Lowassa avunja ‘ndoa’ ya Zitto, Dk. Slaa
NA MWANDISHI WETU DAR ES SALAAM
MKAKATI wa chama cha ACT Wazalendo kumtumia aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa kutumia jukwaa lake ‘kumchafua’ mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa anayeungwa mkono na vyama vinavyounda Ukawa, umegonga mwamba.
Kukwama kwa mkakati huo kunatokana na kuwapo msigano wa mawazo miongoni mwa viongozi wa ACT ambao waliona kumtumia Dk. Slaa kuiponda Chadema na hata Ukawa wataifanya jamii kuamini kwamba wao (ACT)...