Zitto: Nitamuunga mkono Mbowe
HAKI SAWA: Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba (kulia) na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali, Zitto Kabwe wakiwasili kwenye Uwanja wa Mashujaa mjini Mtwara jana, ambako walihutubia mkutano wa hadhara. Picha na Ibrahimu Yamola
Mtwara. Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Zitto Kabwe amesema atamuunga mkono Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani, Freeman Mbowe pale atakapowasilisha hoja yake bungeni kuhusu ufisadi wa zaidi ya Sh1 trilioni katika mradi...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo11 Jun
Membe: Nitamuunga mkono Mwandosya
MAWAZIRI wawili wa serikali ya Rais Jakaya Kikwete, Bernard Membe na Profesa Mark Mwandosya ambao wote wanaomba kugombea urais kupitia CCM kuungana katika harakati zao za kuwania kuteuliwa kupeperusha bendera ya chama hicho katika nafasi ya Rais katika Uchaguzi Mkuu baadaye mwaka huu.
10 years ago
Habarileo16 Jun
Wassira: Nitamuunga mkono yeyote wa CCM
WAZIRI wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Steven Wassira amesema yupo tayari kumuunga mkono mgombea yeyote atakayeteuliwa na CCM kuwania urais katika uchaguzi mkuu wa baadaye mwaka huu, endapo nafasi hiyo haitaangukia mikononi mwake.
11 years ago
Habarileo12 Dec
Akina Zitto wamwandama Mbowe
MGOGORO wa uongozi ndani ya Chadema, sasa umehamishiwa rasmi Baraza Kuu kwenye mpasuko, baada ya watuhumiwa waliovuliwa madaraka na Kamati Kuu (CC) ya chama hicho, kukata rufaa huko wakijua kuna wapinzani waliojitokeza hadharani dhidi ya CC na Mwenyekiti Freeman Mbowe.
10 years ago
Tanzania Daima13 Nov
Mbowe: Siwezi kumzibia Zitto
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amewataka wananchi wa Mkoa wa Kigoma kuijua historia ya mageuzi ya Mkoa huo ili kuepuka kuwalaumu viongozi wanaosimamia vyama hivyo...
10 years ago
Mwananchi08 Sep
Zitto: Wapambe wametufitini na Mbowe
11 years ago
Mwananchi25 Dec
Zitto ‘awalipua’ Dk Slaa, Mbowe
11 years ago
Tanzania Daima13 Jan
Mbowe kumburuza Zitto mahakamani
MWENYEKITI wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), anakusudia kumburuza mahakamani, Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, kwa madai ya kumkashifu na kumchafulia jina. Kwa mujibu wa taarifa...
10 years ago
Mtanzania27 Apr
Mbowe: Hatumtaki Zitto Ukawa
NA SITTA TUMMA, KYERWA
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amesema hawatamruhusu Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, kujiunga na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).
Kauli ya Mbowe imetolewa siku chache baada ya Zitto kutangaza kuwa ACT ipo tayari kujiunga na Ukawa kama wanavyotaka Watanzania wakiwamo baadhi ya viongozi wa umoja huo.
Alitoa kauli hiyo jana wilayani Kyerwa alipozungumza na MTANZANIA.
Mbowe alisema kuwa hawamwamini tena Zitto...
11 years ago
Mwananchi06 Jan
Mkono atoboa siri za Zitto