Wassira: Nitamuunga mkono yeyote wa CCM
WAZIRI wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Steven Wassira amesema yupo tayari kumuunga mkono mgombea yeyote atakayeteuliwa na CCM kuwania urais katika uchaguzi mkuu wa baadaye mwaka huu, endapo nafasi hiyo haitaangukia mikononi mwake.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo11 Jun
Membe: Nitamuunga mkono Mwandosya
MAWAZIRI wawili wa serikali ya Rais Jakaya Kikwete, Bernard Membe na Profesa Mark Mwandosya ambao wote wanaomba kugombea urais kupitia CCM kuungana katika harakati zao za kuwania kuteuliwa kupeperusha bendera ya chama hicho katika nafasi ya Rais katika Uchaguzi Mkuu baadaye mwaka huu.
10 years ago
Vijimambo02 Jan
Zitto: Nitamuunga mkono Mbowe
![](http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2575006/highRes/911819/-/maxw/600/-/15f7ube/-/zitto.jpg)
Mtwara. Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Zitto Kabwe amesema atamuunga mkono Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani, Freeman Mbowe pale atakapowasilisha hoja yake bungeni kuhusu ufisadi wa zaidi ya Sh1 trilioni katika mradi...
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/YVKcy2hU5iM/default.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima11 Dec
Lilian Wassira azindua ‘Kwaheri CCM’
MWANACHAMA wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Lilian Wassira, amezindua albamu yenye nyimbo sita zilizobeba ujumbe wa ukombozi, mabadiliko na maendeleo kwa Watanzania inayokwenda kwa jina la ‘Kwa Heri...
10 years ago
Habarileo23 Jun
Wassira aeleza siri foleni ya urais CCM
MGOMBEA wa nafasi ya urais ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wassira amesema kujitokeza kwa idadi kubwa ya wanaoomba nafasi hiyo kwa tiketi ya chama hicho inatokana na ukubwa wa CCM, ambayo ina hazina kubwa ya viongozi.
10 years ago
Habarileo20 Nov
CCM itashinda uchaguzi serikali za mitaa - Wassira
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uhusiano na Uratibu), Stephen Wassira amezungumzia mbio za urais ndani ya CCM na kusema kishindo cha vikumbo vya wagombea ni ishara tosha kwamba kinakubalika.
10 years ago
Habarileo14 Nov
Wassira ajitosa kuvunja makundi CCM Arusha
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais (Uhusiano na Uratibu ), Stephen Wasira amesema yupo tayari kuvunja makundi ya kudumu, yanayoonekana kuwapo baina ya Mbunge wa zamani wa Jimbo Arusha Mjini kupitia CCM, Felix Mrema na Batilda Burian, aliyewahi kuwania ubunge katika jimbo hilo, lakini hakufanikiwa.
11 years ago
GPL![](http://2.bp.blogspot.com/-Rt-DNzsVA00/Uv4k8Cewg_I/AAAAAAAAL54/Wmu0HQTMIDg/s1600/g3.jpg)
MAKAMBA, WASSIRA NAO WAHOJIWA NA KAMATI NDOGO YA MAADILI CCM
10 years ago
Habarileo10 Jun
CCM ikisimamisha mla rushwa, itapoteza dola, asema Wassira
WAZIRI wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephen Wassira amesema iwapo Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitafanya kosa kumsimamisha mgombea mla rushwa, kitapoteza dola.