Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lilian Wassira azindua ‘Kwaheri CCM’

MWANACHAMA wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Lilian Wassira, amezindua albamu yenye nyimbo sita zilizobeba ujumbe wa ukombozi, mabadiliko na maendeleo kwa Watanzania inayokwenda kwa jina la ‘Kwa Heri...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

DC Makonda azindua Vitabu vya Mwl.Lilian Ndegi

Mkuu wa Wilaya Kinondoni Mh.Paul Makonda siku ya jana katika kanisa la Living Water Center chini ya mtumishi wa Mungu Apostle Onesmo Ndegi alikuwa mgeni wa heshima katika uzinduzi wa vitabu vitatu  “MJUE MWANAMKE,USIIPE HOFU NAFASI na RAFIKI ANAYEKUFAA vilivyoandikwa na Mwl Lilian Ndegi wa Kanisa la Living Water Center Kawe.

Ibada hiyo ya uzinduzi wa vitabu ilipambwa na vikundi vya uimbaji sifa kama Living Waters wenyeji Upendo Nkone,GUG Dancers na More Than Enough Band.

Mkuu huyo wa wilaya...

 

10 years ago

Habarileo

Wassira: Nitamuunga mkono yeyote wa CCM

Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephen WassiraWAZIRI wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Steven Wassira amesema yupo tayari kumuunga mkono mgombea yeyote atakayeteuliwa na CCM kuwania urais katika uchaguzi mkuu wa baadaye mwaka huu, endapo nafasi hiyo haitaangukia mikononi mwake.

 

10 years ago

Habarileo

CCM itashinda uchaguzi serikali za mitaa - Wassira

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uhusiano na Uratibu), Stephen Wassira amezungumzia mbio za urais ndani ya CCM na kusema kishindo cha vikumbo vya wagombea ni ishara tosha kwamba kinakubalika.

 

10 years ago

Habarileo

Wassira aeleza siri foleni ya urais CCM

Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephen WassiraMGOMBEA wa nafasi ya urais ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wassira amesema kujitokeza kwa idadi kubwa ya wanaoomba nafasi hiyo kwa tiketi ya chama hicho inatokana na ukubwa wa CCM, ambayo ina hazina kubwa ya viongozi.

 

10 years ago

Habarileo

Wassira ajitosa kuvunja makundi CCM Arusha

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais (Uhusiano na Uratibu ), Stephen Wasira amesema yupo tayari kuvunja makundi ya kudumu, yanayoonekana kuwapo baina ya Mbunge wa zamani wa Jimbo Arusha Mjini kupitia CCM, Felix Mrema na Batilda Burian, aliyewahi kuwania ubunge katika jimbo hilo, lakini hakufanikiwa.

 

10 years ago

Habarileo

CCM ikisimamisha mla rushwa, itapoteza dola, asema Wassira

Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephen WassiraWAZIRI wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephen Wassira amesema iwapo Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitafanya kosa kumsimamisha mgombea mla rushwa, kitapoteza dola.

 

11 years ago

GPL

MAKAMBA, WASSIRA NAO WAHOJIWA NA KAMATI NDOGO YA MAADILI CCM

 Naibu Waziri wa Mawasiliano  Sayansi na Teknolojia, January Makamba akizungumza na waandishi wa habari nje ya ukumbi wa White House mjini Dodoma mara baada ya kuhojiwa na Kamati ya Maadili CCM jana.
January Makamba akiondoka kwenye Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi mara baada ya kuhojiwa na Kamati ya Maadili.…

 

9 years ago

Dewji Blog

Baraza kuu la Umoja wa Vijana wa CCM Taifa (UVCCM) lampa ‘Mkono wa kwaheri’ Kingunge Ngombale Mwiru

KINGU

Pichani ni picha ya Maktaba: Kingunge Ngombale Mwilu (kushoto) ambaye alikuwa Kamanda wa UVCCM Taifa mapema Agosti 16, amevuliwa nafasi hiyo na uongozi wa UVCCM Taifa kufuatia kikao chao kilichokaa jijini Dar es Salaam.

Baraza kuu la Umoja wa Vijana wa CCM lililokutana tarehe 15.08.2015 katika ukumbi wa Julius Nyerere International convention centre, pamoja na mambo mengine liliazimia mambo yafutauo:-

1.Lilimvua Ukamanda Mkuu ndugu Kingunge Ngombale Mwiru. Maamuzi hayo yalitolewa kutokana...

 

5 years ago

CCM Blog

MAKAMU MWENYEKITI WA CCM TANZANIA BARA AZINDUA OFISI YA CCM MKOA WA GEITA

Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Mzee Ohilip Mangula akiteta jambo na Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanalu Mstaafu Ngemela Lubinga wakati wa uzinduzi wa  jengo la  ofisi ya CCM mkoa wa Geita



15.02.2020
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Ndugu Philip Japhet Mangula amezindua jengo la ofisi ya CCM Mkoani Geita ambalo ni limejengwa na  viongozi wa Chama na Serikali, Wanachama wa CCM pamoja na wadau mbalimbali Mkoani hapo.

Aidha, Ndugu Mangula akiwahutubia wana CCM hao...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani