Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wassira aeleza siri foleni ya urais CCM

Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephen WassiraMGOMBEA wa nafasi ya urais ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wassira amesema kujitokeza kwa idadi kubwa ya wanaoomba nafasi hiyo kwa tiketi ya chama hicho inatokana na ukubwa wa CCM, ambayo ina hazina kubwa ya viongozi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Diamond aeleza siri ya mafanikio

MKALI wa muziki wa kizazi kipya nchini, Naseeb Abdul ‘Diamond Platinum’ amesema mafanikio yake yanatokana na kujituma kwa kiwango kikubwa na jinsi anavyojua kuishi vizuri na watu hasa mashabiki wake...

 

10 years ago

Mwananchi

Wassira acharukia wataka urais

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mahusiano na Uratibu, Steven Wassira amewataka wote wanaotumia suala la ripoti ya Kamati ya Bunge ya Hesabu ya Serikali (PAC) kwa vigezo vya kuwaondoa wenzao katika mbio za urais hawastahili kupewa nafasi hiyo

 

10 years ago

Habarileo

Pinda aunga foleni ya wasaka urais

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akionesha mkoba wenye fomu ya kuwania kuteuliwa na CCM kugombea nafasi ya Urais katika uchaguzi mkuu mwaka huu baada ya kuchukua fomu hiyo, Dodoma jana. Kulia ni mkewe, Tunu Pinda na Katibu wa Oganaizesheni wa NEC, Mohamed Seif Khatib. (Picha na Ofisi Waziri Mkuu)WAZIRI Mkuu jana amejitosa rasmi kuchukua fomu na kuingia katika kinyang’anyiro cha kuomba kupeperusha bendera ya CCM katika Uchaguzi Mkuu wa 2015.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wassira: Bado nina dhamira ya urais

WAZIRI wa Ofisi ya Rais, Mahusiano na Uratibu, Stephen Wassira, amesema bado ana nia ya kuwania urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika mwakani. Kauli hiyo, aliitoa jana wakati akifanya mahojiano kwenye...

 

10 years ago

Habarileo

Mwigulu na Wassira wakoleza mbio za Urais

Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, akitangaza nia ya kuomba kuchaguliwa na CCM kugombea urais mwaka huu.MAKADA wawili wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mwigulu Nchemba na Stephen Wassira wametangaza rasmi nia yao ya kutaka kuwania kupitishwa na chama hicho, kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

 

10 years ago

Mtanzania

Honeymoon aeleza siri ya tuzo zake za ZIFF

Muongozaji bora wa filamu, HoneymoonJULIET MORI NA LETICIA BWIRE (TUDARCO)

MSHINDI wa tuzo mbili za kimataifa za filamu alizozipata katika Tamasha la Kimataifa la Filamu Zanzibar (ZIFF), Honeymoon Mohammed, amesema filamu bora inatokana na uandishi wa muswada (script), mandhari nzuri pamoja na uwezo wa msanii husika.

Tuzo hizo alizopata kutokana na filamu yake ya ‘Daddy’s Wedding’ ni filamu yenye picha bora na mwongozaji bora wa filamu.

Akizungumza katika mkutano ulioandaliwa na Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) jana,...

 

10 years ago

Habarileo

Ngeleja aeleza siri ya ushindi wake Sengerema

MBUNGE wa Sengerema, William Ngeleja aliyeibuka na ushindi wa kishindo katika kura za maoni dhidi ya wagombea wenzake akiwamo aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Lawrence Masha, amesema ushindi wake ni kielelezo kuwa ametekeleza vizuri Ilani ya Uchaguzi ya CCM kuanzia mwaka 2010.

 

10 years ago

Habarileo

Wassira: Nitatangaza kuwania urais keshokutwa Mwanza

Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephen WassiraWAZIRI wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephen Wassira amesema keshokutwa atatangaza rasmi nia yake ya kuomba Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimteue kuwania Urais katika Uchaguzi Mkuu mwaka huu.

 

10 years ago

Vijimambo

MH.WASSIRA ACHUKUA FOMU ZA KUGOMBEA URAIS 2015

Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Stephen Wassira akikabidhiwa fomu ya kugombea urais.Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Stephen Wassira akishuka kwenye Gari ili kuchukua fomu ya kugombea urais 2015 .
Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Stephen Wassira akiwasili ukumbini katika mkutano na Waandishi wa Habari . 
Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Stephen Wassira akisaini wakati wa kuchukua fomu ya kugombea urais paembeni ni mke wake.

Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Stephen...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani