Ngeleja aeleza siri ya ushindi wake Sengerema
MBUNGE wa Sengerema, William Ngeleja aliyeibuka na ushindi wa kishindo katika kura za maoni dhidi ya wagombea wenzake akiwamo aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Lawrence Masha, amesema ushindi wake ni kielelezo kuwa ametekeleza vizuri Ilani ya Uchaguzi ya CCM kuanzia mwaka 2010.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Raia Mwema20 Sep
Ngeleja aota ushindi wa tsunami Sengerema
WAKATI baadhi ya wakazi wa Sengerema mkoani Mwanza wakiamini kuwa mgombea ubunge wa jimbo hilo, W
Christopher Gamaina
10 years ago
Habarileo07 Jan
Ngeleja apongeza wanaCCM Sengerema kwa ushindi
MBUNGE wa Sengerema mkoani Mwanza, William Ngeleja amewashukuru wananchi wa jimbo lake la uchaguzi kwa kukipatia ushindi wa kishindo Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwishoni mwa mwaka jana.
9 years ago
Mzalendo Zanzibar23 Aug
Maalim Seif atoboa siri za ushindi wake
Mgombea Urais kupitia Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad amesema kuwa mara tu baada ya kura kuhesabiwa watayapata matokeo ya uchaguzi mkuu na kuyatangaza kabla hata tume ya uchaguzi kuyapata. Amesema wameandaa system ya […]
The post Maalim Seif atoboa siri za ushindi wake appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
Mwananchi23 Apr
William Ngeleja: Mbunge wa Sengerema
11 years ago
Tanzania Daima27 Jul
Ngeleja: Tutaondoa kero ya maji Sengerema
MBUNGE wa Sengerema, William Ngeleja (CCM), ameishukuru Wizara ya Maji kwa kutenga zaidi ya sh. bilioni 29 kutekeleza miradi ya maji jimboni kwake. Akizungumza na Tanzania Daima Jumapili jana, Ngeleja...
9 years ago
StarTV07 Sep
Mwigulu aeleza matumaini ya ushindi asilimia 80
Mjumbe wa kamati ya kampeni za Chama cha Mapinduzi Mwigulu Nchemba amesema historia ya mgombea Urais kupitia chama hicho Dokta John Magufuli kutokabiliwa na kashfa ya rushwa na ufisafi ndiyo sababu inayotoa matumaini ya CCM kushinda kwa asilimia 80 katika uchaguzi mkuu ujao.
Akizungumza kwenye Ufunguzi wa Kampeni za Ubunge Jimbo la Kibiti Mkoani Pwani, Mwigulu amesema CCM inajivunia sifa ya Uadilifu, Uchapakazi na Usafi alionao Mgombea wao ambayo inafanya Uchaguzi kwao kuwa rahisi,
Amesema...
11 years ago
Tanzania Daima01 Jan
Diamond aeleza siri ya mafanikio
MKALI wa muziki wa kizazi kipya nchini, Naseeb Abdul ‘Diamond Platinum’ amesema mafanikio yake yanatokana na kujituma kwa kiwango kikubwa na jinsi anavyojua kuishi vizuri na watu hasa mashabiki wake...
10 years ago
Habarileo23 Jun
Wassira aeleza siri foleni ya urais CCM
MGOMBEA wa nafasi ya urais ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wassira amesema kujitokeza kwa idadi kubwa ya wanaoomba nafasi hiyo kwa tiketi ya chama hicho inatokana na ukubwa wa CCM, ambayo ina hazina kubwa ya viongozi.
10 years ago
Mtanzania11 Aug
Honeymoon aeleza siri ya tuzo zake za ZIFF
JULIET MORI NA LETICIA BWIRE (TUDARCO)
MSHINDI wa tuzo mbili za kimataifa za filamu alizozipata katika Tamasha la Kimataifa la Filamu Zanzibar (ZIFF), Honeymoon Mohammed, amesema filamu bora inatokana na uandishi wa muswada (script), mandhari nzuri pamoja na uwezo wa msanii husika.
Tuzo hizo alizopata kutokana na filamu yake ya ‘Daddy’s Wedding’ ni filamu yenye picha bora na mwongozaji bora wa filamu.
Akizungumza katika mkutano ulioandaliwa na Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) jana,...