DC Makonda azindua Vitabu vya Mwl.Lilian Ndegi
Mkuu wa Wilaya Kinondoni Mh.Paul Makonda siku ya jana katika kanisa la Living Water Center chini ya mtumishi wa Mungu Apostle Onesmo Ndegi alikuwa mgeni wa heshima katika uzinduzi wa vitabu vitatu “MJUE MWANAMKE,USIIPE HOFU NAFASI na RAFIKI ANAYEKUFAA vilivyoandikwa na Mwl Lilian Ndegi wa Kanisa la Living Water Center Kawe.
Ibada hiyo ya uzinduzi wa vitabu ilipambwa na vikundi vya uimbaji sifa kama Living Waters wenyeji Upendo Nkone,GUG Dancers na More Than Enough Band.
Mkuu huyo wa wilaya...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboMH.PAUL MAKONDA KATIKA UZINDUZI WA VITABU VYA MWL.LILIAN NDEGI
Ibada hiyo ya uzinduzi wa vitabu ilipambwa na vikundi vya uimbaji sifa kama...
9 years ago
MichuziDC PAUL MAKONDA AZINDUZI WA VITABU VYA MWL.LILIAN NDEG
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
10 years ago
MichuziMTUNZI MKONGWE WA VITABU ZANZIBAR AZINDUA VITABU VITATU VYA HADITHI ZA KALE
10 years ago
GPLMAKONDA AZINDUA KINONDONI CUP JIJINI DAR, AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA TIMU 138
11 years ago
Tanzania Daima11 Dec
Lilian Wassira azindua ‘Kwaheri CCM’
MWANACHAMA wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Lilian Wassira, amezindua albamu yenye nyimbo sita zilizobeba ujumbe wa ukombozi, mabadiliko na maendeleo kwa Watanzania inayokwenda kwa jina la ‘Kwa Heri...
10 years ago
VijimamboMKUU WA WILAYA YA KINONDONI, PAUL MAKONDA AZINDUA MASHINDANO KINONDONI CUP JIJINI DAR ES SALAAM , AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA TIMU 138
10 years ago
GPLSHIGONGO AZINDUA VITABU VYAKE VIPYA MAREKANI
10 years ago
GPLMAKONDA AZINDUA KINONDONI TALENT SEARCH
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-dB5GRuq0NoI/U8bhCrtHwQI/AAAAAAAF26k/MnGMxFNCKNE/s72-c/unnamed+(1).jpg)
BI MWANAMKAA ABDULRAHAMAN AZINDUA VITABU VIWILI KWA WATOTO NA WAKUBWA
![](http://4.bp.blogspot.com/-dB5GRuq0NoI/U8bhCrtHwQI/AAAAAAAF26k/MnGMxFNCKNE/s1600/unnamed+(1).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-ugabJPqHanA/U8bhC42irQI/AAAAAAAF268/uJYghE8Hh3Y/s1600/unnamed+(3).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-trljLYebojA/U8bhC0e63AI/AAAAAAAF26o/1JIGlYMXvdM/s1600/unnamed.jpg)