BI MWANAMKAA ABDULRAHAMAN AZINDUA VITABU VIWILI KWA WATOTO NA WAKUBWA
.jpg)
VITABU VIMEZINDULIWA ZANZIBAR TAREHE 14.7.2014. NI VITABU VYAKE VYA KWANZA KUVITUNGA,KITABU CHA "MAMU NA MUNA" (KWA WATOTO) NA "MBONA KINYUME" (KWA WATU WAZIMA). MTUNZI NI BI. MWANAMKAA ABDULRAHAMAN AMBAYE NI MWANASHERIA NA MRAJIS WA ARDHI ZANZIBAR Mwalimu mkuu chuo cha kiislamu Zanzibar shekh Muhidin Ahmed ambae ni mgeni rasmi akizindua vitabu hivyo
Bi. Mwanamkaa Abdulrahman akielezea muhtasari kuhusu vitabu vyake
Mwalimu mkuu chuo cha kiislamu Zanzibar shekh Muhidin Ahmed akisifia vitabu...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLSHIGONGO AZINDUA VITABU VYAKE VIWILI VIPYA KATIKA OFISI ZA GLOBAL
11 years ago
Mwananchi22 Jan
10 years ago
MichuziMTUNZI MKONGWE WA VITABU ZANZIBAR AZINDUA VITABU VITATU VYA HADITHI ZA KALE
11 years ago
Tanzania Daima15 Apr
Waziri ahimiza usomaji vitabu kwa watoto
WADAU wa elimu wametakiwa kuwasaidia watoto kwa kuwawezesha kupata na kutumia stadi mbalimbali za lugha kupitia usomaji wa vitabu ili kuwawezesha kufanya vizuri shuleni. Rai hiyo ilitolewa jijini Dar es...
9 years ago
Michuzi
Kandanda Day 2015 yafungua mwaka kwa kukabidhi vitabu na mipira katika kituo cha watoto.
11 years ago
Dewji Blog11 Jun
Mama Salma Kikwete mgeni rasmi kwenye tamasha la kwanza la vitabu vya hadithi kwa watoto wa shule za msingi
Baadhi ya watoto wa shule za msingi jijini Dar wakifanya mazoezi ya maigizo kwa ajili ya tamasha la kesho kwenye ukumbi wa Makumbusho ya Taifa.
Na Mwandishi wetu
WANAFUNZI wa shule za Msingi nchini, wameshauriwa kuwa na mazoea ya kusoma vitabu kwa lengo la kuwa wagunduzi wa vitu mbalimbali.
Akizungumza jijini Dar es Salaam,Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Soma, Demere Kitunga wakati wa maandalizi ya tamasha la kwanza la vitabu vya hadithi kwa watoto wa Shule za msingi.
Kitunga amesema...
11 years ago
GPL
MAMA SALMA KIKWETE MGENI RASMI KWENYE TAMASHA LA KWANZA LA VITABU VYA HADITHI KWA WATOTO WA SHULE ZA MSINGI
10 years ago
Michuzi
NexLaw Advocates watembelea Vituo viwili vya kulelea watoto yatima jijini Dar es salaam