Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mrema aandika vitabu viwili

 

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

BI MWANAMKAA ABDULRAHAMAN AZINDUA VITABU VIWILI KWA WATOTO NA WAKUBWA

VITABU VIMEZINDULIWA ZANZIBAR TAREHE 14.7.2014.  NI VITABU VYAKE VYA KWANZA KUVITUNGA,KITABU CHA "MAMU NA MUNA" (KWA WATOTO) NA "MBONA KINYUME" (KWA WATU WAZIMA). MTUNZI NI BI.  MWANAMKAA ABDULRAHAMAN AMBAYE NI MWANASHERIA NA MRAJIS WA ARDHI ZANZIBAR  Mwalimu mkuu chuo cha kiislamu Zanzibar shekh Muhidin Ahmed ambae ni mgeni rasmi akizindua vitabu hivyoBi. Mwanamkaa Abdulrahman akielezea muhtasari kuhusu vitabu vyakeMwalimu mkuu chuo cha kiislamu Zanzibar shekh Muhidin Ahmed akisifia vitabu...

 

10 years ago

GPL

SHIGONGO AZINDUA VITABU VYAKE VIWILI VIPYA KATIKA OFISI ZA GLOBAL

Mkurugenzi wa Global Publishers LTD, Shigongo Eric James (kulia), akishikilia vitabu vyake baada ya kumpatia jukumu la uzinduzi huo Mhariri Kiongozi wa Magazeti Pendwa ya Kampuni hiyo, Oscar Ndauka. Tukio hilo limefanyika mapema leo ndani ya jengo la ofisi za GlobalPublishers zilizoko Mwenge-Bamaga jijini Dar es Salaam. Meneja Mkuu wa Global Publishers Ltd, Abdallah Mrisho (kulia), akiwa amenyanyua moja ya vitabu hivyo baada ya...

 

10 years ago

Michuzi

MTUNZI MKONGWE WA VITABU ZANZIBAR AZINDUA VITABU VITATU VYA HADITHI ZA KALE

Mtunzi mkongwe wa vitabu Zanzibar Bi. Fatma Moh’d Salim (Jinja) akionyesha vitabu vya hadithi za kale alivyovitunga, katika sherehe za uzinduzi wa vitabu hivyo zilizofanyika nyumbani kwake Chukwani Zanzibar. Mwandishi wa Habari wa Redio Annur Fm Kasim Khamis akimuuliza suali Bi. Fatma Jinja kuhusiana na utunzi wa vitabu vyake alivyo vizindua. Baadhi ya waalikwa waliohudhuria sherehe za uzinduzi wa vitabu hivyo wakimskiliza Bi. Fatma Jinja (hayupo pichani) alipokuwa akitoa maelezo juu ya...

 

10 years ago

GPL

WASTARA AANDIKA HISTORIA

Waandishi Wetu
AJABU! Staa wa filamu za Kibongo, Wastara Juma usiku wa kuamkia Jumatatu aliandika historia ya aina yake ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani wa Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem, Dar kwa kuonesha shoo ya nguvu jukwaani hivyo kuwafanya mashabiki kibao waliohudhuria ukumbini hapo kupigwa butwaa wasiamini kama ni yeye. Staa wa filamu za Kibongo, Wastara Juma akicheza kwa hisia. Katika shoo hiyo ya Sikukuu ya Pasaka...

 

9 years ago

BBCSwahili

Fidel Castro aandika barua ya wazi Cuba

Rais wa zamani wa Cuba Fidel Castro ametimiza umri wa miaka 89 kwa kuandika barua ya wazi kwa taifa lake.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Niler aandika historia Tanzania Top Model

MWANAMITINDO Niler Mruma (21), amefanya kisichotarajiwa na wengi baada ya kunyakua mataji yote matatu yaliyokuwa yakigombewa kwenye shindano la kwanza la Tanzania Top Model lililofanyika jijini Dar es Salaam, mwishoni...

 

10 years ago

GPL

SKENDO YA MASTAA KUHONGWA MAGARI: LULU AANDIKA HISTORIA

Stori: SHAKOOR JONGO
Limekuwa ni jambo la kawaida kwa baadhi ya mastaa wa Kibongo kuonesha au kupiga picha anaponunua gari jipya huku suala la kuonesha kadi ya gari likiwa gumu na ahadi zisizokwisha lakini mwigizaji ‘sexy’ mwenye mvuto kwenye tasnia ya filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameandika historia ya tofauti. Mwigizaji ‘sexy’ mwenye mvuto kwenye tasnia ya filamu Bongo,...

 

10 years ago

Africanjam.Com

NEYMAR AANDIKA UJUMBE MREFU WA KUHUDHUNISHA KUOMBA RADHI

Neymar ambae hivi karibuni amepigwa panga la kukosa mechi nne kwenye Copa America baada ya kitendo cha utovu wa nidhamu alichofanya kwenye mechi.Licha ya kuwa nje ya uwanja lakini bado anaendelea kuwa supporter mkubwa wa timu yake kwa kukaa jukwaani akishangilia timu yake.
Sasa baada ya kuzungumza na waandishi wa habari kuhusu kujutia kitendo alichokifanya lakini bado ametumia muda mrefu kuandika kwenye ukurasa wake wa Instagram kwa lugh ya kireno jinsi gani anazidi kujutia nafasi...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete aandika historia: Aanzisha ujenzi Daraja la Kilombero

k (1)

Magari yakivuka juu ya daraja la muda la Mto Kilombero lililojengwa kurahisisha kazi za ujenzi wa daraja la kudumu katika wilaya ya Kilombero Mkoa wa Morogoro, wakati wa sherehe za uwekaji jiwe la msingi wa ujenzi wa darajan hilo na Rais Jakaya Mrisho Kikwete Agosti 20, 2014. 

Historia imeandikwa Jumatano, Agosti 20, 2014 katika Mkoa wa Morogoro na katika Tanzania. Kwa mara ya kwanza tokea enzi na enzi, magari yameweza kuvuka Mto wa Kilombero, moja ya mito mikubwa zaidi nchini, mpakani mwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani