WASTARA AANDIKA HISTORIA
![](http://api.ning.com:80/files/JeioNtmyO2ah*wHCgrwdLha4at2jQPrzYyYOy9BY1io6GCejEvMnu-vhXl82T*Brjv0h3vlrpQj5nSATDEIAIj8Bx8GXzH5H/222.jpg?width=650)
Waandishi Wetu AJABU! Staa wa filamu za Kibongo, Wastara Juma usiku wa kuamkia Jumatatu aliandika historia ya aina yake ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani wa Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem, Dar kwa kuonesha shoo ya nguvu jukwaani hivyo kuwafanya mashabiki kibao waliohudhuria ukumbini hapo kupigwa butwaa wasiamini kama ni yeye. Staa wa filamu za Kibongo, Wastara Juma akicheza kwa hisia. Katika shoo hiyo ya Sikukuu ya Pasaka...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima11 Dec
Niler aandika historia Tanzania Top Model
MWANAMITINDO Niler Mruma (21), amefanya kisichotarajiwa na wengi baada ya kunyakua mataji yote matatu yaliyokuwa yakigombewa kwenye shindano la kwanza la Tanzania Top Model lililofanyika jijini Dar es Salaam, mwishoni...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/hpMD5afDfdaey0GJlNkSjXbqV1bEGkG2xg324epB5GpnuZ5dH5rtj8pQFmrPqwnV9N5Yx-eSGpW86PZflkj*1kvtRhqlwnO6/lulu.jpg)
SKENDO YA MASTAA KUHONGWA MAGARI: LULU AANDIKA HISTORIA
10 years ago
Dewji Blog22 Aug
Rais Kikwete aandika historia: Aanzisha ujenzi Daraja la Kilombero
Magari yakivuka juu ya daraja la muda la Mto Kilombero lililojengwa kurahisisha kazi za ujenzi wa daraja la kudumu katika wilaya ya Kilombero Mkoa wa Morogoro, wakati wa sherehe za uwekaji jiwe la msingi wa ujenzi wa darajan hilo na Rais Jakaya Mrisho Kikwete Agosti 20, 2014.
Historia imeandikwa Jumatano, Agosti 20, 2014 katika Mkoa wa Morogoro na katika Tanzania. Kwa mara ya kwanza tokea enzi na enzi, magari yameweza kuvuka Mto wa Kilombero, moja ya mito mikubwa zaidi nchini, mpakani mwa...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-Eeim4PzvVaI/VC7ZqAMqV_I/AAAAAAAAR2g/OalSdQKoKwI/s72-c/10.jpg)
KINANA AANDIKA HISTORIA TANGA AFANYA MKUTANO KUBWA ULIOJAA KULIKO KAWAIDA
Awaambia wana Tanga uchumi wao upo kwenye bandari na treniAsisitiza kuwajibika kwa viongozi walioshindwa kutimiza malengo yaoAwataka wananchi kuchagua viongozi bora ambao wataheshimu mawazo yao kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na vitongoji.
![](http://4.bp.blogspot.com/-Eeim4PzvVaI/VC7ZqAMqV_I/AAAAAAAAR2g/OalSdQKoKwI/s1600/10.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-M8LvUejpf0Y/VC7ZpuWmbqI/AAAAAAAAR2c/8N_q5WoXBX0/s1600/11.jpg)
11 years ago
Bongo Movies17 Jun
Fahamu historia fupi ya mwanadada Wastara Sajuki tangu alipoanza kuigiza mpaka sasa
Historia fupi ya mwanadada wa bongo movies - Wastara Sajuki. BONYEZA HAPA kuisoma.
11 years ago
Mwananchi22 Jan
9 years ago
BBCSwahili14 Aug
Fidel Castro aandika barua ya wazi Cuba
10 years ago
Africanjam.Com![](http://2.bp.blogspot.com/-xmZJdDQZQT0/VYmOwKSqhcI/AAAAAAAACLw/l1ugfOXM49w/s72-c/neymar-wiping-the-tears-of-his-face-after-crying.jpg)
NEYMAR AANDIKA UJUMBE MREFU WA KUHUDHUNISHA KUOMBA RADHI
![](http://2.bp.blogspot.com/-xmZJdDQZQT0/VYmOwKSqhcI/AAAAAAAACLw/l1ugfOXM49w/s400/neymar-wiping-the-tears-of-his-face-after-crying.jpg)
Sasa baada ya kuzungumza na waandishi wa habari kuhusu kujutia kitendo alichokifanya lakini bado ametumia muda mrefu kuandika kwenye ukurasa wake wa Instagram kwa lugh ya kireno jinsi gani anazidi kujutia nafasi...
9 years ago
Dewji Blog08 Nov
Eric Shigongo aandika barua kali kwa CCM na Watanzania wote!
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi.
Ndugu zangu. Watanzania wenzangu,
Kwanza kabisa nawapongezeni kwa amani na utulivu mliouonyesha katika mchakato wote wa Uchaguzi Mkuu ambao ulimalizika salama na hatimaye jana Rais wa Awamu wa Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli aliapishwa mbele ya macho yangu na ya Watanzania wengine wengi.
Hakika tumeuthibitishia ulimwengu kwamba, sisi Watanzania ni tofauti na wao, tunao uwezo wa kuvuka kwenye nyakati ngumu lakini bado...