Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbowe: Serikali iache siasa kwenye mambo ya uchumi

>Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe ameitaka Serikali kuacha siasa kwenye masuala ya kiuchumi, ukiwamo mgogoro kati ya Tanzania na Kenya kuhusu sekta ta utalii.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Serikali yaombwa kuwaingiza wafugaji kwenye bajeti ili kuinua uchumi wa taifa

Chama cha Wafugaji Kanda ya Ziwa kimeitaka Serikali kuwatambua kuwa nao ni miongoni mwa Sekta muhimu inayoweza kuinua uchumi wa nchi na wananchi wake kwa kulipa mapato na kutaka kuingizwa katika bajeti ya walipa kodi.

Wafugaji wamesema Tanzania ni nchi ya tatu barani Afrika kwa wingi wa mifugo ya asili lakini wengi wao wanaishi katika hali duni na hata serikali imeshindwa kupata kikamilifu matunda ya kuwepo kwa rasilimali hiyo.

 Hayo wameyasema katika Mkutano wao na Waziri wa Kilimo,Mifugo...

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali iache demokrasia ishamiri

Serikali kupitia Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe, imetoa tamko kali la kutishia kuanza kutekeleza sheria inayodhibiti asasi za kijamii na kidini, ikizitaka taasisi hizo kuacha mara moja kutoa matamko yanayolenga kuwashawishi waumini wao waikatae Katiba Inayopendekezwa na pia kuwapangia nini cha kufanya katika Uchaguzi Mkuu ujao, kwamba watakaobainika watachukuliwa hatua kali.

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Serikali iache kununua magari ya kifahari’

SERIKALI imeshauriwa kuacha kununua magari ya kifahari, badala yake fedha hizo zielekezwe katika kununua magari na kujenga majengo kwa ajili ya Jeshi la Polisi. Akiuliza swali bungeni jana, Mbunge wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali iache maigizo, itekeleze majukumu haya

Mambo yanayoendelea kufanyika nchini hivi sasa wakati wananchi wakitakiwa kujielekeza katika masuala muhimu yanayohusu mustakabali wa Taifa letu yanaweza kufananishwa na maigizo kama siyo sarakasi. Katika historia ya nchi yetu, hakuna wakati ambapo wananchi walijikuta wakitakiwa kutekeleza majukumu makubwa ya kitaifa kwa wakati mmoja kama ilivyo mwaka huu. Bahati nzuri wananchi wanatambua kwamba majukumu hayo ni mazito na muhimu, hivyo yanahitaji umakini mkubwa katika utekelezaji wake.

 

10 years ago

Mtanzania

Dk. Mengi: Serikali iache kuwashusha thamani vijana

TWITERNa Maneno Selanyika, Dar es Salaam
MWENYEKITI Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Mengi ameitaka Serikali kuacha kuwashusha thamani vijana kuwa hawawezi kufanya jambo lolote.
Alisema badala yake itekeleze sera ya uwezeshaji kwa vitendo kama njia ya kuwakwamua katika lindi la umaskini.
Mengi alikuwa akizindua mradi wa ‘Airtel Fursa’ Dar es Salaam jana, ambao unaendeshwa na kampuni ya mawasiliano ya Airtel Tanzania kuwasaidia vijana kukuza na kuanzisha biashara.
Alisema vijana wengi...

 

11 years ago

GPL

SERIKALI IACHE BLAHBLAH KUHUSU MTANDAO WA NGONO, MADAWA YA KULEVYA CHINA

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe. WIKI iliyopita Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe alieleza bungeni kwamba serikali imeshafanikiwa kunasa mtandao wa watu wanaojihusisha na kusafirisha wasichana wa Kitanzania kwenda China kwa ajili ya kuwafanyisha biashara ya ngono. Taarifa hiyo, Chikawe aliitoa Ijumaa iliyopita wakati akihitimisha michango mbalimbali ya wabunge kuhusu bajeti ya wizara yake kwa...

 

9 years ago

Mwananchi

UKWELI UTAKUWEKA HURU: Mwaka Mpya Serikali ya CCM iache woga kwa wapinzani

Awali ya yote napenda kuwatakia heri na Baraka za Mwenyezi Mungu kwa wasomaji wangu wote na wananchi kwa ujumla “ Heri ya Mwaka Mpya na Baraka tele kwenu nyote.”

 

11 years ago

Mwananchi

Mafuruki: Siasa zinayumbisha uchumi

Mwenyekiti wa Umoja wa Maofisa Watendaji Wakuu wa Kampuni Binafsi Tanzania (CEO’s Roundtable), Ali Mufuruki amesema uchumi wa Tanzania unayumba kutokana na makosa makuu matatu yaliyofanywa na watawala tangu nchi ilipopata uhuru miaka 53 iliyopita.

 

10 years ago

Mwananchi

Tulipofikia tusiruhusu tena siasa iendeshe uchumi

 “chama kushika hatamu za uongozi”; “chama kimoja”; “zidumu fikra za mwenyekiti”, kwa moyo wa dhati kabisa, lazima niseme kwamba, kwa mtindo huo, Watanzania tutajikaanga kwa mafuta yetu wenyewe.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani