Dk. Mengi: Serikali iache kuwashusha thamani vijana
Na Maneno Selanyika, Dar es Salaam
MWENYEKITI Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Mengi ameitaka Serikali kuacha kuwashusha thamani vijana kuwa hawawezi kufanya jambo lolote.
Alisema badala yake itekeleze sera ya uwezeshaji kwa vitendo kama njia ya kuwakwamua katika lindi la umaskini.
Mengi alikuwa akizindua mradi wa ‘Airtel Fursa’ Dar es Salaam jana, ambao unaendeshwa na kampuni ya mawasiliano ya Airtel Tanzania kuwasaidia vijana kukuza na kuanzisha biashara.
Alisema vijana wengi...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi16 Apr
Serikali iache demokrasia ishamiri
11 years ago
Tanzania Daima31 May
‘Serikali iache kununua magari ya kifahari’
SERIKALI imeshauriwa kuacha kununua magari ya kifahari, badala yake fedha hizo zielekezwe katika kununua magari na kujenga majengo kwa ajili ya Jeshi la Polisi. Akiuliza swali bungeni jana, Mbunge wa...
10 years ago
Mwananchi18 Mar
Serikali iache maigizo, itekeleze majukumu haya
10 years ago
Mwananchi16 Feb
Mbowe: Serikali iache siasa kwenye mambo ya uchumi
11 years ago
GPLSERIKALI IACHE BLAHBLAH KUHUSU MTANDAO WA NGONO, MADAWA YA KULEVYA CHINA
9 years ago
Mwananchi30 Dec
UKWELI UTAKUWEKA HURU: Mwaka Mpya Serikali ya CCM iache woga kwa wapinzani
11 years ago
Tanzania Daima02 Apr
Vijana kumpa tuzo Mengi
VIJANA 2,120 nchini wanatarajia kutoa tuzo kwa Mwenyekiti wa kampuni za IPP, Dk. Reginald Mengi, kutokana na mchango wake kwa watu wenye ulemavu na uzalendo kwa taifa. Ahadi hiyo imetolewa...
9 years ago
StarTV30 Dec
Serikali yabaini kuwepo maeneo mengi yasiyoendelezwa Â
Serikali imebaini kuwepo kwa maeneo mengi ambayo wamiliki wake wameshindwa kuyaendeleza hali ambayo imesababisha migogoro ya mara kwa mara baina yao na wananchi.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amesema kuanzia Januari mwakani, Serikali itakagua mashamba yote yaliyoshindwa kuendelezwa, yasiyolipiwa kodi na yaliyowekwa dhamana ama bondi na kuyarudisha serikalini.
Amedai hatua hiyo itafanyika kwa umakini mkubwa kutokana na Serikali kutambua kuwa ardhi ni uchumi...